#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha NLD Doyo Hassan Doyo, amesema iwapo atachaguliwa kuwa Rais Oktoba 29, Serikali yake itajenga soko la Kimataifa la mazao kwenye mikoa ya nyanda za juu kusini, ambalo litaunganisha mikoa hiyo na bara zima la afrika ili kurahisisha wakulima kupata urahisi wa kuuza mazao yao na kupata tija katika kilimo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.