🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55….FEBRUARI 03, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....FEBRUARI 03, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....FEBRUARI 03, 2026
#MICHEZO: "Nafasi bado tunayo tofauti yetu ni ndogo ya alama tatu, tunamchezo wa nyumbani bado nafasi ipo, kundi letu mtu yeyote anaweza akasonga mbele" Nassoro Idrissa-Mwenyekiti wa Azam FC Powered…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 03, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 02, 2026
#HABARI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano ya Kazi, Mhe. Deus Sangu, amesisitiza umuhimu wa uwepo wa mabaraza ya wafanyakazi, katika Taasisi za Umma…
#HABARI: Waziri Mkuu wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 49 ya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....FEBRUARI 02, 2026
🔴KUMEKUCHA KISHINDO:...FEBRUARI 02, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....FEBRUARI 02, 2026
"....hii unatoa utaniwahi lakini nataka nipate muda mzuri kuwafahamisha watu kwamba tufikie sehemu lazima tuseme kwamba hapa panatosha, watu ambao wanajua wanawaudhi watu wengine lazima wakubali kupumzika, mimi bado napata…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO : FEBRUARI 02, 2026
🔴KUMEKUCHA: ...... FEBRUARI 02, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 02, 2026
#KIPIMAJOTO: Vizuizi maeneo yanapokutana Reli na Barabara. Je, vinazingatiwa ili kudhibiti ajali zinazoendelea kujitokeza
#HABARI: Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umemtaka mkandarasi wa kampuni ya CCC International Engineering kuongeza kasi ya ujenzi wa mradi wa kusambaza umeme katika vitongoji 135 mkoani Ruvuma baada ya…
#HABARI: Katibu Tawala wa mkoa wa Kigoma Hassan Abass Rugwa, amevitaka vyama vya watumishi CWT na TALGWU kuwa kiunganishi cha wafanyakazi na mamlaka zao, ili kupunguza migogoro isiyo ya lazima…
#HABARI: Taharuki imetanda katika eneo la Kakong, Kaunti ya Turkana, baada ya majangili kuwaua watu sita na kujeruhi wengine wawili katika shambulio la wizi wa mifugo. Kamanda wa Polisi wa…
#HABARI: Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) Mkoa wa Mbeya, Ndele Mwaselela, amewataka viongozi wanaosimamia ilani ya chama kuwashughulikia vikali watu wasio waadilifu na wezi wa mali za…
Mkuu wa Wilaya ya Handeni,Salum Nyamwese, amewataka madiwani wa Halmashauri ya Mji Handeni, Halmashauri ya Wilaya ya Handeni na Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi kuacha kutanguliza maslahi binafsi au ya…
Serikali imeipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa mchango wake mkubwa katika sekta ya madini nchini, ikitaja miongoni mwa mambo mengine dhamira yake katika uchimbaji madini unaowajibika, ulipaji…
#sisitumeanza @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 01/02/2026
TAARIFA YA HABARI SAA MBILI FEBRUARI 01, 2026 - WAZIRI MKUU AHIMIZA MALEZI BORA KWA VIJANA
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego, amewaagiza wakulima mkoani humo kuacha kususia kilimo cha alizeti na badala yake kila mmoja alime angalau hekari mbili ili kukabiliana na upungufu…
#HABARI: Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi John Mongela amesema ameridhika na hali ya upatikanaji wa dawa katika kituo cha Afya cha Tinde, wilayani Shinyanga, huku akieleza kuchukua changamoto…
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza kusitishwa mkataba wa mkandarasi kutoka China, Shandong Luquiao Group, anayejenga barabara ya Omurushaka –Kyerwa yenye urefu wa kilometa 50 iliyopo mkoani Kagera kwa kusuasua…
#HABARI: Mkoa wa Singida umezindua rasmi kampeni ya upandaji miti kimkoa katika Shule ya Sekondari ya Ufundi Halima Dendego, huku ukihimiza wananchi kuachana na nishati chafu ya mkaa na kuni…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KAGERA - FEBRUARI 01, 2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA JIONI - 1/02/2026 (Feed generated with FetchRSS)
Katika kuendeleza hamasa ya kitaifa ya uwekezaji wa ndani, Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imetembelea mradi wa Hospitali ya Kamanga Medics (Kamanga Medics Hospital) uliopo…
#HABARI: Mwanaume mmoja aliyekuwa akisafirisha gari la IT amefariki dunia kufuatia ajali ya kugongana uso kwa uso na lori la mafuta katika eneo la Nane Nane, Manispaa ya Morogoro. Tukio…
#HABARI: Askari wa Jeshi la Polisi kutoka Tanzania wanaoshiriki katika operesheni za ulinzi wa Amani nchini Sudan Kusini wameendelea kuonyesha umahiri mkubwa katika kupambana na vitendo vya ukatili, hususani kwa…
#HABARI: Mashabiki wa klabu ya Esperance De Tunis kutoka Tunisia wameeleza kuridhishwa kwao na huduma za Reli ya Kisasa (SGR), wakisema imewawezesha kusafiri kwa urahisi na kufurahia utalii nchini Tanzania.…
Mwenyekiti wa Kampuni za Bakhresa, Mzee Said Salim Bakhresa, amewashauri vijana kutumia vyema fursa zilizopo kwa kufanya kazi kwa bidii, nidhamu na uadilifu ili kujijengea maisha bora na kuchangia maendeleo…
🔴TAMASHA LA MICHEZO....FEBRUARI 01, 2026
Mshauri Mwelekezi wa stadi za Maisha, Elibariki Mkumbo amesema katika maisha haijalishi upo kwenye hali gani ya kifedha au kiafya, ili ufanikiwe unahitaji kuwa na moyo wa kukubali hali uliyonayo…
#HABARI: Mwili wa mwanaume mmoja ambaye bado hajafahamika umekutwa juu ya njia ya reli inayounganisha Mkoa wa Tabora na Kigoma, katika maeneo ya Kata ya Malolo, mkoani Tabora. Taarifa za…
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Lupa, Mhe. Masache Njelu Kasaka, amebainisha kuwa maadhimisho ya miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni kielelezo cha mafanikio makubwa ya kimaendeleo yaliyofikiwa nchini…
#HABARI: Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mkoani Mtwara unatarajia kusajili bure kaya 38,000 zisizojiweza ili kunufaika na huduma za afya, huku kipaumbele kikielekezwa kwenye kaya laki mbili…
#HABARI: Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, Mheshimiwa Anna Makinda, amesema kuwa mafanikio ya mwanafunzi…
#HABARI: Serikali imewataka wazalishaji na wabunifu wa teknolojia za nishati safi kuongeza juhudi katika kutengeneza bidhaa zinazomudu gharama za wananchi wengi ili kupanua matumizi yake nchi nzima. Mkurugenzi wa Nishati…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ameongoza zoezi la usafi katika fukwe ya Dengu jijini Dar es Salaam, huku akikemea vikali utupaji wa taka hovyo, hususan chupa za…
#SWALILAKIPIMAJOTO:Serikali kupiga marufuku michango katika shule.Je, kuna dhamira ya dhati kusimamia agizo hilo?
🔴#MAGAZETI:FEBRUARI 01, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 01, 2026
#HABARI: Waziri Mkuu Mhe.Dtk. Mwigulu Nchemba akimkabidhi tuzo maalumu Braydon Bent, shabiki maarufu duniani wa Manchester City kutoka Uingereza kama sehemu ya kutambua mchango wake katika kutangaza utali wa Tanzania…
"Uhifadhi huu si kwa ajili ya serikali, kama ambavyo mmesema tumerithishwa...tuwarithishe, hili ni jambo la kila Mtanzania, tushirikishane njia bora za kuendeleza uhifadhi huu ni urithi"Mhe.Mwigulu Nchemba - Waziri Mkuu…
#MEDANIZASIASA ; MASWALI KONK YA ODEMBA NDANI YA MEDANI ZA SIASA (Feed generated with FetchRSS)
🔴HAFLA YA UTOAJI TUZO ZA KITAIFA ZA UHIFADHI NA UTALII (THE SERENGETI AWARDS)... JANUARI 31, 2026
"Ukiangalia kundi letu tuko nafasi ya pili, mpaka sasa tunapointi zetu tano, ninaimani robo fainali tunaenda kuingia tena kibabe, wanakuambia haiishi mpaka iishe" Mashaka Kapingo - Shabiki wa Yanga Powered…