TWCA yagawa vitabu kuhamasisha masomo ya biashara
Katika juhudi za kuimarisha elimu na kuwajengea wanafunzi msingi imara wa taaluma za biashara...
Mkutano wa Injili Tabora kufanyika kwa masharti
Sakata la zuio la mkutano wa Injili mkoani Tabora limechukua sura mpya baada ya Serikali...
Aliyekataa penalti ya Yanga vs Azam, Singida BS vs Simba wafungiwa
WAAMUZI Hussein Katanga kutoka Tabora na Ally Mnyupe wa Morogoro, wamekumbana na adhabu za kufungiwa kutokana na makosa yaliyotokea kwenye michezo waliyochezesha.
#HABARI: Kupitia ukurasa rasmi wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt
#HABARI: Kupitia ukurasa rasmi wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema kuwa tayari ametoa maelekezo rasmi ya kisheria kufuatia picha na video…
Vigogo wamebanwa mbavu Ligi Kuu
Wakati jana mashabiki wa Simba wakifurahia sare ya mchezo wa TRA United dhidi ya Yanga, leo...
#HABARI: Tume ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imebainisha kuwa rufaa na malalamiko yanayofikishwa katika tume hiyo yanahusu …
#HABARI: Tume ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imebainisha kuwa rufaa na malalamiko yanayofikishwa katika tume hiyo yanahusu utoro kazini, ubadhilifu wa mali za umma pamoja na watumishi kutotekeleza…
#HABARI: Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, ameiambia jumuiya ya Kimataifa nchini India kuwa Tanzania …
#HABARI: Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, ameiambia jumuiya ya Kimataifa nchini India kuwa Tanzania inachukua hatua za kimkakati kuimarisha uzalishaji na usambazaji wa umeme ili kukidhi…
Kwahani yavuna Sh5 millioni Masauni & Seif Cup
MASHINDANO ya Masauni & Seif Cup, yamemalizika kwa timu ya Kwahani kuibuka kidedea na...
Simba, Yanga zitakavyonogesha Kombe la Muungano 2026
WAKATI za Yanga na Simba zikiwa miongoni mwa timu shiriki za Kombe La Muungano 2026, imeelezwa uwepo wao utaleta ushindani na kuongeza hadhi kwa mashindano hayo.
Simba yabanwa Kirumba, Azam Lake Tanganyika
WAKATI jana mashabiki wa Simba wakifurahia sare ya mchezo wa TRA United dhidi ya Yanga, leo Alhamisi ikawa zamu ya wenzao kushangilia baada ya wekundu hao kulazimishwa sare ya bao…
Mwanamke asikitika baada ya mwanamume aliyeishi naye kwa miaka 9 kumleta mrembo bomani: “Hatujaoana”
Moyo wa Elieshi Ndetaulwa ulivunjika baada ya mpenzi wake kumtambulisha mwanamke mpya, hali iliyoibua wasiwasi baada ya miaka tisa pamoja na watoto watatu.
Mwanamke ajawa na huzuni baada ya mwanamume aliyeishi naye kwa miaka 9 kumleta mrembo mwingine
Moyo wa Elieshi Ndetaulwa ulivunjika baada ya mpenzi wake kumtambulisha mwanamke mpya, hali iliyoibua wasiwasi baada ya miaka tisa pamoja na watoto watatu.
Kazi: Namungo imenirejeshea kujiamini baada ya wakati mgumu Simba
DAKIKA 1530 katika mechi 17 za Ligi Kuu Bara msimu huu alizocheza beki wa kati wa Namungo FC, Hussein Kazi, amesema zimemwongezea kitu kikubwa, tofauti na msimu uliopita akiwa Simba…
#HABARI: Wanachama wa kikundi cha “Asante Mbeya” wamezua gumzo jijini Mbeya baada ya kupita mitaani na gari la matangazo wakisha…
#HABARI: Wanachama wa kikundi cha "Asante Mbeya" wamezua gumzo jijini Mbeya baada ya kupita mitaani na gari la matangazo wakishangilia kufanikiwa kurejesha mali zao, ikiwemo magari matatu, zilizokuwa zimechukuliwa isivyo…
Sababu walimu wa diploma kufundisha shule za msingi
Katika hatua inayotarajiwa kubadili mwelekeo wa ubora wa elimu nchini, Serikali inatarajia...
#MALUMBANOYAHOJA: NINI KIFANYIKE BODABODA ZITUMIKE KAMA FURSA BADALA YA KUGEUKA JANGA KWA WAHUSIKA NA JAMII?
#MALUMBANOYAHOJA: NINI KIFANYIKE BODABODA ZITUMIKE KAMA FURSA BADALA YA KUGEUKA JANGA KWA WAHUSIKA NA JAMII?
Ouma: Kukosekana Tchakei pigo, lakini ni fursa kwa wengine
KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, Mkenya, David Ouma amesema kukosekana kwa kiungo mshambuliaji wa kikosi hicho, Marouf Tchakei, ni pigo kubwa kwa timu hiyo, ingawa ni nafasi pia nyingine…
Kipigo chamzindua Nsajigwa Prisons
KIPIGO cha mabao 2-1 ilichokipata Tanzania Prisons dhidi ya Singida Black Stars juzi kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara, kimemwibua kocha wa timu hiyo, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’, baada ya kukiri…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TABORA, MACHI 19, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TABORA, MACHI 19, 2026
Ambokile atuliza presha Mbeya City
MSHAMBULIAJI wa Mbeya City, Eliud Ambokile amesema licha ya mwenendo usioridhisha wa kikosi hicho msimu huu katika Ligi Kuu Bara, lakini bado wana nafasi ya kubadilisha upepo mbaya unaowaandama, kutokana…
Tanzania agrees to establish ties with China in four strategic areas
CHINA: THE Tanzanian government has agreed to establish and strengthen cooperation with China’s Shandong Province in industry, mining, agriculture, and tourism. The Minister of State in the President’s Office –…
Kachwele apelekwa HFX Wanderers
MSHAMBULIAJI Mtanzania, Cyprian Kachwele amejiunga na Halifax Wanderers FC ya Ligi Kuu Canada kwa mkataba wa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Whitecaps FC 2.
Sababu radi kupiga Dar, jinsi ya kujikinga
Katika kipindi hiki cha mvua, ili kujikinga na radi unapaswa kuepuka kukaa chini ya miti.
Faith Odhiambo Asema Alikutana na Mumewe Kanisani, Awashukuru Marafiki kwa Kufanikisha Penzi Hilo
Aliyekuwa rais wa LSK Faith Odhiambo amesimulia jinsi alivyokutana na mumewe na kubainisha kuwa marafiki zao wawili walianzisha hatua ambayo ilipelekea ndoa tamu.
Mzozo Iran wageuka vita ya kiuchumi, bei za mafuta, gesi kupaa zaidi
Bei ya gesi barani Ulaya imepanda kwa zaidi ya asilimia 30, baada ya Rais wa Marekani, Donald...
Mzozo Iran wageuka vita ya kiuchumi, bei za mafuta, gesi kupaa zaidi
Bei ya gesi barani Ulaya imepanda kwa zaidi ya asilimia 30, baada ya Rais wa Marekani, Donald...
#HABARI: Jamii imeaswa kuwalinda watoto ili wasifanyiwe vitendo vya ukatili ambavyo vimekithiri katika baadhi ya maeneo Wilaya y…
#HABARI: Jamii imeaswa kuwalinda watoto ili wasifanyiwe vitendo vya ukatili ambavyo vimekithiri katika baadhi ya maeneo Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani. Akizungumza katika mashindano ya kusoma qurani Kata ya Vikindu…
Uhamiaji yatoa mwelekeo mechi 10 ZPL
MWENYEKITI wa timu ya Uhamiaji inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), Ali Juma Abdulkadir amesema kipindi cha mapumziko kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kimewafanya wachezaji kupumzisha miili yao.
Wadau waona fursa mpya utekelezaji mapendekezo ya tume ya kodi
Siku moja baada ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi kuwasilisha...
Laughing her way to the top, Asmah glorifies Tanzanian comedy
DAR ES SALAAM: WHEN the lights dim and anticipation fills the room, few performers command attention quite like Asmah Majed, popularly known by her stage name Asmaah Jamida. With sharp…
Babu Owino Akataa Pendekezo la Kuwa Katibu Mkuu wa ODM: “Nataka Kuwa Kiongozi wa Chama”
Mbunge Babu Owino amepuuzilia mbali madai kwamba anawania kiti cha katibu mkuu wa ODM, akisisitiza kuwa anataka tu nafasi ya kiongozi wa chama cha Chungwa
Simulizi baba alivyomkata mwanae vipande na kuvitumbukiza chooni – 1
Huwezi kuamini baba mzazi anaweza kufanya haya, lakini ushahidi uliotolewa umethibitisha hilo...
Tanzania, China zanufaika na miamala ya Sh200 bilioni ya Stanbic
Ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na China umeendelea kuimarika, huku nchi hizo mbili...
Lindi plants 1.2 million trees as Tanzania marks the Forestry Day
LINDI: THE Minister of Natural Resources and Tourism, Dr Ashatu Kijaji, has announced that a total of 1.2 million trees have been planted in Lindi Region as part of the…
Bosco Bitanda: Korti yasitisha mazishi mjane na mamake mfanyabiashara aliyefariki wakipigania mwili
Mfanyabiashara Bosco Ssenyonjo na wanawe wawili walifariki katika ajali ya barabarani. Mzozo kati ya mjane na mamake ulichelewesha mazishi yao huku korti ikiingilia
🔥 SIRI ZAKO ZIKO SALAMA KWELI… AU ZINASUBIRI UGOMVI?
🔥 SIRI ZAKO ZIKO SALAMA KWELI… AU ZINASUBIRI UGOMVI? Kuna watu wanajua kila kitu kukuhusu… lakini siku mkigombana wanageuka kuwa maadui zako wakubwa 😮💨 🎬 Usikose kipindi hiki kali kinachochambua…
Dr Nchimbi graces the national tree-planting campaign in Lindi
LINDI: THE Vice President Emmanuel Nchimbi has officially launched the International Day of Forests and the National Tree Planting Campaign 2026, warning that the rate of forest loss in the…
Wanawake wahimizwa kuchangamkia fursa sekta ya usuluhishi
Wakati sekta ya Utatuzi wa Migogoro kwa Njia Mbadala (ADR) ikiendelea kukua kwa kasi duniani...
Wanafunzi wajikusanyia mamilioni ya ubunifu, ujasiriamali
Katika juhudi za kuchochea ubunifu, utafiti na uthubutu miongoni mwa vijana, sambamba na...
Wazawa wajitosa kuendesha taksi mtandao baada ya Uber kuondoka
Ikiwa ni takribani miezi miwili sasa tangu kampuni ya kimataifa ya taksi mtandao ya Uber...
Usafiri kikwazo ufuatiliaji elimu, mwarobaini watolewa
Licha ya maendeleo ya elimu kuanza kuimarika Zanzibar, imebainika kuwa ukosefu wa usafiri kwa...
“Hiyo ni miongoni mwa sera za shirikisho la dunia kuhakikisha usawa unaendelea, katika kugawanya aina ya mchezo wa mieleka mashi…
"Hiyo ni miongoni mwa sera za shirikisho la dunia kuhakikisha usawa unaendelea, katika kugawanya aina ya mchezo wa mieleka mashindano ya wanawake nayo yamengia kwenye staili sehemu ya kukuza ule…
Wananchi 35,000 wanufaika majisafi Babati
MANYARA: Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Babati (BAWASA) mkoani Manyara imekamilisha mradi wa maji wa Darakuta hadi Minjingu ambao utasaidia kusambaza maji kwa wananchi zaidi ya 35,000 wa…
“Mieleka kama mieleka ni mirusho na mitupo, judo ni kama ngwala kwa sababu unamshika, unatega mguu unamuangusha,”-Hashim Zongo -…
"Mieleka kama mieleka ni mirusho na mitupo, judo ni kama ngwala kwa sababu unamshika, unatega mguu unamuangusha,"-Hashim Zongo - Mkurugenzi wa Ufundi Chama cha Mieleka Tanzania. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI…
Takukuru yawagusa wenye uhitaji Manyara
MANYARA: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Manyara imekabidhi vyakula na zawadi mbalimbali kwa watoto yatima wanaoishi katika kituo cha kulelea watoto cha Hosana kilichopo wilaya…
Dunia ya Siku Zijazo
Hebu, jaribu kufumba macho yako na faradhisha kuwa unaishi katika mwaka wa 2050. Kwa mtazamo wako dunia itakuwaje wakati huo? Mgawanyo wa nguvu umebadilika vipi?
Unakionaje kikosi cha Pamba dhidi ya Simba leo?
Unakionaje kikosi cha Pamba dhidi ya Simba leo? Tupe maoni yako hapa chini, mechi ni saa 10:00 jioni.