Tanzania imeendelea kuimarisha tahadhari dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Ebola kwa kuchukua hatua mbalimbali maeneo ya mipakani ikiwemo mpaka na nchi ya Uganda wa Mutukula kwa upimaji joto abiria wanaoingia nchini na huku vitakasa mikono navyo vikishuhudiwa kama anavyosimulia Benson Eaustace.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)
