Trump haendi COP30, lakini Marekani inashiriki mkutano huo
Licha ya kwamba utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump umeupa kisogo mkutano wa kimataifa kuhusu mazingira wa COP30 unaofanyika Belem, lakini baadhi ya viongozi wa ngazi ya chini wa…
Licha ya kwamba utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump umeupa kisogo mkutano wa kimataifa kuhusu mazingira wa COP30 unaofanyika Belem, lakini baadhi ya viongozi wa ngazi ya chini wa…
Maelfu ya waisraeli wameshiriki maziko ya mwanajeshi Hadar Goldin ambae mwili wake ulirejeshwa nyumbani zaidi ya miaka 11, baada ya kutekwa na Hamas.
Uwezakano wa kuigawa Gaza katika maeneo mawili unazidi kuongezeka, eneo moja likitajwa kudhibitiwa na Israel na jingine kutawaliwa na Hamas kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali.
Bunge la nchi hiyo limempata Spika wake mpya atakayeongoza muhimili huo kwa kipindi cha miaka mitano, baada ya zoezi la uchaguzi lililofanyika hii leo bungeni jijini Dodoma.
Mji wa Cologne umeanza msimu wa sherehe za Carnival siku ya Jumanne, huku malefu ya watu wakikusanyika kwenye mji huo ambao ni kitovu cha sherehe hizo.
Mshambuliaji wa kujitoa muhanga amewaua karibu watu 21 nje ya jengo la mahakama katika mji mkuu wa Pakistan, Islamabad siku ya Jumanne, Waziri Mkuu Mohsin Naqvi amesema.
Katika hotuba yake ya ufunguzi, Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva ambaye ni mwenyeji amesema mabadiliko ya tabianchi si tishio tena kwa siku zijazo na kwamba ni tishio…
Raia nchini Iraq wanapiga kura hivi leo kuchaguwa bunge jipya, kwenye uchaguzi unaofuatiliwa kwa karibu na Marekani na Iran, mahasimu wawili wenye maslahi na ushawishi mkubwa kwenye taifa hilo.
Urusi imefanya mashambulizi ya droni katika mji wa kusini wa Ukraine wa Odesa na kufanya uharibifu kwenye miundombinu ya nishati na usafiri. Licha ya jitihada mbalimbali za kuvimaliza vita hivyo…
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anakutana na Kiongozi wa Palestina Mahmud Abbas mjini Paris leo Jumanne kujadili kile walichokiita "utekelezaji kamili" wa makubaliano ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza.
Polisi nchini Tanzania imewaachilia huru viongozi wanne wa chama kikuu cha upinzani chini humo CHADEMA waliokamatwa kwa madai ya kuratibu na kupanga maandamano ya vurugu wakati wa uchaguzi mkuu wa…
Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira wa COP30 umefunguliwa jana katika mji wa Brazil wa Belem huku wito ukitolewa kwa ulimwengu kuendeleza mapambano dhidi ya ongezeko la joto duniani…
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron atakutana leo (11.11.2025) na rais wa mamlaka ya wapalestina Mahmud Abbas mjini Paris, kujadili utekelezaji kikamilifu wa makubaliano ya usitishaji wa mapigano katika Ukanda wa…
Siku chache baada ya vurugu uchaguzi Mkuu wa Tanzania, Oktoba 29 kumekuwa na majeraha, kiwewe na athari za kisaikolojia kwa Watoto. Wakiwa wameathirika na milio ya risasi na mabomu, Je…
Muda mchache baada ya ziara ya kihistoria ya rais wa Syria kwenye Ikulu ya White House, taifa hilo la Mashariki ya Kati limetangaza kujiunga na kile kiitwacho Muungano dhidi ya…
Mawaziri wa mambo ya kigeni wa mataifa G7 wanakutana nchini Kanada kwenye mikutano inayotazamiwa kujikita kwenye mzozo wa Ukraine na Urusi na kusaka njia ya pamoja ya kukomesha vita hivyo.
Raia nchini Iraq wanapiga kura hivi leo kuchaguwa bunge jipya, kwenye uchaguzi unaofuatiliwa kwa karibu na Marekani na Iran, mahasimu wawili wenye maslahi na ushawishi mkubwa kwenye taifa hilo la…
Equador imewahamishia wafungwa 300 walio kwenye hatarini kwenye gereza jipya lenye ulinzi mkali zaidi, akiwemo makamu wa zamani wa rais, Jorge Glas, siku moja baada ya wafungwa 31 kuuawa.
Mwandishi wa habari wa Uingereza aliyekuwa akishikiliwa na Mamlaka za Uhamiaji nchini Marekani, Sami Hamdi, anatarajiwa kurejea nyumbani baada ya mahakama kuamua aachiliwe, kwa mujibu wa familia yake.
Rais Donald Trump wa Marekani amekutana na kufanya mazungumzo na rais wa mpito wa Syria, Ahmad al-Sharaa, akiahidi kulisaidia taifa hilo la Mashariki ya Kati lililosambaratishwa kwa vita vya wenyewe…
Rais Donald Trump amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa mpito wa Syria Ahmad al-Sharaa+++Hali nchini Sudan inaendelea kuwa mbaya, maelfu ya watu wanadaiwa kuuawa kutokana na mashambulizi ya wanamgambo…
Bunge la nchi hiyo limempata Spika wake mpya atakayeongoza muhimili huo kwa kipindi cha miaka mitano+++Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira wa COP30 umefunguliwa jana katika mji wa Brazil…
Umoja wa Afrika umetoa wito wa kuchukuliwa hatua haraka ya kimataifa, ikiwemo ushirikiana wa kutoa taarifa za kijasusi ili kushughulikia hali mbaya ya kiusalama nchini Mali.