Binti yake Charles Keter afunga ndoa katika sherehe ya kifahari ya harusi ya kitamaduni
Waziri wa zamani Charles Keter alishuhudia harusi ya kitamaduni na ya kifahari ya bintiye Tracey ambaye alimuoza kwa Robin huko Chepsir. Watu mashuhuri walihudhuria.
Waasisi wa Mapinduzi waenziwa kwa dua Zanzibar
Akizungumza wakati wa shughuli za kuwaenzi waasisi hao, Waziri wa Kazi na Uwekezaji, Shariff...
Bei za mafuta za kimataifa zashuka kwa zaidi ya KSh 1k kwa pipa, za EPRA zategewa kwa hamu
Bei za mafuta za kimataifa zimeshuka kwa zaidi ya KSh 1,000 kwa pipa, na kutoa unafuu kwa madereva wa magari wa Kenya kabla ya ukaguzi wa kila mwezi wa EPRA
Rais Samia kuzindua sera ya usimamizi wa Ugavi
Uzinduzi huo unatajwa kuwa hatua muhimu ya kimkakati inayolenga kuimarisha usimamizi wa...
Wakulima wa parachichi wa kijiji cha Ilolo kata ya Kiwila wilaya ya Rungwe wameazimia kuunda kamati zitakazowapokea wanunuzi na …
Wakulima wa parachichi wa kijiji cha Ilolo kata ya Kiwila wilaya ya Rungwe wameazimia kuunda kamati zitakazowapokea wanunuzi na kuwatambukisha kwa wakulima ili kuhakikisha wanafanya biashara na wanunuzi na mawakala…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Songwe Ndugu Jabiri Makame ametoa onyo kali kwa watu wanaozua taharuki juu ya taarifa za sehemu za siri…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Songwe Ndugu Jabiri Makame ametoa onyo kali kwa watu wanaozua taharuki juu ya taarifa za sehemu za siri za wanaume kutoweka au kupungua ukubwa mara…
Seventy years of China-Africa cooperation with health partnership warming peoples’ hearts
CHINA: THE year 2026 marks the 70th anniversary of the establishment of diplomatic relations between China and Africa, and is also the “China-Africa Year of People-to-People Exchanges”. Health cooperation is…
Bridges of resilience: Mkuyuni project signals progress in Tanzania’s infrastructure push
MWANZA: THE steady rumble of vehicles crossing the nearly completed Mkuyuni Bridge in Mwanza is more than just the sound of traffic— it is a signal of resilience, recovery and…
How BoT joins AFC as equity shareholder
DAR ES SALAAM: AFRICA Finance Corporation (AFC), the continent’s leading infrastructure solutions provider has announced that the Bank of Tanzania (BoT) has made an equity investment in the Corporation, becoming…
Moses Wetang’ula awaonjesha Wakenya mwonekano wa jumba lake la kifahari Bungoma
Huu hapa mwonekano wa kasri ya Moses Wetang'ula huko Bungoma ambapo aliwakaribisha wazee wa jamii ya WaBukusu kwa ajili ya majadiliano kuhusu umoja na uongozi.
Millions targeted as Tanzania scales climate resilience efforts
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S efforts to strengthen climate resilience are gaining momentum as support from the Green Climate Fund continues to expand. This growing support is providing both financial resources…
Taifa Gas maintains steady LPG prices despite global surge
DAR ES SALAAM: TAIFA Gas has announced that it will maintain current retail prices of liquefied petroleum gas (LPG), even as global prices have surged by nearly 43 per cent…
Mbegu za kiume zisizo sahihi zilitolewa kwa familia za Uingereza na kliniki za IVF
Kaskazini mwa Cyprus ni mojawapo ya maeneo maarufu zaidi kwa Waingereza wanaotafuta matibabu ya uzazi nje ya nchi, kulingana na wataalamu.
Mbavu Destroyer amshukuru Oga Obinna kwa kubadilisha maisha yake kwa kumpangia pambano la ndondi
Mwanagenzi Ferdinand Omondi, almaarufu Mbavu Destroyer, anamshukuru YouTuber Oga Obinna kwa kubadilisha maisha yake kabla ya Vurugu Fight Night dhidi ya Majembe.
COLUMN: MIND YOUR LANGUAGE. Fuel prices increase: “people need to prepare”!
DAR ES SALAAM: THE increase in the prices of petrol, diesel and kerosene is not an April 1 Fools’ Day scare. It is real and all the papers of April…
Joint tourism efforts boost sector growth
DODOMA: THE government has said sustained joint cooperation between Mainland Tanzania and Zanzibar is strengthening efforts to harmonise tourism development across the United Republic. Deputy Minister for Agriculture, Mr David…
TARURA plans flood control in Geita
DODOMA: THE government is undertaking a detailed assessment to determine the cost and scope of expanding drainage systems at Mbugani and Kivukoni areas in Geita Municipality as part of efforts…
Paddy output hits 2.6m tonnes, ups food security
PADDY production reached 2.6 million tonnes in the 2024/2025 season, surpassing the national requirement of 1.2 million tonnes and creating a surplus of 1.4 million tonnes. The increase has strengthened…
Tanzania boosts role in regional peace, diplomatic cooperation
DAR ES SALAAM: TANZANIA has renewed its commitment to advancing regional peace, security and diplomatic cooperation, as it continues to actively participate in collective security efforts across the region. The…
Tanzania, Burundi, DRC set strategies to fast-track SGR project
KINSHASA: MINISTERS for Transport from Tanzania, Burundi, and the Democratic Republic of the Congo (DRC) have met to outline strategies to fast-track the implementation of the Standard Gauge Railway (SGR)…
OTR reviews public institutions’ plans to align with Vision 2050
DAR ES SALAAM: THE Office of the Treasury Registrar (OTR) has commenced an exercise to analyse plans and budgets of public institutions and organisations aimed at strengthening their contribution to…
Jinsi Italia inavyoweza kufuzu Kombe la Dunia 2026 licha ya kusakamwa na Bosnia
Italia bado inaweza kufuzu Kombe la Dunia 2026 licha ya kuzabwa na Bosnia, mechi za mchujo, ikitegemea hali isiyoeleweka ya Iran katikati ya mvutano wa kisiasa.
#HABARI: Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traore, amewataka wananchi wa taifa hilo kusahau kabisa kuhusu mas…
#HABARI: Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traore, amewataka wananchi wa taifa hilo kusahau kabisa kuhusu masuala ya demokrasia. Katika mahojiano yaliyotangazwa na televisheni ya taifa ya RTB,…
Police tighten security ahead of Easter festivity
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Police Force has reassured the public that adequate security measures are in place as Christians prepare to conclude the Lent season and celebrate Easter. Authorities…
Jinsi ujasusi wa Marekani na Uingereza ulivyopindua serikali ya Iran mwaka wa 1953
Mpango wa Uingereza ulikuwa kumuondoa Mossadegh na kumweka Fazlullah Zahedi, ambaye walimwona kama mtu mwenye urahisi wa kufanya naye kazi.
Dunia ina mambo na vijambo ‘kweli kweli’, ukitaka kulijua hilo muulize mwanadada wa Uganda, Fortunate Kyarikunda aliyehukumiwa k…
Dunia ina mambo na vijambo ‘kweli kweli’, ukitaka kulijua hilo muulize mwanadada wa Uganda, Fortunate Kyarikunda aliyehukumiwa kifungo cha miezi sita gerezani baada ‘kula milioni 14’ za ada aliyokuwa akilipiwa…
Huko nchini Thailand katika mji wa Bangkok mlimbwende Kamolwan Chanago amejikuta picha zake zikisambaa katika mitandao ya kijami…
Huko nchini Thailand katika mji wa Bangkok mlimbwende Kamolwan Chanago amejikuta picha zake zikisambaa katika mitandao ya kijamii baada ya baadhi ya meno yake bandia kudondoka alipokuwa jukwaani akijinadi. ✍…
Artists urged to build sustainable income sources as four major films launch on Azam Max
DAR ES SALAAM: Film artists in Tanzania have been urged to focus on creating sustainable sources of income to secure better lives now and in the future, while also enhancing…
JIONGEZE: PROF. JAY NI NUHU WA SAFINA YA MUZIKI WA BONGO FLEVA
"...Weka mapenzi kando leteni hoja za msingi, ni wangapi watanipenda nikiwa sina shilingi...?"...
What to expect from Inquiry Commission
AS Tanzanians await the findings of the presidential commission of inquiry into the events surrounding the October 2025 general election, the overriding question is what the public should reasonably expect…
Clerics urge truth, repentance
BAGAMOYO: CHRISTIANS across the country have been urged to embrace truth in their daily lives as a foundation for development, unity and moral integrity. The call was made on Friday…
Govt demands accountability in medicine access
MINISTER for Health Mohammed Mchengerwa has issued key directives to improve access to medicines and health products, stressing that health workers must be accountable and deliver tangible results for citizens.…
Tanzania directs manufacturers to use the TBS service in the metrology field
DAR ES SALAAM: The Tanzanian government has instructed investors and manufacturers operating in the country to effectively utilise services offered by the Tanzania Bureau of Standards, particularly in the field…
Matukio ya awali ambapo ndege za kivita za Marekani zimewahi kuangushwa
Matukio ya ndege za kivita za Marekani kuangushwa huwa hayatokea mara kwa mara, hatua ya ndege hizo kudunguliwa nchini Iran ikiibua mjadala kuhusu mwelekeo wa vita mashariki ya kati. Imechapishwa:…
Marekani na Iran zamtafuta rubani wa pili wa ndege iliyoangushwa
Wataalamu wa masuala ya kijeshi wanaeleza kuwa operesheni kama hizi ni hatari sana na zinahitaji kufanyika kwa haraka zaidi
Victor Wanyama rasmi atundika njumu: “Boy from Muthurwa”
Victor Wanyama, mmoja wa wachezaji soka waliofanikiwa zaidi nchini Kenya, amestaafu baada ya miaka 16, akitafakari safari yake tangu kuwa nahodha wa Harambee Stars.
Mwili wa mwanamume aliyefariki nchini Uingereza miaka 3 iliyopita hatimaye wawasili nyumbani
Mabaki ya mhamiaji kutoka Uganda Bw Mohammed Aziz Tamale Sekajja yamerejea nyumbani baada ya gharama kubwa iliyoshughulikiwa na wasamaria wema.....
Mechi za leo katika LALIGA
Mechi za leo katika LALIGA Real Madrid wapo ugenini dhidi ya Real Mallorca. mechi hii itapigwa kuanzia saa 11:15 jioni. Saa 4:00 usiku, Atletico watakuwa nyumbani wakiwakaribisha FC Barcelona. Michezo…
Ndani ya Boksi: Alikiba kama Isidingo
Alikiba ni tamthiliya kamili kama vile Isidingo. Inaendelea tu kila siku kila mwaka.
LEO Jumamosi usikose mahojiano maalum ya bondia Mfaume mfaume kupitia UFM Radio kuanzia saa 8:00 mchana
LEO Jumamosi usikose mahojiano maalum ya bondia Mfaume mfaume kupitia UFM Radio kuanzia saa 8:00 mchana. UFM,107.3 Dar, 96.5 Arusha, 98.7, Shinyanga, 101.7 Dodoma, 90.9 Musoma, 93.3 Kigoma #TheKingisBack #Narcos…
Wanane wafariki katika tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 5.8 nchini Afghanistan
Watu wanane wa familia moja wamefariki katika jimbo la Kabul kufuatia tetemeko la ardhi lililosikika kote Afghanistan Ijumaa jioni, Aprili 3, Wizara ya Afya ya Afghanistan iliripoti siku moja baadaye.…
MZIZIMA DERBY: ”…Tunazitaka tena”, Meneja Mauzo na Masoko wa Azam FC, Ayubu Shelukindo akiwahamasisha mashabiki wa soka nchi…
MZIZIMA DERBY: ''...Tunazitaka tena'', Meneja Mauzo na Masoko wa Azam FC, Ayubu Shelukindo akiwahamasisha mashabiki wa soka nchini kuungana na klabu hiyo katika shughuli ya uchangiaji damu wa hiyari ili…
Israel imelenga madaraja ya Lebanon yanayounganisha Bonde la Bekaa kusini
Madaraja mawili mapya yaliyolengwa na jeshi la Israel yako katika eneo muhimu linalounganisha Bonde la Bekaa mashariki na kusini mwa Lebanon. Yanadhibiti ufikiaji kati ya mwambao wa ziwa kubwa zaidi…
Tetesi za soka Jumamosi: Wapinzani wa Manchester kumuwania Anderson
Manchester United na Manchester City zote zinataka kukamilisha mpango wa kumsajili kiungo wa Nottingham Forest, Elliot Anderson.
Wanaanga wa Artemis 2 sasa wako katikati ya Mwezi, yasema NASA
Wanaanga wanne wa misheni ya Artemis 2 sasa wako katikati ya Dunia na Mwezi na wanaendelea kukaribia mwili wa angani ambao watauzunguka katika siku chache, kulingana na data zilizotolewa na…
Mwanahawa Ally: Nilivimba mdomo kisa kuimba
Ukifika Zanzibar, ukiacha vivutio vya utalii kama fukwe za bahari na mitaa ya kihistoria ya...
Sudan: Mlipuko mkubwa wasikika Khartoum, mji mkuu wa Nchi
Mlipuko mkubwa umesikika Ijumaa, Aprili 3, 2026, huko Khartoum, mji mkuu unaodhibitiwa na jeshi la Sudan, kulingana na mwandishi wa habari wa shirika la habari la AFP na mashahidi. Imechapishwa:…
Afrika, Ukumbi mwingine wa vita kati ya Urusi na Ukraine
Huu ni uchunguzi wa kipekee wa RFI kuhusu vita vya siri vinavyoendelea katika bara la Afrika, kati ya Kyiv na Moscow nchini Libya. Vita hivi vinafanyika kwa siri na vikijikita…
NBC Premier League kuendelea leo Jumamosi kwa mechi tatu
NBC Premier League kuendelea leo Jumamosi kwa mechi tatu Je, nani kuondoka na alama tatu nani kudondosha kila kitu utashuhudia mbashara kupitia AzamSports1HD. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo…
Haiti: Wanachama wa MMAS washtumiwa kwa ukatili na unyanyasaji wa kijinsia
Ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyochapishwa mwezi Februari inaelezea visa kadhaa vya ukatili na unyanyasaji wa kingono vinavyowahusisha wanachama wa Misheni ya Usaidizi wa Usalama wa Kimataifa nchini Haiti (MMAS).…