HRW yawatuhumu waasi M23 na wanajeshi wa Rwanda kwa mauaji, ubakaji katika mji wa Uvira, Kongo
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limeeleza katika ripoti yake kuwa waasi wa kundi la M23 na wanajeshi wa Rwanda waliukalia kwa mabavu na kwa…