Serikali imesema katika kushirikiana na wawekezaji binafsi inatarajia kuanza utafiti wa kina wa kubaini maeneo yenye madini ya dhahabu, hatua inayolenga kuanzishwa kwa migodi mikubwa katika mikoa ya Shinyanga, Geita na Tabora.

Kasisi Kosta ameandaa taarifa ifuatayo.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *