Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran awaonya maadui, mkijaribu mtashindwa tena
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi, amezionya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu kuanzisha tena hatua mpya za kijeshi dhidi ya Iran, akisema kuwa…