Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema, ndoto yake ilikuwa ni kumleta Mchezaji Rio Ferdinand asake …Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema, ndoto yake ilikuwa ni kumleta Mchezaji Rio Ferdinand asake …

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema, ndoto yake ilikuwa ni kumleta Mchezaji Rio Ferdinand asake vipaji vya vijana wa Kitanzania.

Makonda amesema mpango huo utafanikuwa kupitia taasisi yake ili waende duniani na sio kupost ujio wake nchini kwenye mitandao ya kijamii.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *