Makamu wa Rais, Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi amesema Watanzania wanapaswa kubishana kwa hoja na kuacha tabia za kinafkiMakamu wa Rais, Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi amesema Watanzania wanapaswa kubishana kwa hoja na kuacha tabia za kinafki

Makamu wa Rais, Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi amesema Watanzania wanapaswa kubishana kwa hoja na kuacha tabia za kinafki.

Akizungumza katika mazishi ya aliyekuwa mwandishi wa Makamu wa Rais mstaafu, Mohamed Gharib Bilali, balozi Nchimbi amesema Watanzania wengi wanaopata nafasi ya kushauri ushauri kwa unafikiti na kuacha kuwa wakweli kwa lengo la kumfurahisha kiongozi jambo ambalo si sahihi Kwa kuwa halisaidii Jamii.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *