🔴KUMEKUCHA KISHINDO: ..MACHI 23, 2026
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: ..MACHI 23, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu ameshutumu Iran kwa kupanga njama za kuvuruga njia kuu za biashara duniani kw…
#HABARI: Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu ameshutumu Iran kwa kupanga njama za kuvuruga njia kuu za biashara duniani kwa kushambulia meli zinazopita katika Mlango-bahari wa Hormuz, ambao ni muhimu…
Ferooz, Dully Sykes kwenye ndoto za Tundaman
Staa wa Bongofleva, Tundaman (41), anafahamika na wengi kwa uwezo wake wa kuimba tangu akiwa na...
DCI Yatoa Taarifa Kuhusu Uchunguzi wa Kutoweka kwa Raphael Tuju
DCI inachunguza kutoweka kwa aliyekuwa waziri Raphael Tuju na dereva wake, huku juhudi za kumpata zikigonga mwamba sababu ya upinzani wa familia.
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55….MACHI 23 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....MACHI 23 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Gari la serikali lilitumika Katika Kusafirisha Miili 14 Katika Kaburi Moja Kericho
Kaburi la halaiki lililogunduliwa Kericho lazua maswali kuhusu mazishi ya ajabu ya miili 14. Serikali imekanusha kufahamu kisa hicho madai ya utekaji nyara yakiwa
#MEZAHURU: Tunaangalia juu ya Radi ambazo zinaendelea kuleta madhara maeneo mbalimbali hapa nchini
#MEZAHURU: Tunaangalia juu ya Radi ambazo zinaendelea kuleta madhara maeneo mbalimbali hapa nchini. Je radi ni nini? Radi zinasababishwa na nini? Kuna aina ngapi za radi? Zipi ni salama na…
Pemba residents unite against GBV
ZANZIBAR: MORE than 3,500 residents from seven shehias in Mkoani District, Pemba, have participated in community dialogues aimed at addressing violence against women and girls, with young people accounting for…
#SISITUMEANZA #AFCON2027
#SISITUMEANZA #AFCON2027 (Feed generated with FetchRSS)
Saudi Arabia yakumbwa na mashambulizi ya makombora ya balestiki
Wizara ya Ulinzi ya Saudi Arabia imetangaza, leo Jumatatu, Machi 23, kuwa mji mkuu wa nchi hiyo Riyadh, umelengwa na makombora mawili ya balestiki, katika siku ya 24 ya mzozo…
Chuck Norris awaliza mastaa
Heshima zimekuwa zikimiminika kutoka pande zote za dunia kwa Chuck Norris, mtaalamu wa muvi ya...
Kombe la Carabao: Kiwango ‘kibovu’ cha Arsenal chazua hofu, je, wamejichimbia shimo?
Arsenal wamepoteza 2-0 dhidi ya Manchester City katika fainali ya Kombe la Carabao, Nico O'Reilly akifunga mabao yote mawili na kumalizia matumaini ya timu ya Mikel Arteta ya kutwaa mataji…
IEA: Dunia inaweza kukabiliwa na mgogoro mbaya zaidi wa nishati kwa miongo kadhaa
Mkuu wa Shirika la Nishati la Kimataifa ameonya ulimwengu kuhusu mgogoro mbaya zaidi wa nishati kwa miongo kadhaa, ikiwa hakutachukuliwa hatua za haraka kusitisha mgogoro huo. Imechapishwa: 23/03/2026 – 05:52…
DRC: Masanduku yenye dola milioni mbili yakamatwa katika uwanja wa ndege wa Kinshasa
Masanduku yenye pesa taslimu yakamatwa na mamilioni ya dola yamekosekana. Fedha taslimu zinasambaa kwa uhuru nchii Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo karibu dola milioni mbili zilikamatwa katika uwanja wa…
Kenya: Wakazi wa maeneo duni ya Nairobi wapandwa na hasira baada ya mvua kubwa kunyesha
Nchini Kenya, mvua kubwa inaendelea kusababisha uharibifu mkubwa kote nchini. Watu themanini na mmoja wamepoteza maisha yao kutokana na mafuriko tangu mwanzoni mwa mwezi Machi, kulingana na takwimu za hivi…
Zaidi ya wanajihadi wa kiislamu 100 waachiwa huru nchini Mali
Zaidi ya wanajihadi wa kiislamu 100 wameachiwa huru hivi karibuni na mamlaka za Mali, ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya wao kusitisha mashambulio dhidi ya misafara ya malori ya mafuta,…
Uganda: Mashirika yasiyo ya kiserikali yalalama baada ya shughuli zao kusitishwa
Nchini Uganda, Mashirika kadhaa yasiyo ya kiserikali ya Haki za Binadamu yanalaani kusitishwa kwa shughuli kao na kufungiwa kwa akaunti zao za benki. Wiki iliyopita, mamlaka ilifungia akaunti za Benki…
Uganda: Serikali yashtakiwa kwa kuendelea kuzingira makazi ya Bobi Wine
Chama cha wanasheria nchini Uganda, ULS, kimeishtaki serikali ya Uganda kwa kile chama hicho kimesema polisi kuendelea kuzingira makazi ya mwanasiasa wa upinzani, Robert Kyagulani, maarufu kama Bobi Wine. Imechapishwa:…
Wakenya waliosajiliwa katika vita vya Ukraine kusamehewa: Nairobi
Waziri wa mambo ya kigeni wa Kenya Musalia Mudavadi, amesema Wakenya waliosajiliwa kupigana katika vita vya Ukraine kwa niaba ya Urusi watasamehewa wakati watakaporejea nyumbani. Imechapishwa: 23/03/2026 – 04:55Imehaririwa: 23/03/2026…
Kenya inavyosogea kwenye siasa za maneno ya nguoni
Maneno yanayozungumzwa na wanasiasa kwao yanaweza kuwa jukwaa la kisiasa tu lakini athari yake kwa umma ni zaidi ya hilo.
Starmer na Trump wajadili umuhimu wa kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz
Uingereza imesema viongozi wamekubaliana kufungua tena njia muhimu ya usafirishaji baharini ili kuhakikisha utulivu wa soko la mafuta.
RDC: Mjadala kuhusu marekebisho ya katiba waendelea kuibua hisia
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, mjadala wa mabadiliko ya katiba unaendelea, miaka miwili kabla ya uchaguzi mkuu, suala linaloonekana kuwagawa wanasiasa na wananchi wa taifa hilo. Imechapishwa: 23/03/2026 –…
Serikali yaimarisha mifumo kukabili athari za mabadiliko ya tabianchi
Takwimu za WMO zinaonyesha majanga ya hali ya hewa yamesababisha hasara kubwa duniani, hasa kwa...
Tetsi za soka Ulaya: Man United inamtaka Lewis-Skelly wa Arsenal
Beki wa Arsenal, Myles Lewis-Skelly, anawaniwa na Manchester United, kiungo wa Manchester City Bernardo Silva ana wasiwasi kuhusu kuhamia Barcelona, huku kiungo wa Newcastle Bruno Guimaraes tayari amefanya mazungumzo na…
#MadridDerby What a game…!!!
#MadridDerby What a game…!!! Je, nini kimekufurahisha zaidi??? Weka hapa uchambuzi wako…!!! FT: Real Madrid 3-2 Atletico Madrid #LigiKuuHispania #LaLigaEASports #LaLigaUpdates #Laliga #RealMadridAtleti (Feed generated with FetchRSS)
#MadridDerby Jitihada za Nahuel Molina Lucero kutia chuma ya pili, hazikutosha kuwapa chochote Atletico Madrid
#MadridDerby Jitihada za Nahuel Molina Lucero kutia chuma ya pili, hazikutosha kuwapa chochote Atletico Madrid. FT: Real Madrid 3-2 Atletico Madrid LIVE #AzamSports4HD #LigiKuuHispania #LaLigaEASports #LaLigaUpdates #Laliga #RealMadridAtleti (Feed generated…
#MadridDerby ‘Salute’
#MadridDerby ‘Salute’ 90’+: Real Madrid 3-2 Atletico Madrid LIVE #AzamSports4HD #LigiKuuHispania #LaLigaEASports #LaLigaUpdates #Laliga #RealMadridAtleti (Feed generated with FetchRSS)
#SerieA Ni sare tena kwa Inter…!!
#SerieA Ni sare tena kwa Inter…!! FT: Fiorentina 1-1 Inter Madrid Derby inaendelea LIVE #AzamSports2HD #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #FiorentinaInter (Feed generated with FetchRSS)
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 23, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
Man City yatwaa Kombe la Carabao ikiilaza Arsenal
Vigogo hao wa Manchester sasa wamefikisha idadi ya mataji tisa ya Kombe hilo wakishika nafasi...
Simba yapanda nafasi ya pili ikiichapa TRA United
Klabu ya Simba imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambapo timu hiyo sasa imesogea hadi nafasi ya pili katika msimamo wa ligi ikifikisha pointi…
Silva kuondoka Man City, ofa zamwagika mezani
KIUNGO shoka wa Manchester City, Bernado Silva (31), hivi sasa anaweza kuwa anapitia taratibu...
Kapinga ataja mafanikio ushirikiano Tanzania, China
CHINA: Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amesema kuwa mafanikio ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na China yanaendelea kuimarika kwa kasi ndani ya kipindi cha miaka minne…
Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) imezindua utafiti wa sensa ya pili ya rasilimali za uvuvi katika Ziwa Tanganyika, …
Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) imezindua utafiti wa sensa ya pili ya rasilimali za uvuvi katika Ziwa Tanganyika, utakaodumu kwa siku 21 katika nchi nne za Tanzania, DRC,…
Serikali imesema inaendelea na mazungumzo na mataifa yanayozalisha mafuta ili kupunguza athari za uwezekano wa upungufu wa nisha…
Serikali imesema inaendelea na mazungumzo na mataifa yanayozalisha mafuta ili kupunguza athari za uwezekano wa upungufu wa nishati nchini, kufuatia kuendelea kwa mgogoro katika eneo la Mashariki ya Kati. Akizungumza…
Jaji mstaafu Julie Manning anatarajiwa kuzikwa Machi 24, 2026 katika Makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, baada ya ibada…
Jaji mstaafu Julie Manning anatarajiwa kuzikwa Machi 24, 2026 katika Makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, baada ya ibada ya kuaga mwili itakayofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Peter, Oysterbay.…
Moshi, Kilimanjaro Machi 22, 2026, Wanariadha wa Kitanzania wameendelea kung’ara katika ardhi ya nyumbani, kupitia mbio za kilom…
Moshi, Kilimanjaro Machi 22, 2026, Wanariadha wa Kitanzania wameendelea kung’ara katika ardhi ya nyumbani, kupitia mbio za kilomita 21 maarufu ‘Yas Kili International Half Marathon 2026’. Mbizo hizi zinazofanyika kila…
Timu kutathmini majengo ya Serikali yasiyotumika Dar
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Dk Jim Yonazi...
Nsajigwa afuta mapumziko Prisons
KOCHA wa Prisons, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’, amesema kuwa kikosi hicho hakitakuwa na muda wa mapumziko kwani anahitaji kufanyia kazi eneo la utulivu kwa wachezaji wake.
Muya ataka mechi za kirafiki Coastal
KOCHA wa Coastal Union Mohamed Muya ameweka wazi mkakati wake kuelekea kipindi hiki cha mapumziko, huku akisisitiza umuhimu wa kucheza mechi za kirafiki ili kujiweka sawa kabla ya kurejea kwenye…
Mecky agundua dawa Mbeya City
KOCHA wa Mbeya City, Mecky Maxime amesema anahitaji kulifanyia kazi zaidi eneo la saikolojia kwa wachezaji wake ili waweze kuwa na utulivu wanapokuwa uwanjani.
M/kiti CCM aonya maneno matamu kwenye shida ya maji
Katika kuadhimisha Siku ya Maji Duniani, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa...
Vurugu, ubaguzi vyatawala Sunderland ikiichapa Newcastle
Mchezo wa Ligi Kuu England kati ya Newcastle United na Sunderland ulisimamishwa kwa muda kwa...
Mgambo watatu mbaroni kwa tuhuma za mauaji
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia askari mgambo watatu kwa tuhuma za mauaji ya...
Watanzania watawala Yas Kili International Half Marathon 2026
Wanariadha wa Kitanzania wameendelea kung’ara katika ardhi ya nyumbani, kupitia mbio za...