Jeshi la Pakistan launga mkono bila ya masharti kuasisiwa nchi huru ya Palestina
Makamanda wa jeshi la Pakistan wamebainisha matarajio yao kuhusu kusitishwa vita haraka iwezekanavyo huko Gaza na kutumwa misaada ya kibinadamu katika eneo hilo na kusisisitiza kuwaa Pakistan inaendelea kuunga mkono…