NBC Premier League leo Jumamosi
Saa 10:00 jioni Pamba Jiji watakuwa uwanja wa CCM Kirumba wakiwakaribisha Singida BS.
Saa 1:00 usiku, JKT Tanzania watakuwa dimba lao la nyumbani Meja Jenerali Isamuhyo wakiwaalika Simba SC.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii mbashara kupitia AzamSports1HD.
#NBCPL #Azamtvsports