Vita Ukanda wa Gaza vimesababisha ulemavu kwa watoto 21,000
Hayo ni kwa mujibu wa Kamati ya haki za watu wenye ulemavu ya Umoja wa Mataifa. Kamati hiyo imesema watoto wasiopungua 40,500 wamepata majeraha yanayotokana na vita na nusu ya…
Hayo ni kwa mujibu wa Kamati ya haki za watu wenye ulemavu ya Umoja wa Mataifa. Kamati hiyo imesema watoto wasiopungua 40,500 wamepata majeraha yanayotokana na vita na nusu ya…
Msemaji wa waasi wanaoliongoza eneo hilo Mohamed Abdelrahman al-Nair amesema juhudi za kuwatafuta manusura bado zinaendelea licha ya uhaba wa rasilimali. Picha za video zilizotolewa Jumatano zimewaonesha waokoaji wa kujitolea…
Mutamba alikuwa akikabiliwa na mashtaka ya ubadhirifu wa fedha za umma zikiwemo za fidia kwa waathiriwa wa vita. Hukumu hiyo imetolewa baada ya Waziri huyo wa sheria wa zamani kukutwa…
Ching te ameyasema hayo muda mfupi baada ya China kufanya gwaride kubwa la maadhimisho ya miaka 80 tangu Japan iliposalimu amri mwishoni mwa vita vya pili vya dunia. Kwa upande…
Waziri wa Uchumi Katherina Reiche amesema uamuzi huo wa baraza la mawaziri – ambao bado unahitaji idhini ya bunge – ni habari njema kwa watumiaji umeme Ujerumani. “Tunaurahisisha mzigo wa…
Haya ni kwa mujibu wa shirika moja la habari nchini humo. Shirika la habari la Interpress nchini humo limeripoti kuwa mahakama moja mjini Tbilisi imewakuta na hatia waandamanaji 11 akiwemo…
Ikulu ya Urusi Kremlin imesema hivi leo kuwa mapendekezo yote ya Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz kuhusu mchakato wa amani katika mzozo wa Ukraine , yanapaswa kupuuzwa baada ya Moscow…
Dakar Senegal – Mkutano wa Mifumo ya Chakula Afrika unafanyika Dakar, Senegal, ukitoa wito wa hatua za haraka kuhakikisha bara linaweza kujilisha lenyewe. Imechapishwa: 03/09/2025 – 15:00Imehaririwa: 03/09/2025 – 17:23…
Jeshi la anga la Ukraine limesema limezidungua droni 430 kati ya 502 na makombora 21 kati ya 24 yaliyotua kwenye maeneo kadhaa. Limeongeza kuwa makombora matatu na droni 69 zilitua…
Kiongozi wa kundi la waasi wa Jeshi la Ukombozi la Sudan Abdel-Wahid Nour vinavyolidhibiti eneo hilo, amesema ukubwa wa janga hilo hauelezeki na ameutaka Umoja wa Mataifa na mashirika mengine…
Shirika la Kimataifa la Save the Children limesema moja ya timu zake za uokoaji imelazimika kutembea umbali wa kilometa 20 kuvifikia vijiji vilivyopoteza mawasiliano kutokana na miamba iliyoanguka, wakiwa wamebeba…
Kulingana na msemaji wa Umoja wa Mataifa Stephen Dujarric wafanyakazi 18 kati ya hao ni wa Yemen na mmoja ni wa Kimataifa. Dujarric amewasilisha wito wa Umoja wa Mataifa unawotaka…
Katika wiki za karibuni vikosi vya jeshi la Israel vimeingia katika viunga vya nje ya Gaza City na hivi sasa viko umbali wa kilomita chache tu kutoka katikati mwa mji…
Kando ya Xi, maadhimisho hayo yameshuhudiwa pia na Rais wa Urusi Vladimir Putin na mwenzake wa Korea Kaskazini Kim Jong Un. Katika sehemu ya hotuba yake mbele ya gwaride hilo…
Serikali za Afrika zinashirikiana na Shirika la Kimataifa la Kufadhili Maendeleo ya Kilimo (IFAD) ili kusaidia mataifa ya bara hili kupunguza uagizaji wa vyakula kutoka nje na kufanikisha usalama wa…
Gavana wa Kivu Kusini chini ya AFC/M23 amesema mafunzo hayo yalichukuwa miezi sita katika jimbo jirani la Kivu ya kaskazini na ameahidi kwamba watahakikisha usalama wa raia na mali zao.…
Inaripotiwa kwamba mvua zaidi inatarajiwa na vyombo vya habari nchini humo vinaripoti kuwa watu 10,000 wameondolewakutoka kwenye kingo za mito na kupelekwa sehemu salama katika Mji Mkuu wa New Delhi.…
Gwaride la kijeshi lilipita mbele ya umati wa watu zaidi ya 50,000 katika Uwanja wa Tiananmen kuadhimisha miaka 80 tangu kumalizika kwa Vita vya Pili vya Dunia, ambavyo kwa upande…
Baada ya Los Angeles na Washington, Donald Trump analenga ngome nyingine ya chama cha Democratic: Chicago, mji mkuu wa Illinois. “Tutaingilia kati” katika mji huo, Rais wa Marekani Donald Trump…
Maelfu ya askari wa akiba wameanza kuripoti kazini huku jeshi la Israel likiendelea na mashambulizi ya kuiteka Gaza. Mji huo pia uko chini ya mashambulizi makali ya anga na mizinga…
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kupitia ujumbe kwa njia ya video kwa askari hao wa akiba, amesema ni lazima wamalize kile walichokianza katika ukanda wa Gaza, akieleza kuwa jukumu…
Gwaride hilo limetasfiriwa na wachambuzi kama ishara ya mabadiliko ya nguvu za kisiasa, kiuchumi na kijeshi duniani ambapo China – chini ya uongozi wa Rais Xi Jinping – inajitokeza kama…
Mamlaka za ndani nchini Sudan, Umoja wa Mataifa na mashirika ya misaada ya kibinadamu yanaendelea kushughulikia athari za maporomoko ya ardhi yaliyotokea katika eneo la milima ya Jebel Marra jimbo…
Kwa mujibu wa msemaji wa serikali ya Taliban, Zabihullah Mujahid, takwimu hizo zinahusu jimbo la Kunar pekee. Tetemeko hilo, lenye ukubwa wa 6.0 katika kipimo cha Richter, lilitokea usiku wa…
Msemaji wa jeshi la Sudan Kusini Garang Ateny amesema kuwa wapiganaji kutoka kikosi cha White Army, wanamgambo ambao wapinzani wa Machar wanadai wana uhusiano na chama cha SPLM-IO anachoongoza, walishambulia…
Rais wa Urusi, Vladmir Putin na mwenzake wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, hivi leo walikuwa wageni waheshima katika sherehe za gwaride kubwa la kijeshi lililoandaliwa na Uchina kwenye mji…
Madagascar imekuwa na maadhimisho ya kupokea mafuvu matatu ya watu, yaliyokuwa yamehifadhiwa nchini Ufaransa kwa miaka 128. Imechapishwa: 03/09/2025 – 05:17 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma…
Waziri wa zamani wa sheria wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Constant Mutamba amehukumiwa siku ya Jumanne, Septemba 2, kifungo cha miaka mitatu ya kazi ya kulazimishwa na marufuku ya…
Macron ameionya Israel dhidi ya “kunyakua” au “kufanya mashambulizi dhidi ya Gaza ,” akithibitisha pamoja na Saudi Arabia uungaji mkono wake wa kutambuliwa kwa taifa la Palestina. Imechapishwa: 03/09/2025 –…
Israel imezidisha maandalizi yake ya kijeshi siku ya Jumanne kwa kuwajumuisha tena maelfu ya askari wa akiba katika safu zake ili kujiandaa na mashambulizi yaliyotangazwa kwenye mji wa Gaza baada…
Rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila akizungumza kwa mara ya kwanza tangu kuhukumiwa kifo kwa makosa ya uhaini tarehe 22 mwezi Agosti mwaka huu, ameikashifu hukumu hiyo. Imechapishwa: 03/09/2025…
Rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila akizungumza kwa mara ya kwanza tangu kuhukumiwa kifo kwa makosa ya uhaini tarehe 22 mwezi Agosti mwaka huu, ameikashifu hukumu hiyo. Imechapishwa: 03/09/2025…
SK2 / S02S03.09.20253 Septemba 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa China Xi Jinping ameonya kuwa dunia inakabiliwa na uamuzi wa kuchagua amani au vita / Utafiti uliofanywa kwenye…
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 03 Septemba 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
DIRA.BZ03.09.20253 Septemba 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Takriban wanajeshi wanne na wanamgambo 10 wameuawa kufuatia mapigano mapya yaliyozuka Sudan Kusini / Wilaya ya Monduli iliyopo mkoani Arusha kaskazini mwa…
DIRA.BZ03.09.20253 Septemba 2025 Waandamanaji wamemiminika kwenye mitaa ya Israel+++Wakati viongozi wa Ulaya wakitarajiwa kukutana hapo kesho mjini Paris kujadili hakikisho la usalama kwa Ukraine+++Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, polisi…
Watu wasiopungua 14 wameuawa Jumanne jioni, Septemba 2, wakati mshambuliaji wa kujitoa mhanga alipojilipua katika mkutano wa kisiasa huko Balochistan, maafisa wawili kutoka mkoa wenye machafuko kusini magharibi mwa Pakistan…
Kwa mara ya kwanza, Rais wa China Xi Jinping amekutana hadharani na Rais wa Urusi Vladimir Putin na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un mjini Beijing, hatua ambayo wachambuzi…
02.09.20252 Septemba 2025 Mgombea mwenza wa Chama tawala nchini Tanzania, CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtaka mwanasiasa aliyeenguliwa kwenye nafasi ya kugombea urais kupitia chama cha ACt-Wazalendo Luhaga Mpina, kurejea mara…
Kwa mara ya kwanza katika historia ya taifa la Rwanda, bunge limeidhinisha sheria inayomruhusu mwanamke kubeba mimba kwa niaba ya familia nyingine. Sheria hii inatoa mwanga mpya kwa familia ambazo…
Putin ameitoa kauli hiyo Jumanne wakati alipokutana kwa mazungumzo na Waziri Mkuu wa Slovakia Robert Fico mjini Beijing huku akionyesha matumaini kuhusu suala la dhamana ya usalama kwa Ukraine: “Kuna…
Viongozi kadhaa wa Ulaya akiwemo pia rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky watakutana Alhamisi mjini Paris, huku wengine karibu 30 wakishiriki kwa njia ya mtandao katika mazungumzo ya kujadili suala la…
Maelfu ya Waindonesia waliingia barabarani katika maandamano ya kitaifa ya kupinga marupurupu makubwa kwa wabunge ambayo baadaye yaligeuka kuwa hasira kali ya umma dhidi ya polisi. Machafuko hayo yalimlazimu Rais…
Waziri wa Sheria Edasso Rodrigue Bayala amesema mtu yeyote atakayepatikana na hatia ya kushiriki katika vitendo vya ushoga au vitendo vinavyofanana atakabiliwa na adhabu ya kifungo cha miaka 2 hadi…
Akizungumza mjini Beijing wakati wa mazungumzo na Waziri Mkuu wa Slovakia Robert Fico, Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema licha ya Urusi kutokupinga Ukraine kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya,…
Kampeni za uchaguzi wa urais nchini Tanzania zimeingia katika hatua muhimu huku wagombea 17 kutoka vyama tofauti wakisambaa katika mikoa yote ya nchi hiyo wakitangaza ilani na sera zao. Ikiwa…
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, amesafiri kuelekea Beijing kwa treni maalum kushiriki gwaride kubwa la kijeshi Jumatano, tukio litakalomweka jukwaa moja na Rais wa China Xi Jinping na…
Bunge la mpito la Burkina Faso, linaloongozwa na wanajeshi, limepitisha rasmi sheria mpya inayopiga marufuku ushoga, hatua inayoliweka taifa hilo la Afrika Magharibi kwenye orodha ya zaidi ya nusu ya…
Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Jumapili ya Agosti 31 katika kijiji cha Tarasin katika milima ya Marrah baada ya siku kadhaa za mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika mkoa wa Darfur,…
Miongoni mwa waliouawa ni watu 10 katika mji wa Gaza ambapo jengo la makazi lililengwa kwa mashambulizi ya anga. Hayo yameelezwa na Mahmoud Bassal, msemaji wa shirika la kiraia katika…