Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Ummy Mwalimu kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto.
Ummy ambaye amewahi kuwa mbunge na waziri katika wizara mbalimbali ikiwamo Sheria na Afya aliamgushwa katika mchakato wa kura za maoni baada ya jina lake kuktatwa na vikao vya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt Moses Kusuluka iliyosainiwa na Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Shabaan Kissu imesema kuwa uteuzi huo umefanyika leo Jumanne, June 2,2026.

(Feed generated with FetchRSS)