Mtayarishaji wa filamu ya Kitanzania ya “Couple Goals”, Lilian Shirima, amatangaza mpango wa kuwazawadia mashabiki wake elfu 50, kwa atakayejibu maswali yanayohusu filamu hiyo kwa usahihi. Shirima amesema atapita nyumba kwa nyumba kuangalia nani anafuatilia filamu na kuwapata mashabiki wake wa kweli.
Filamu ya “Couple Goals” inachambua maisha ya ndoa, ikionesha changamoto za uaminifu, siri, na migogoro ya kila siku nyuma ya uso wa furaha unaoonekana.
Filamu hiyo itapatikana kuanzia Aprili 11, 2026 kupitia jukwaa la kidijitali la Azam Max App, ambapo unaweza kuangaliwa kwa malipo ya shilingi 2,000 tu.
#AzamTVupdates
✍Halima Abdallah
Mhariri | John Mbalamwezi
@goodluckpaul_mc
@hildaphoya
(Feed generated with FetchRSS)