Straika JKU akoleza ZPL moto mbio za ubingwa
SAFU ya ushambuliaji ya timu ya JKU inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) imeendelea kujiwekea mikakati kabambe kuhakikisha taji linarudi msimu huu.
Kiu ya ubingwa yaitesa KVZ
KATI ya timu za vikosi zinazoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) ambazo hazijawahi kubeba ubingwa wa ligi hiyo, KVZ ni mojawapo tangu kuanza kwa ligi hiyo mwaka 1984. Nyingine ni Uhamiaji.
Pointi 27 kufunga hesabu za Uhamiaji
KOCHA Mkuu wa Uhamiaji, Abdul Saleh, amesema licha ya kuwepo ugumu wa Ligi Kuu Zanzibar msimu wa 2025-2026, lakini sio sababu ya kuacha kupigania malengo yao.
Waziri Kapinga ataja mambo sita Tanzania kuwa kivutio kwa wawekezaji
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ameeleza kwa kina sababu kuu zinazofanya...
Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 18 hadi 20 amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali katika mtaa…
Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 18 hadi 20 amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali katika mtaa wa Nyerere, kata ya Ipuli, baada ya kutuhumiwa kumfanyia…
Furahia na dumisha ndoa yako kisayansi
Kwa muda mrefu, ndoa imekuwa ikitazamwa kama jambo la hisia, bahati au mapenzi yasiyo na maelezo.
Daraja linalounganisha Bamba na Dege Kigamboni lakatika
Wananchi wa Kigamboni wameeleza adha wanayopitia kutokana na kukatika kwa daraja...
Tanzania, South Africa agree to promote volunteer activities, disaster management, and humanitarian law
JOHANNESBURG: THE Deputy Minister for Transport, David Kihenzile, has visited the offices of the Red Cross in Johannesburg, where he met with senior leaders of the Southern African Red Cross…
Wakulima Rungwe walalamikia wizi wa parachichi, watishia kukata miti
Wimbi la wizi wa parachichi shambani limeibua taharuki kwa wakulima wa Wilaya ya Rungwe mkoani...
Kibada Orphanage Centre sees a memorable Eid Day at Fun City
DAR ES SALAAM: OVER 30 youth from Busara Orphanage Centre in Kibada, Kigamboni, were treated to a memorable Eid celebration after being hosted by Fun City in Dar es Salaam.…
Nairobi: Waziri wa zamani Raphael Tuju aripotiwa kutoweka, gari lake lapatikana limetelekezwa
Waziri wa zamani Raphael Tuju ameripotiwa kupotea. Gari lake limepatikana limetelekezwa Karen. Familia ilitoa tahadhari kufuatia ripoti za kutisha kutoka kwa polisi.
Dk Mwinyi ataja vikwazo vitatu ukuaji wa uchumi Zanzibar
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametaja mambo makuu matatu yanayokwamisha uchumi wa...
Tanzania, Afrika Kusini kushirikiana usimamizi wa majanga
JOHANNESBURG: Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, ametembelea ofisi za Red Cross jijini Johannesburg, ambako alikutana na viongozi wakuu wa Southern African Red Cross Society akiwemo rais na katibu mkuu,…
UN: Maji safi na salama ni nguzo ya usawa wa kijinsia na afya kwa wanawake na wasichana
Kuelekea siku ya maji duniani, Jumatatu ya tarehe 22 mwezi Machi, Katibu Mkuu wa Mataifa António Guterres ametoa wito wa hatua za haraka kukabiliana na changamoto za maji duniani, akisisitiza…
AU: Ni wakati wa kutoka kwenye ahadi hadi vitendo kuhusu maji na usafi Afrika
Dunia ikiadhimisha Siku ya maji, Muungano wa Afrika AU, umeweka kipaumbele katika masuala ya maji na usafi wa mazingira katikati ya ajenda yake ya maendeleo ya mwaka 2026, ukiashiria mabadiliko…
Vitisho vya Trump kwa Iran kuongeza makali ya vita Mashariki ya Kati
Rais wa Marekani, Donald Trump na Serikali ya Iran wametishia kuongeza makali ya vita yao kwa...
Ruto, Gachagua wanavyotupiana maneno majukwaani, mbio za uchaguzi 2027
Joto la Uchaguzi Mkuu wa Kenya 2027 limeanza kupanda huku mijadala ikielekezwa zaidi kwenye...
Utalii wa kupanda Mlima Kilimanjaro kwa muda mfupi wavutia watalii
Utalii wa kupanda Mlima Kilimanjaro kwa muda mfupi maarufu kwa jina la Ultra marathon, unatajwa...
Mwisho wa makubaliano ya Atlantiki; kwa nini Marekani imetengwa katika vita vyake vya kichokozi dhidi ya Iran?
Duru ya pili ya hujuma za kijeshi za Marekani na utawala wa Kizayuni imekuwa nukta muhimu katika historia ya mikataba na makubaliano ya kijeshi katika ulimwengu wa Magharibi.
Uingereza kutegemea mifumo ya Marekani kujilinda dhidi ya mashambulizi ya Iran
Uingereza italazimika kutegemea mifumo ya ulinzi wa makombora ya Marekani iliyoko Ulaya iwapo...
Paskazia alivyopambania elimu ya mwanaye mwenye ulemavu
Katika kijiji kidogo cha Mjesani wilayani Mkinga, Mkoa wa Tanga kuna simulizi inayogusa moyo na...
China’s Zero-Tariff Policy: A new era of economic opportunities and shared African growth
DAR ES SALAAM: STARTING May 1, 2026, China will fully implement zero-tariff treatment on 100 per cent of tariff lines for 53 African countries that have established diplomatic relations with…
Jeshi la Iran latungua ndege nyingine ya kivita aina ya F15 ya adui mvamizi, Sepah inaendelea kutoa dozi
Jeshi la Iran limetangaza kuwa limetungua ndege ya kivita aina ya F15 ya maadui wavamizi, Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel, kusini mwa nchi.
Wakati Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) imeanza utafiti wa siku 22 katika Ziwa Tanganyika, ukiwashirikisha watafiti…
Wakati Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) imeanza utafiti wa siku 22 katika Ziwa Tanganyika, ukiwashirikisha watafiti kutoka nchi zinazozunguka ziwa hilo ambazo ni Tanzania, Rwanda, Jamhuri ya Kidemokrasia…
Pyramids yavuliwa Ubingwa, Al Ahly nje CAFCL
Safari ya Wamisri, Al Ahly na Pyramids katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, 2025-2026...
Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) imeanza utafiti wa siku 22 katika Ziwa Tanganyika, ukiwashirikisha watafiti kutoka…
Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) imeanza utafiti wa siku 22 katika Ziwa Tanganyika, ukiwashirikisha watafiti kutoka nchi zinazozunguka ziwa hilo ambazo ni Tanzania, Rwanda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya…
Trans Nzoia: George Natembeya amchana Susan Nakhumicha huku wakirushiana maneno makali
Katika mzozo mkali wa kisiasa, aliyekuwa Waziri wa Afya Susan Nakhumicha anayelenga ugana 2027 alimshutumu gavana wa Trans Nzoia George Natembeya kwa ubadhirifu.
Lionel Messi achochea mjadala AFCON 2025
Senegal, ambayo awali ilionekana kunufaika na matokeo ya uwanjani, imeibuka kuwa mstari wa...
Ndindi Nyoro amtaka Ruto kuchunga ulimi wake, asema siasa za vitisho ni kupoteza muda: “Hatutakimya”
Ndindi Nyoro aliwasihi viongozi wa Kenya kuwasiliana kwa uwajibikaji, akisisitiza uadilifu na uwajibikaji ili kukuza umoja na heshima ndani ya mazungumzo ya kisiasa.
Kamanda Mousavi: Iran sasa inadhibiti kikamilifu anga ya Israel
Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ametangaza kuwa makombora ya Iran sasa yanadhibiti kikamilifu anga ya utawala ghasibu wa Israel.
Marekani yajipapatua kudhibiti bei ya mafuta; Washington yafuta vikwazo vya mafuta ya Iran kwa muda
Baada ya Iran kufunga Lango Bahari la Hormuz na kupanda bei ya nishati kwa kiwango kikubwa, Wizara ya Fedha ya Marekani imelazimika kutangaza kuwa imeondoa vikwazo vya kununua mafuta ya…
Kili Marathon 2026 attracts thousands in Moshi despite rains
MOSHI: Despite the heavy rains currently being experienced in Kilimanjaro Region, participants and spectators braved the early morning rain ot take part in the famous Kilimanjaro International Marathon. KENYAN athlete…
Lissu aitahadharisha Mahakama kuhusu afya yake mahabusu
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameieleza Mahakama ya...
Umuhimu wa kuisoma familia ya mtarajiwa
Kujua familia ya mwenza mtarajiwa ni jambo muhimu sana katika mchakato wa kujenga uhusiano...
Trump alaumiwa kwa kufurahia kifo cha bosi wa zamani wa FBI
Rais wa Marekani, Donald Trump, amekumbana na wimbi la lawama baada ya kutoa kauli...
Simba target clinical edge ahead of TRA United clash
DAR ES SALAAM: SIMBA SC Head Coach Steve Baker has challenged his side to be more clinical in front of goal as they prepare to face TRA United in a…
TUONGEE KIUME: Tuheshimu kiapo cha ndoa, talaka si ujanja
Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na wimbi la kusikitisha la kuvunjika kwa ndoa nchini...
Kiambu: Rigathi Gachagua aiga sauti ya Kindiki, mkemea kufuatia kuongezeka kwa visa vya mauaji Meru
Kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua amkemea Naibu Rais Kithure Kindiki kuhusu kuongezeka kwa visa vya mauaji Meru, akihoji kujitolea kwake kuwalinda raia wa eneo hilo.
Ndoa si mbio za kasi, ni za masafa marefu
Ukiwaona wanandoa wapya wakitembea kwa bashasha, nyuso zikiwa zimejaa matumaini na mioyo...
The party that might lose its guests: AFCON 2027 and the quiet panic behind the planning
DAR ES SALAAM: HELLO everybody! Welcome to the gently unravelling emotional landscape of AFCON 2027 preparations, to be jointly hosted by Tanzania, Uganda and Kenya. Three nations currently performing the…
Sudan: Zaidi ya watu 60 wameuawa katika shambulio dhidi ya hospitali (WHO)
Shambulio dhidi ya hospitali nchini Sudan limesababisha vifo vya watu wasiopungua 64, wakiwemo watoto 13, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ameripoti siku ya Jumamosi, akitoa wito wa…
Rais Putin: Russia itaendelea kuwa rafiki na mshirika wa Iran
Rais wa Russia amesisitiza kuwa nchi yake itaendelea kuwa mshirika mwaminifu wa Iran katika nyakati hizi ngumu za kukabiliana na hujuma ya kichokozi ya utawala wa Kizayuni na Marekani
ONGEA NA ANTI BETTI: Mchumba wangu ‘kilaza’ wa teknolojia, nifanyeje?
Nina mchumba, hivi karibuni nilipata nafasi ya kumtembelea mahali akiwa na rafiki zake...
Jeshi la Iran limelenga Uwanja wa Ndege wa Ben‑Gurion kwa droni
Msemaji wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa jeshi hilo limetekeleza shambulio kwa mafanikio dhidi ya Uwanja wa Ndege wa Ben‑Gurion katika mji wa Lod umbali wa…
Iran yatoa onyo kuhusu hujuma dhidi miundombinu ya nishati na mafuta
Msemaji wa Kamandi ya Jeshi la Iran ya Khatam al-Anbiyaa (SAW) ametoa onyo kali kuhusu uwezekano wa kushambuliwa kijeshi miundombinu ya nishati na mafuta ya Iran.
Tanzania secures membership in World Boxing
DAR ES SALAAM: THE Boxing Federation of Tanzania (BFT) has announced that Tanzania has officially been admitted as a member of World Boxing, a global body recognised by the International…
Nairobi: Mshukiwa 1 auawa, 2 wajeruhiwa baada ya polisi kuzima tukio la ujambazi Wangari Maathai Rd
DCI inaripoti kifo cha mshukiwa wa wizi jijini Nairobi. Majambazi wenye silaha waliwashambulia maafisa wa polisi, na kusababisha ufyatuaji risasi.
Robert Mueller, wakili maalum wa Marekani katika ‘uchunguzi wa Urusi,’ amefariki
Robert Mueller, wakili maalum wa Marekani anayejulikana kwa jukumu lake katika kuongoza “uchunguzi nyeti sana wa Urusi” ulioathiri mwanzo wa muhula wa kwanza wa Donald Trump, amefariki akiwa na umri…
Kama hakutaki usimlazimishe
Katika maisha ya uhusiano wa kimapenzi, watu wengi hujikuta wakihangaika kulazimisha uhusiano...