Katika sekta ya kilimo biashara wakulima hutazama fursa ya mazao mbalimbali ambayo soko lake linaweza kuwa daraja la kuwainua kiuchumi na kusonga mbele kimaendeleo.
Emmanuel Kalemba ameangazia fursa mpya kwa wakulima.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)
