…nakuhitaji Mheshimiwa Waziri Mkuu utambue wewe na viongozi wenzako wa serikali kwamba taifa letu bado lina maumivu makubwa sana na nitakuwa na mnafiki au mswahili nisipolisema hili….hakuna jambo la maana na la umuhimu kuliko uhuru wa watu katika nchi yao hawa viongozi wangu wa chama chetu wana maumivu magerezani wamejaa viongozi ambao wanastahili kuungana na watanzania wenzao kuyaona matunda ya nchi yao…..” Freeman Mbowe.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
(Feed generated with FetchRSS)