Mapambano ya Umoja wa Mataifa dhidi ya Ebola yanaendelea kwa nguvu
Mashirika ya Umoja wa Mataifa yanaendelea kwa kasi kubwa kupambana na ugonjwa wa Ebola ambao unaonekana bado ni tishio kwani bado ripoti za maambukizi zinaendelea. Leo kupitia mkutano na waandishi…