Mpanzu alivyoizamisha Singida BS
Bao la dakika ya 84 la Ellie Mpanzu limeipa Simba ushindi wa mabao 2-1 ugenini kwenye Uwanja wa...
Wafanyakazi 471 wa gati la mafuta Tanga walalamikia kutolipwa stahiki
Wafanyakazi hao walifika katika kliniki hiyo tangu Machi 10, 2026 na kuwasilisha madai...
Prisons v Yanga ngoma ipo hapa!
ZILE vurugu zote za wapi mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Tanzania Prisons na Yanga itachezwa, zimezimwa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) iliyopangwa ipigwe Jamhuri, Dodoma huku…
Mwanamke anayedaiwa kuwa mamake Bahati akataa matokeo ya DNA: “Nilijua hakuna kitu”
Mwanamuziki wa Kenya Bahati hivi majuzi alienda kufanya vipimo vya DNA, na akapewa majibu. Mwanamke anayedai kuwa mamake, hata hivyo, amekanusha matokeo.
Kipa Mlandege aja na mawili ZPL
KIPA wa Mlandege ambayo ni bingwa mtetezi wa Ligi Kuu Zanzibar, Hamad Ubwa ‘Baro’ amesema ana kibarua cha kutetea ubingwa na timu hiyo na kuwa kipa bora wa msimu.
SMZ kukuza vituo vya michezo Zanzibar
SERIKALI imesema itakiunga mkono kituo cha Olympafrica Zanzibar kilichopo visiwani hapa kwa kukifanyia maboresho ya miundombinu kwani kinakuza vipaja vya michezo kwa watoto.
Vikosi vya Ukraine vimeshambulia mojawapo ya “viwanda muhimu vya kijeshi” vya Urusi, Rais Volodymyr Zelensky amesema
Vikosi vya Ukraine vimeshambulia mojawapo ya "viwanda muhimu vya kijeshi" vya Urusi, Rais Volodymyr Zelensky amesema. "Kiwanda hicho kinazalisha vifaa vya elektroniki na vifaa vya makombora ya Urusi. Makombora yenyewwe…
Suti kubwa ya Oburu Odinga akiwa na Ruto yaibua gumzo miongoni mwa Wakenya
Suti isiyofaa ya kiongozi wa chama cha ODM Oburu Odinga iliiba shoo kwenye mkutano wa UDA-ODM, na hivyo kuzua wimbi la maoni kutoka kwa Wakenya mitandaoni.
Rea yakaribisha sekta binafsi kuwekeza miradi ya umeme vijijini
Mradi huo unatekelezwa na Kanisa Katoliki Jimbo la Njombe kupitia Shirika la Benedictine...
Namungo yafikisha mechi saba bila ushindi ikilala kwa TRA
KICHAPO cha mabao 2-0 ilichopokea Namungo kutoka kwa TRA United, kimeifanya timu hiyo kutoka Ruangwa mkoani Lindi kufikisha mechi saba mfululizo za Ligi Kuu Bara bila ushindi.
Chunya yaweka mikakati kuongeza uzalishaji wa ufuta
Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, imeweka mikakati madhubuti ya kuongeza uzalishaji...
Mpanzu aizamisha Singida BS, Simba iking’ara ugenini
NI Elie Mpanzu ambaye dakika 15 za mwisho zilitosha kwake kuimaliza mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa leo Jumatano Machi 11, 2026 ambayo Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-1…
Wanaojifungua wahimizwa kutumia kikamilifu likizo ya siku 90
Wanaojifungua nchini wamehimizwa kutumia kikamilifu muda wa mapumziko wa miezi mitatu baada ya...
SADC briefs the Tanzanian envoys on its 47th Ministers’ meeting
PRETORIA: TANZANIA’S Deputy Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Dr Ngwaru Maghembe, and Deputy Minister for Finance, Laurent Luswetula, have arrived in Pretoria, South Africa, to participate in…
Kenya na Afrika Kusini zakubaliana kuimarisha ushirikiano wa kidijitali barani Afrika
NAIROBI – Kenya na Afrika Kusini zimeahidi kuimarisha ushirikiano katika sekta ya teknolojia na mawasiliano ya kidijitali ili kukabiliana na changamoto zinazotokana na maendeleo ya teknolojia, hususan matumizi ya akili…
Rais Samia ateta na mwakilishi UN
Tayari mjumbe huyo, ameshazungumza na viongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
Ilichokisema CCM mbele ya mwakilishi wa UN
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendeleza dhamira yake ya muda mrefu wa kuheshimu...
‘Matumizi ya Kiswahili sekondari yanajitaji tafiti za kina’
MWANZA: KATIBU wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenan Kihongosi amesema wazo la kutumia lugha ya Kiswahili kufundishia kuanzia shule za msingi hadi sekondari ni…
Kanuni kudhibiti maonyesho ya biashara yanayofanyika holela
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade) imekuja na kanuni maalumu ambazo zinalenga...
Wanajeshi watumwa kulinda usalama katika baadhi ya maeneo Johannesburg
Nchini Afrika Kusini, wanajeshi wametumwa kulinda usalama katika maeneo yanayoaminiwa kuwa na usalama mdogo jijini Johannesburg. Imechapishwa: 11/03/2026 – 16:00Imehaririwa: 11/03/2026 – 16:06 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya…
Wamiliki viwanja jijini Dodoma watakiwa kuviendeleza ndani ya miezi 36
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imewataka wamiliki binafsi na taasisi zinazomiliki viwanja katika...
Tanzania insists on building the capacity of its health workers on proper use of medical equipment
MOROGORO: THE Tanzanian government has continued to strengthen maternal and child healthcare services by building the capacity of health professionals in the proper use of medical equipment, as part of…
Tanzania’s Health Experts broaden efforts to improve disease surveillance
DAR ES SALAAM: TANZANIA is taking new steps to strengthen its national laboratory network as part of broader efforts to improve disease surveillance and preparedness for future health threats. Health…
Iran yarusha makobora katika nchi za Ghuba, Israeli ikiishambulia Lebanon
Vita vimeendelea kwenye eneo la Mashariki ya Kati, ambapo Marekani na Israeli zimeendelea kuishambulia Iran na Lebanon, huku Iran nayo ikirusha makombora katika nchi za Ghuba, katika mzozo unaoendelea kusababisha…
Meneja Uwanja wa Mkwakwani Tanga asimamishwa kwa uzembe
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajab Abdallah, amemsimamisha kazi...
PM embarks on Katavi Region tour to inspect development projects
MPANDA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba is expected to conduct a four-day working visit to Katavi Region, where he will inspect the implementation of various development projects and meet with local…
O’ Sullivan to celebrate St Patrick’s Day in Dar as Tanzania, Ireland deepen ties
DAR ES SALAAM: THE Irish Minister of State at the Department of Housing, Local Government and Heritage responsible for Nature, Heritage and Biodiversity, Christopher O’Sullivan TD, will celebrate the Ireland’s…
Mikopo kausha damu, ajira, kero za afya zateka mkutano wa CCM Magu
Mikopo ya kausha damu na mikopo ya vijana ni miongoni mwa kero zilizotawala mkutano wa hadhara...
Mahakama yasitisha kesi ya mafuta ya kampuni ya Burundi
Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara imesitisha kuendelea na usikilizaji wa kesi ya kampuni ya...
CCTV yaonesha jinsi maarifa ya barobaro yalivyomsaidia kuwaponyoka majambazi usiku
Picha za CCTV zilifichua jinsi barobaro mmoja aliwaponyoka majambazi akiwa kwenye simu yake nje ya nyumba yake. Watu mitandaoni walikuwa na hisia mseto.
Wadau: Sera rafiki chachu Tanzania kung’ara biashara ya Kaboni
Wadau wa maendeleo wamesema Tanzania ina uwezo mkubwa wa kupiga hatua kiuchumi iwapo itaweka...
Waziri: Tunatambua yanayoendelea soko la Darajani
Wakitoa maoni yao kuhusu suala hilo, baadhi ya wananchi wamesema wanasikitishwa na vitendo vya...
Ushiriki wa kihistoria wa wakazi wa Tehran katika mazishi ya Mashahidi wa Vita vya Ramadhani
Hafla ya mazishi ya Mashahidi wa Vita vya Ramadhani imefanyika kuanzia Uwanja wa Mapinduzi (Maidan-e Enqelab) hadi Mi‘raj al-Shuhadaa jijini Tehran, ikiambatana na mahudhurio makubwa ya wananchi waliokuja kutoa heshima…
UK commends Tanzanian efforts in response to the Marburg outbreaks
BUKOBA: THE United Kingdom High Commission has commended the Tanzanian government for the strategies and efforts it implemented in responding to infectious disease outbreaks, particularly the Marburg virus disease that…
Rostam aahidi uhuru wa uhariri NMG
Mfanyabiashara Rostam Azizi amesema uwekezaji wake katika kampuni ya Nation Media Group (NMG)...
Webuye: Mwanamke Aliyenusurika Ajali Iliyoua Jamaa 6 wa Familia Moja Asimulia Yaliyojiri
Linet Mwanja alinusurika katika ajali Kakamega, akishuhudia mkasa huku trela likiwagonga waokoaji na kusababisha vifo vya watu 15 na wengine kadhaa kujeruhiwa.
Israel: Mashambulizi dhidi ya Iran yataendelea ‘bila kikomo’
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz ametangaza mnamo Machi 11 kwamba mashambulizi yaliyoanzishwa kwa pamoja na Israel na Marekani dhidi ya Iran mnamo Februari 28 yataendelea “bila kikomo.” Asubuhi…
Zanzibar bans the sale of alcohol in non-tourist areas during Ramadan
ZANZIBAR: THE government of Zanzibar has prohibited the sale of alcohol in all areas of the Isles that don’t involve tourists during the holy month of Ramadan, the Minister of…
Seneta wa Marekani akiri: Hatutafikia malengo yetu yoyote katika vita na Iran
Chris Murphy, Seneta wa chama cha Democrat nchini Marekani, kufuatia kikao cha faragha na maafisa wa utawala wa Rais Donald Trump kuhusu uvamizi wa kijeshi dhidi ya Iran, amekosoa mtazamo…
Rais wa Ukraine Zelensky kuzuru Uhispania ‘katika siku zijazo’
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anatarajiwa nchini Uhispania “katika siku zijazo,” Waziri wa Ulinzi wa Uhispania Margarita Robles ametangaza Jumatano, bila kutaja tarehe ya ziara hiyo. Imechapishwa: 11/03/2026 – 13:38…
Tabora approves 50.9bn/- budget for the construction, rehabilitation of its road infrastructure
TABORA: THE Tabora Regional Road Board has approved the 50.9bn/- budget for the Rural and Urban Roads Agency (TARURA) for the maintenance, construction, and rehabilitation of road infrastructure for the…
Je, ni kisiwa gani muhimu cha Iran ambacho Marekani inataka kukiteka
Eneo la kimkakati la kiuchumi la kisiwa cha Kharg linaiweka katika hatari ya kulengwa kijeshi.
Rasmi Dr.Dre aingia kwenye orodha ya mabilionea
Rapa na mtayarishaji wa muziki kutoka Marekani Dr. Dre ameendelea kuandika historia katika...
Mfanyikazi wa Umoja wa Mataifa, raia wa Ufaransa ameuawa Goma
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amethibtihisha kuuawa kwa raia wa taifa hilo aliyekuwa mfanyikazi wa Umoja wa Mataifa katika shambulio jijini Goma, DR Congo. Imechapishwa: 11/03/2026 – 13:10Imehaririwa: 11/03/2026 –…
Mufti Mkuu wa Russia ampongeza Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei
Mufti Mkuu wa Russia ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Masuala ya Kidini ya Waislamu wa Shirikisho la Russia ametuma ujumbe akimpongeza Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei kwa kuchaguliwa kuwa…