Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Patrobas Katambi amefunga rasmi kambi ya wakimbizi wa Burundi ya Nduta iliyopo Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, ambayo imedumu kwa zaidi ya miaka 10 kufuatia machafuko ya kisiasa nchini humo mwaka 2015.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *