Katika kukabiliana na changamoto zinazowakwamisha wafugaji na wavuvi nchini, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Bashiru Kakurwa amesema nafasi hiyo inapoteza maana iwapo changamoto hizo zitaendelea kuwasumbua na kuwafanya kuwa masikini wafugaji na wavuvi nchini.
Dkt. Bashiru ametoa kauli hiyo katika kikao cha kutafuta suluhu ya kukinusuru kiwanda cha kusindika maziwa cha Tanga Fresh.
(Feed generated with FetchRSS)