WHO: Watu 400 wameaga dunia kwa utapiamlo Ukanda wa Gaza tangu kuanza mwaka huu
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti kuwa watu 400 wameaga dunia kw autapiamlo katika Ukanda wa Gaza kutokana na njaa ya makusudi iliyosaabishwa na Israel. Watoto 100 ni miongoni mwa…