Taasisi ya Afya Ifakara imesema iko mbioni kufanya majaribio kwenye mikoa mbalimbali ikiwemo Kigoma ili kujiridhisha na ufanisi wa utafiti wanaoendelea kuufanya wa kuzalisha mbu wasioweza kueneza vimelea vya ugonjwa wa malaria.
Mkurugenzi wa taasisi hiyo, Dkt. Honorati Masanja amesema hayo ikiwa leo Aprili 25 ni “Siku ya Kimataifa ya Malaria”.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)