Waziri wa ujenzi na mgombea ubunge wa jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega amesema ujenzi wa viwanda unaoendelea umeiongezea thamani wilaya hiyo na endapo mambo matatu yakifanyika itapaa zaidi.

Ulega amemuomba Rais Samia Suluhu ambaye pia ni mgombea Urais kupitia kwa mgombea mwenza wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwafanikishia mambo hayo matatu ili wilaya hiyo inayoongoza kwa idadi ya viwanda mkoani Pwani ifanye vizuri zaidi.

Msikilize Ulega hapa.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *