Bandari za miji 60 ya Italia zafungwa ili kuiunga mkono Ghaza
Sekta mbalimbali za kiuchumi na huduma katika miji 60 ya Italia, kutoka bandari hadi usafiri wa umma, zimefungwa kwa saa 24 leo Jumatatu kutokana na mgomo wa umma ulioitishwa kwa…
Sekta mbalimbali za kiuchumi na huduma katika miji 60 ya Italia, kutoka bandari hadi usafiri wa umma, zimefungwa kwa saa 24 leo Jumatatu kutokana na mgomo wa umma ulioitishwa kwa…
Maelezo kuhusu taarifa Uingereza, Canada na Australia, ambao wote ni washirika wenye nguvu na wa muda mrefu wa Israeli, sasa wamechukua hatua ya kulitambua taifa la Palestina. Zaidi ya nchi…
Ufaransa imetambua rasmi taifa la Palestina siku ya Jumatatu, Septemba 22, 2025. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametoa tangazo hili wakati wa hotuba kutoka kwenye jukwaa la Mkutano Mkuu la…
Mahakama ya Sudan Kusini leo Jumatatu imeanza kusikiliza kesi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Riek Machar, ambaye amefutwa kazi na hasimu wake wa miongo kadhaa, Rais Salva Kiir, huku…
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki Source link
Maelezo ya picha, Mratibu wa mtandao Alina Juk (kushoto), aliyenaswa na kamera yetu ya siri, akisikiliza maagizo kuhusu kampeni ya kutoa taarifa potofu. Maelezo kuhusu taarifa Author, Oana Marocico, Seamus…
Mataifa mengi ya Magharibi yamechukua hatua ya kulitambua rasmi taifa la Palestina licha ya upinzani mkali kutoka kwa Israel.
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Licha ya idadi ya nchi za Afrika kuwa zaidi ya robo ya mataifa ya Umoja wa Mataifa, bara hilo halijawakilishwa katika P5.…
Mkuu wa Shirika la Nishati ya Nyuklia la Iran, Mohammad Eslami, ametangaza kuwa Iran na Russia zitasaini mikataba ya ujenzi wa mitambo mipya ya nyuklia nchini Iran wakati wa ziara…
Israel na Marekani hazitoshiriki kwenye mkutanohuo unaofanyika New York. Uingereza, Canada na Australia zimekuwa nchi za kwanza kuitambua Palestina kama taifa. Nchi nyingine kadhaa zikiwemo Ufaransa, Ubelgiji na New Zealand…
Vikwazo vilivyorefushwa ni pamoja na kutaifishwa mali za wanaohusika na mgogoro wa Sudan na kunyimwa ruhusa ya kuzitembelea nchi za Umoja wa Ulaya. Wanaohusika na vikwazo hivyo ni watu kumi…
Makubaliano hayo, yatakayotiwa saini katika kisiwa cha mapumziko cha Bali, yataiunganisha Indonesia yenye rasilimali na jumuiya ya Ulaya yenye wanachama 27 katika uhusiano wa karibu wa kiuchumi. Hayo yanakuwa ni…
Chama hicho ambacho kimesimamisha wagombea wake wa ubunge kuanzia visiwani Zanzibar mpaka bara, kimeainisha vipaumbele saba vinavyomulika maeneo ya ukuzaji uchumi, maendeleo ya raia mmoja mmoja hadi katika maeneo ya…
Ijumaa, Estonia ambayo ni mwanachama wa Jumuiya ya NATO ilisema ndege tatu za kijeshi za Urusi ziliingia kwenye anga yake na kudumu kwa dakika 12 kabla ya kutolewa nje zikisindikizwa…
Zaidi ya watu 1,000 wamehamishwa kutoka kwenye nyumba zao katika Kisiwa cha Panuitan kwenyemkoa wa Kaskazini wa Cagayan, kulingana na Wizara ya mambo ya ndani na serikali za mitaa. Mamlaka…
Chanzo cha picha, Mwananchi 22 Septemba 2025, 15:47 EAT Imeboreshwa Saa 2 zilizopita Leo, Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam imesoma shitaka linalomkabili Mwenyekiti wa chama kikuu cha…
Chanzo cha picha, AFP Kesi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini Dk. Riek Machar na viongozi saba waandamizi wa upinzani wa SPLM-IO imefunguliwa Jumatatu mjini Juba chini…
Baada ya mkutano wake wa faragha na Papa Leo, Steinmeier amesema kuna viongozi kadhaa wa dunia walio muhimu sana na walio na ushawishi kwa pande tofauti hasimu. Amesisitiza kuwa dunia…
Balozi wa Palestina nchini Uingereza Husam Zomlot amesema, nchi ya Palestina ipo, imekuwepo siku zote na itaendelea kuwepo daima. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Msikilizaji mahakama kuu kwenye jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania, hatimaye imepanga tarehe rasmi ya kuanza kusikiliza kesi ya mashtaka ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani…
#HABARI: Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu imesogezwa mbele hadi Oktoba 6, 2025 baada ya usikilizwaji wa awali na upande wa utetezi…
Pakistan iliyo na silaha za nyuklia na taifa linaloongoza kwa uzalishaji wa mafuta Saudi Arabia, zimeingia kwenye mkataba wa ulinzi, ambao kila nchi itakuwa na wajibu wa kumtetea mwenzake pale…
Balozi wa Palestina nchini Uingereza Husam Zomlot amesema, nchi ya Palestina ipo, imekuwepo siku zote na itaendelea kuwepo daima.
Mahakama ya Sudan Kusini leo Jumatatu imeanza kusikiliza kesi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Riek Machar, ambaye amefutwa kazi na hasimu wake wa miongo kadhaa, Rais Salva Kiir, huku…
Sekta mbalimbali za kiuchumi na huduma katika miji 60 ya Italia, kutoka bandari hadi usafiri wa umma, zimefungwa kwa saa 24 leo Jumatatu kutokana na mgomo wa umma ulioitishwa kwa…
Waasi wanaohusishwa na kundi la Islamic State wameshambulia mji muhimu wa bandari nchini Msumbiji karibu na kituo kikuu cha kimataifa cha gesi mapema leo Jumatatu, na kuwakata vichwa raia kadhaa,…
Natumai u mzima wa afya mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Ufuatao ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali…
Kesi ya jinai inayomkabili makamu wa rais aliyesimamishwa kazi nchini Sudan Kusini ilianza Jumatatu katika mji mkuu, Juba. Riek Machar amefikishwa mahakamani pamoja na washtakiwa wenzake.
Mahakama Kuu nchini Tanzania imetupilia mbali mapingamizi yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kuhusu makosa aliyoyabaini katika hati ya mashitaka na hitilafu katika viambatanisho vya hati ya mashitaka.
Mapigano makali yamezuka upya katika eneo la Janzour, yapata kilomita 12 magharibi mwa mji mkuu wa Libya, Tripoli, kati ya makundi hasimu yenye silaha ambayo yako chini ya Serikali ya…
Mji wa kimkakati wa Nzibira, ulioko katika eneo la Walungu, Kivu Kusini, umeanguka chini ya udhibiti wa waasi wa M23 siku ya Jumapili, Septemba 21, kufuatia makabiliano makali na wanajeshi…
Kwa muda wa miaka mingi pendekezo la suluhisho la mataifa mawili limekuwa likizingatiwa kuwa msingi madhubuti wa kuutatua mgogoro wa Mashariki ya kati. Je kutambuliwa kwa nchi ya Wapalestina kutakuwa…
Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limejiweka kwenye hali ya tahadhari kukabiliana na matukio yanayoweza kutokea baada ya baadhi ya nchi za Magharibi kuitambua rasmi nchi huru ya Palestina.
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesema hana sababu ya kuyakwepa mazungumzo na Marekani kama nchi hiyo haitomshinikiza kuachana na silaha za Nyuklia.
Baadhi ya mataifa yamepanga kuitambua Palestina kama nchi huru katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa utakaofanyika jijini New York. Mkutano huo utaongozwa na Rais wa Ufaransa Emmanuel…
Uingereza, Canada na Australia siku ya Jumapili zilitangaza kulitambua Taifa la Palestina. Wakuu wa mataifa hayo walitangaza kupitia video zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii hatua inayofufua matumaini ya amani na…
Ukraine na Urusi zimetupiana lawama baada ya mashambulizi makali kati ya pande hizo mbili usiku wa kuamkia Jumatatu.
Kiongozi wa upinzani aliyewahi uwa makamu wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar amefikishwa mahakamani Jumatatu 22.09.2025. Machar anakabiliwa na mashtaka kadhaa yakiwemo uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhaini.
Kambi ya Jeshi la Anga ya Bagram, ni moja ya vituo muhimu vya kijeshi nchini Afghanistan, na ni umuhimu hasa kutokana na kwamba ipo kwenye eneo la kimkakati, miundombinu yake…
Makamu wa rais wa zamani na kiongozi wa upinzani Sudan Kusini kwa mara ya kwanza afikishwa mahakamani akikabiliwa na kesi ya Uhaini na uhalifu dhidi ya ubinadamu
Maafisa watatu wa polisi wameuawa na wengine saba kutekwa nyara jana Jumapili katika shambulio la wanamgambo wenye silaha katika Jimbo la Benue nchini Nigeria.
Maelfu ya Wakenya, wakiwemo Waislamu na Wakristo kwa pamoja wamejitokeza kwa wingi jijini Nairobi kushiriki maandamano na tamasha la mshikamano wa kuunga mkono Palestina, yaliyoandaliwa na kikundi cha 'Kenyans for…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali shambulizi la droni lililotokea hivi karibuni katika msikiti wa Al-Fashir, Sudan, ambalo limesababisha vifo na majeruhi kwa makumi ya waumini wa…
Harakati ya Kiislamu ya Kupigania Ukombozi wa Palestina, Hamas, imekaribisha hatua ya kutambuliwa kwa taifa la Palestina na mataifa ya Uingereza, Australia na Kanada, ikieleza kuwa ni hatua muhimu katika…
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema kuwa Iran inatarajia China kuchukua hatua madhubuti kutekeleza mpango ilioupendekesza kuhusu utawala wa kimataifa, ili kuimarisha ushirikiano wa pande nyingi…
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, ameipongeza kwa dhati timu ya mieleka ya mtindo wa Greco-Roman ya Iran kwa kutwaa taji la ubingwa wa dunia katika…
Jeshi la taifa la Somalia, kwa kushirikiana na washirika wa kimataifa, limeendesha operesheni iliyopangwa kwa umakini na kuwaua angalau wapiganaji wanne wa kundi la kigaidi la al-Shabaab, kwa mujibu wa…
Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahu amebainisha siku ya Jumapili, Septemba 21, kwamba hakutakuwa na taifa la Palestina, katika video iliyoelekezwa kwa viongozi wa Magharibi ambao wamelitambua taifa al Palestina…
Wakati Uingereza, Australia, na Canada zimelitambua rasmi Taifa la Palestina siku ya Jumapili, na nchi nyingine za Magharibi, ikiwa ni pamoja na Ufaransa, zitafanya hivyo Septemba 22, nchi 52 kati…
Rais wa Venezuela Nicolas Maduro amekanusha katika barua aliyomwandikia mwenzake wa Marekani Donald Trump tuhuma za ulanguzi wa dawa za kulevya dhidi yake, akimtaka mwenzake “kulinda amani kupitia mazungumzo” huku…