RDC: Makubaliano ya kusitisha mapigano hayatekelezwe
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, makubaliano ya kusitisha vita kati ya waasi wa M23/AFC licha ya kutiwa saini, bado hayatekelezwe kufuatia kuendelea kushuhudiwa kwa mapigano ya mara kwa mara.…
Nyufa, mititio ya ardhi ilivyoibua hofu kabla ya maporomoko Dimilo
Siku chache kabla ya maporomoko ya tope kutokea katika kitongoji cha Waga, Kijiji cha Dimilo...
Nancy Sumari steers Tanzanian path to technological education
DAR ES SALAAM: FORMER Miss Tanzania and Miss World Africa, Nancy Sumari is charting a new path far from the pageant spotlight, emerging as one of Tanzania’s leading voices in…
Mapinduzi ya akili unde yashika kasi elimu ya juu
Katika hatua ya kuimarisha ubora wa huduma na kuongeza tija ya taasisi, wafanyakazi wa Chuo...
Watatu wapoteza maisha ajali ya basi na lori Morogoro
Watu watatu wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa katika ajali mbaya iliyohusisha basi...
Polisi yamuita kada Chadema kutoa ushahidi madai mpango wa kumuua Lissu
Wakati uchunguzi huo ukiendelea polisi imemtaka Hilda kufika ofisi ya mkurugenzi wa upelelezi...
Tanzania sees a big rise in power connectivity from 37.7 to 52.1 per cent
DODOMA: TANZANIA has steadily expanded its electricity infrastructure and boosted generation capacity, with major gains recorded in transmission networks, connectivity and national power output, the government has said. This was…
Wasomi wafichua sababu za nafuu bei ya mafuta Tanzania
Ingawa kupanda kwa bei ya mafuta ni janga linaloyakabili mataifa yote duniani, angalau Tanzania...
Tume yataja makosa yanayosababisha migogoro kazini
Tume ya Utumishi wa Umma imetaja makosa matano yanayojitokeza mara kwa mara katika utumishi wa...
Marekani yatishia vikwazo kwa wanunuzi mafuta ya Iran
Kwa mujibu wa taarifa ya Reuters, Waziri wa Fedha wa Marekani, Scott Bessent amesema wazi kuwa...
Wabanguaji wa korosho watoa kilio chao
Kwa mujibu wa takwimu za Bodi ya Korosho Tanzania, nchi huzalisha wastani wa tani 300,000 hadi...
Tanzania sees mining as a driver of its 1tri/- economy target
DODOMA: THE Tanzanian government is positioning the mining sector as a central driver of Tanzania’s ambition to build a 1-tri/- economy by 2050, following high-level talks with industry players aimed…
Wanahabari wakongwe nchini wameeleza shauku yao ya kusubiri kutolewa kwa ripoti inayohusu matukio yaliyojiri wakati na baada ya …
Wanahabari wakongwe nchini wameeleza shauku yao ya kusubiri kutolewa kwa ripoti inayohusu matukio yaliyojiri wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka jana. Salim Kikeke na Maulid Kitenge…
JK joins former heads of state in training to ministers at Harvard University
BOSTON: THE former Tanzanian President, Jakaya Kikwete is in Boston serving as a facilitator at the prestigious Harvard Ministerial Leadership Program run by Harvard University. Dr Kikwete is among a…
Leadership, gender equality herald African Women Leaders Network’s talks with Dr Samia
DAR ES SALAAM: THE former Liberian President Ellen Johnson Sirleaf and former Ethiopian President, Sahle-Work Zewde have wrapped up their official visit to Tanzania following high-level talks with President Samia…
Doweicare yaupokea Mwenge wa Uhuru ikiweka jiwe la msingi la kiwanda kipya, kugawa taulo za kike za Softcare
Kampuni ya Doweicare Technology Limited imeupokea rasmi Mwenge wa Uhuru mahsusi kwa ajili ya...
Tanzania seeks to increase budget for upgrading its road network
DODOMA: THE Tanzanian government has said it will continue to build the budgetary capacity of the Rural and Urban Roads Agency (TARURA) to increase the pace of asphalt road construction…
Je, Chelsea ina shida gani?
Kuna vipaji kama Enzo Fernández na Mykhailo Mudryk, João Pedro, Cole Palmer lakini hakuna viongozi wa kutosha, hakuna mchanganyiko sahihi wa uzoefu na ubunifu.
Ndejembi aomba kuidhinishiwa Sh2.52 trilioni kutekeleza vipaumbele vitano Nishati
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi ameliomba Bunge kuidhinishia Sh2.52 trilioni katika...
Kennedy Rapudo aelezea sababu ya Amber Ray kuvua pete ya uchumba na kwa nini hawajaoana rasmi
Mpenzi wa Amber Ray Kennedy Rapudo alisukumwa kuelezea kwa nini bado hajafunga ndoa rasmi na sosholaiti huyo. Alifunguka na kutoa sababu zake na kuzua hisia kali.
Tanzania sets mining strategies to boost economic growth
DODOMA: EXPERTS from the Ministry of Minerals have met to discuss the direction of a strategic plan aimed at increasing the contribution of the Mining Sector to national economic growth.…
Russia opens doors to Tanzanian youth education future
DAR ES SALAAM: The growing educational partnership between Russia and Tanzania recently took centre stage between 13 and 16 April 2026, as an educational exhibition titled “Russian Education – for…
Ahmednasir Abdullahi aelezea kwa nini Kindiki huenda asiwe chaguo la Ruto kura ya 2027
Wakili Ahmednasir Abdullahi abisha kwamba Naibu Rais Kithure Kindiki huenda asiwe mgombea mwenza anayefaa wa Rais William Ruto katika kura ya urais ya 2027.
Mfumo wa Umoja wa Mataifa wa kusafirisha mbolea kupitia mlango bahari wa Hormuz kuanza ndani ya siku saba, ukisubiri idhini ya kisiasa
Umoja wa Mataifa ameonya kuhusu uwezekano wa kutokea kwa “mgogoro mkubwa wa kibinadamu” iwapo hatua za haraka hazitachukuliwa kuruhusu usafirishaji wa mbolea na malighafi zake kupitia Mlango Bahari wa Hormuz,…
Kilimo charejesha matumaini ya kujitegemea Kakuma… Neema aibuka kutoka utegemezi hadi uzalishaji
Maisha ya wakimbizi katika eneo la Kakuma, kaskazini mwa Kenya, yanaanza kubadilika kwa kasi kupitia miradi ya kilimo na lishe inayowezeshwa na mashirika ya Umoja wa Mataifa likiwemo lile la…
Joto kali linasukuma mifumo ya chakula na kilimo kwenye ukingo wa hatari – FAO/WMO
Mashirika ya Umoja wa Mataifa, lile la Chakula na Kilimo, FAO na la Hali ya Hewa duniani, WMO, yametoa ripoti mpya leo Aprili 22, 2026, ikionya kuwa kuongezeka kwa joto…
WFP: Jinsi mgogoro wa Mashariki ya Kati unavyoongeza njaa mbali ya uwanja wa vita
Kadri athari za mgogoro wa Mashariki ya Kati zinavyoenea, bei za bidhaa zinapanda katika sehemu za Asia na Afrika, na Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani…
Diplomasia yapewa nafasi: Umoja wa Mataifa wakaribisha kuongezwa kwa sitisho la mapigano kati ya Marekani na Iran
Umoja wa Mataifa umekaribisha tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump la kuongeza muda wa sitisho la mapigano kati ya Marekani na Iran, ukisema hiyo ni hatua muhimu kuelekea kupunguza…
UNDP yahimiza usalama kwa wachimbaji wadogo wa madini ya ujenzi nchini Tanzania
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo (UNDP), kwa kushirikiana na Tume ya Madini nchini Tanzania katikati mwa wiki iliyopita yaani Aprili 16 na 17 wamefanya warsha ya…
VIWANJANI: “Na kuchukua taji hili kwa Simba kwao nadhani ni yale mataji ambayo yatawaongezea morali zaidi…”- Mchambuzi wa soka, …
VIWANJANI: “Na kuchukua taji hili kwa Simba kwao nadhani ni yale mataji ambayo yatawaongezea morali zaidi…”- Mchambuzi wa soka, Andrew Kingamkono akifafanua maoni yake kuhusu Simba SC kuelekea mchezo wao…
‘Wagonjwa wa himofilia msiwapeleke kwa waganga’
Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Timothy Sosoma amewatahadharisha wananchi kuwapeleka...
Tanzania rolls out strategic interventions to protect energy security
DODOMA: THE Tanzanian government has moved to safeguard fuel supplies nationwide despite escalating global disruptions, including ongoing conflict in the Middle East that has rattled energy supply chains. Minister for…
Euromoney decorates CRDB Bank as the best private banking services
DAR ES SALAAM: TANZANIA continues to record significant progress in improving financial services, driven by strong regulatory oversight implemented through collaboration between the Bank of Tanzania (BoT) and the Ministry…
Ligi Kuu ya Wanawake
Ligi Kuu ya Wanawake Saa 10:00 jioni, Simba Queens watakuwa dimba la Azam Complex wakiwakaribisha Fountain Gate Princess. Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports1HD. #SisiNiSoka #Azamtvsports (Feed generated with FetchRSS)
ITA engages tax stakeholders to design a master’s degree in customs
DAR ES SALAAM: THE Institute of Tax Administration (ITA) has convened key players from the customs, tax and education sectors to fast-track the design of a master’s degree in customs,…
Sh39 bilioni kukamilisha mradi wa maji Njombe
Zaidi ya Sh39 bilioni zinatarajiwa kukamilisha mradi wa maji wa miji 28 katika Halmashauri ya...
DCI wawakamata manunda 2 wa genge hatari la “Confirm” Nakuru Magharibi
Maafisa wa DCI wamefanikiwa kuwatia mbaroni majambazi wawili; John Omondi na Samuel Kamau wa genge hatari la “Confirm”, huko Nakuru walikokuwa wakipanga uhalifu.
Tanzania’s Energy Ministry tables 2.5tri/-budget for the 2026/2027 financial year
DODOMA: THE Tanzanian government has tabled a 2.5tri/-budget for the Ministry of Energy and its institutions for the 2026/2027 financial year, aimed at strengthening reliable energy access and driving economic…
Makalla amzawadia Chobwedo njumu, amtaka kuendelea kupambana
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Gabriel Makalla leo Jumanne Aprili 21, 2026 amekutana na kumpatia zawadi ya viatu winga wa TRA United, Ramadhan Salum "’Chobwedo’, akimsifu kwa kiwango kizuri…
Absa Dar City Marathon draws 5,000 runners for healthy road run
DAR ES SALAAM: OVER 5,000 runners are expected to take part in the sixth edition of the Absa Dar City Marathon heading to its flag off in Dar es Salaam…
Cicada: Aina mpya ya COVID-19 inayoibua maswali duniani ni hatari kiasi gani?
Virusi vyote hubadilika kadri muda unavyokwenda, na virusi vya RNA kama COVID-19 hubadilika kwa kasi zaidi.
#MuunganoCup ‘Chaki’ inang’arishwa tayari kwa jambo la leo Aprili 22, Azam FC vs KVZ FC saa 1:15 usiku LIVE #AzamSports1HD
#MuunganoCup 'Chaki' inang'arishwa tayari kwa jambo la leo Aprili 22, Azam FC vs KVZ FC saa 1:15 usiku LIVE #AzamSports1HD #MuunganoCup2026 #KombeLaMuungano #SokaLinatuunganisha. (Feed generated with FetchRSS)
‘Kona ya NBC’ redefines Tanzanian football culture
DAR ES SALAAM: A new chapter in Tanzanian football has been officially opened following the launch of a groundbreaking analysis and entertainment platform, “Kona ya NBC”, introduced by the National…
KNOCKOUT YA MAMA, VITA YA KISASI: “Sio mchezo mwepesi wala rahisi hata kidogo”
KNOCKOUT YA MAMA, VITA YA KISASI: “Sio mchezo mwepesi wala rahisi hata kidogo” Mtangazaji wa @ufmradiotz na #AzamTV @gilbertjohannes anasema pambano la Aprili 24, 2026 kati ya Mtanzania, Ibrahim Mafia…
CRDB Bank launches the 2nd cohort of the Graduate Trainee Program
DAR ES SALAAM: IN a continued effort to develop young talent and prepare future leaders in the financial sector, CRDB Bank has officially launched the second cohort of its Graduate…
Dar Cardiologist warns youth against blood pressure threat
DAR ES SALAAM: A cardiologist at Shifaa Hospital in Dar es Salaam, Lulu Mageta has urged youth in the country to regularly check their health as many are currently suffering…
Nauli mpya kuanza rasmi Mei Mosi, Latra yaonya
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini Tanzania (Latra) imetoa onyo kwa watoa huduma wanaotoza...
Aliyemuua mumewe akiwa na hawara ahukumiwa kifungo cha nje
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Songwe, imemhukumu kifungo cha nje cha miezi 18, Elizabeth...
OGTL hands over gas cylinders to boost clean cooking drive
DAR ES SALAAM: THE Oryx Gas Tanzania Limited (OGTL) has handed over 200 sets of gas cylinders to the government through the Ministry of Energy as part of efforts to…