#HABARI: Serikali imeshauriwa kuwekeza nguvu kwenye kutunga na kusimamia sera rafiki zitakazowezesha ubunifu na utengenezaji wa …#HABARI: Serikali imeshauriwa kuwekeza nguvu kwenye kutunga na kusimamia sera rafiki zitakazowezesha ubunifu na utengenezaji wa …

#HABARI: Serikali imeshauriwa kuwekeza nguvu kwenye kutunga na kusimamia sera rafiki zitakazowezesha ubunifu na utengenezaji wa Mifumo ya akili Mnemba (AI) itakayoendana na mazingira ya Tanzania ili kuchagiza uchumi wa kidigitali na kuepuka utegemezi wa mifumo huu hiyo kutoka nje.

Wadau wa ukuzaji wa matumizi ya teknolojia ya akili Mnemba wanatoa rai hiyo jijini Arusha wakati wa kongamano la Taifa kuhusu QR code na Akili Unde lenye kauli mbiu isemayo “Ubunifu Tanzania,kutumia Teknolojia za QR code na akili unde kwa mageuzi JUMUISHI ya kidigitali.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *