Lebanon: Askari wa 20 wa Israel auawa katika mapigano na Hezbollah
Jeshi la Israel limetangaza leo Ijumaa kuwa mwanajeshi wa Israel ameuawa kusini mwa Lebanon, na kufanya idadi ya vifo kufikia 20 katika mapigano na Hezbollah inayounga mkono Iran tangu mapema…