Afisa wa Umoja wa Mataifa: Usitishaji mapigano Gaza si wa kweli
Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) amelaani shambulio la jeshi la Israel katika kitongoji cha Sheikh Radwan kaskazini magharibi mwa Jiji la Gaza,…