Ajuza alia korti ikiamuru kuuzwa kwa nyumba yake baada ya mwanawe kukosa kulipa karo ya mtoto
Mahakama iliamuru kuuzwa kwa nyumba ya Julia Albin ili kulipa deni la mtoto wake, na kumwacha yeye katika hali ya kukata tamaa. Wakazi waliitaka serikali kuingilia.
Pendekezo la Urusi lakwama, la Bahrain lapita; ni kuhusu Iran
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekutana alasiri hii kwa saa za New York, Marekani katika kikao cha pili leo kujadili mgogoro unaozidi kuongezeka katika Mashariki ya Kati.
Ukatili wa kingono unaohusiana na migogoro DRC wafikia kiwango cha kutisha – UNJHRO
Ofisi ya Pamoja ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, UNJHRO, imeonya kuhusu kiwango kikubwa cha ukatili wa kingono unaohusiana na migogoro katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC),…
Tumesikitishwa na kustushwa na kifo cha mwenzetu Goma DRC: UNICEF
Shirika la UNICEF limesema limesikitishwa na kushtushwa na kifo cha mfanyakazi wake Karine Buisset kilichotokea katika shambulio linaloripotiwa kufanywa na droni katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhriy a Kidemokrasia…
Siku ya 12 ya mashambulizi Mashariki ya Kati: Watu takribani 2000 wamepoteza maisha
Mashirika ya Umoja wa Mataifa yanaonya kuhusu kuongezeka kwa mahitaji ya kibinadamu huku idadi ya watu wanaokimbia makazi yao ikiongezeka, huduma za msingi zikikabiliwa na shinikizo, na kuyumba kwa utulivu…
Baraza la Usalama: Lebanon haihitaji msaada inahitaji pumzi ya oksijeni kuendelea kuishi
Baaza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limekutana mjini New York Marekani kujadili hali ya kibinadamu inayozidi kuzorota nchini Lebanon. Akizungumza katika mjadala wa Baraza hilo jijini New York…
Wanaume wasiachwe nyuma kwenye harakati za utetezi wa haki za wanawake na wasicha- Osowobi
Oluwaseun Ayodeji Osowobi, mwanaharakati wa haki za wanawake nchini Nigeria amezungumzia umuhimu wa kushirikisha wanaume katika harakati za kupigania haki za wanawake duniani wasichana. Rashid Malekela na maelezo zaidi.
Vijana wachagiza hatua za haraka kuhusu haki za wanawake katika CSW70
Mkutano wa 70 wa Kamisheni ya Hali ya wanawake Duniani CSW70 leo unaendelea hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa New York ukiwa umeingia siku ya 3. Na vijana hawakusahaulika…
Urusi: Intaneti kuzimwa ‘kwa muda wote itakapohitajika’ kwa ajili ya ‘usalama wa raia’
Kuzimwa kwa huduma ya intaneti na usumbufu mkubwa uliotokea katika siku za hivi karibuni nchini Urusi utaendelea kutumika “kwa muda unaohitajika” ili kuhakikisha “usalama wa raia” licha ya vitisho vya…
China backs Tanzania’s industrial drive through manufacturing
DAR ES SALAAM: China has reiterated its commitment to deepen cooperation with Tanzania in industrial development, reinforcing a growing partnership centred on manufacturing, technology transfer and skills development. The assurance…
Yanga’s Job out of the pitch for 3 months due to a knee surgery
DAR ES SALAAM: TAIFA Stars and Young Africans defender, Dickson Job has undergone a knee surgery in South Africa today, March 11, 2026, following an injury sustained during their barren…
Vijana washauriwa kuwasilisha bunifu zao kujiwekeza
DAR ES SALAAM: VIJANA ambao wanamiliki kampuni changa wameshauriwa kuwasilisha mawazo yao ya ubunifu, ili kuendelea kujiimarisha kwenye uwekezaji. Akizungumza jana, Rodrique Msechu, mwanzilishi wa kampuni ya Serengeti Business Angels…
Ajali Webuye: Mwanamume ampoteza mamake, jamaa wengine 4 katika ajali iliyoangamiza watu 15
Mwanamume mmoja wa Webuye amefiwa na mama na kaka zake watatu kwenye ajali ya barabara ya Webuye-Kitale iliyoua watu 15. Serikali ya Bungoma iliahidi kuwasaidia
Kwa nini Iran inataka vita vyake dhidi ya Israel na Marekani viendelee?
Iran bado inaendelea kuishambulia Israel, na kambi za kijeshi za Marekani katika mataifa ya Ghuba kwa kutumia makombora na ndege zisizo na rubani.
Experts from 14 nations begin training on the laboratory’s preventive maintenance
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has continued its efforts to build the capacity of laboratory experts from 14 African Union member countries in efforts to ensure they have common…
Tanzania, Nigeria hold talks aimed to accelerate Investment, trade for economic development
LAGOS: THE Tanzania Investment and Special Economic Zones Authority (TISEZA) has convened a high-level Forum in Lagos, Nigeria, led by the Tanzanian High Commissioner to Nigeria, Selestine Kakele, High alongside…
Tanzania, Canada agree to maintain their long-standing friendship in economic cooperation
LONDON: THE Minister of State in the President’s Office (Special Duties), Professor Palamagamba Kabudi, held talks with Canada’s Deputy Minister of Foreign Affairs, Robert Oliphant, to discuss ways of strengthening…
Tanzania sees medicine, medical supplies provision jump from 73 percent to 88.8 percent
DODOMA: THE Ministry of Health has enhanced efforts to strengthen the availability of medicines, medical supplies, diagnostics, and other health commodities across the country, with availability reaching 88.8 percent in…
Tanzania guarantees Universal Health insurance for all employees
DAR ES SALAAM: THE Chief Medical Officer of the Government, Dr Grace Magembe, has instructed Tanzanian employers to ensure every employee has guaranteed access to medical care, a move aimed…
RC Iringa aagiza mageuzi sekta ya misitu, asisitiza yasiishie kwenye makaratasi
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ameagiza viongozi wa halmashauri zote mkoani humo...
Tanzania yapongezwa kukabili magonjwa mlipuko
KAGERA: Ubalozi wa Uingereza nchini umeipongeza Serikali ya Tanzania kwa mikakati na jitihada za kukabiliana na magonjwa ya mlipuko hasa ugonjwa wa Marburg uliotokea mkoani Kagera kwa vipindi viwili tofauti.…
Tanzania, WHO launch the monitoring system for healthcare-associated infections
KIGOMA: The Health Service Quality Assurance Unit, in collaboration with the World Health Organization (WHO), has launched an assessment of the monitoring system for controlling infections associated with healthcare services.…
Ndjoli mbunifu anayepiga picha kwenye maeneo ya kushangaza tu
Siku zote ubunifu huleta upekee. Hilo linajionesha kwa Jean Jacques Ndjoli mbunifu wa picha...
“Kuwaandaa Wakurdi kwa vita kuna hatari ya kuchochea hisia za kizalendo Iran” – Wall Street Journal
Hastings anaamini vita ambavyo Donald Trump anapigana sasa katika Mashariki ya Kati vinamnufaisha mtu mmoja zaidi kuliko mtu mwingine yeyote katika eneo hilo, yaani Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu
Dr Samia agrees to take care of the abandoned baby girl
DODOMA: The President of the United Republic of Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan, has officially welcomed a newborn baby girl who was abandoned in Nzega town, Tabora Region, and received…
Muhimbili provides free specialist services for nine diseases in Morogoro
MOROGORO: MUHIMBILI National Hospital (MNH) in collaboration with Vodacom Foundation, has begun providing free specialist services to citizens in Kilosa District in Morogoro Region. A statement issued by MNH said…
PBPA yasisitiza ushirikiano, uwajibikaji kuongeza tija kazini
PWANI: Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) wametakiwa kuzingatia uadilifu, uwazi na weledi katika kuwasilisha na kushughulikia changamoto za watumishi wanaowawakilisha, ili kuongeza…
Baba azungumza kwa uchungu baada ya mwanawe wa MMUST kupatikana amekufa katika nyumba ya kupanga
Ziara ya baba mmoja kwa MMUST ilifichua mkasa wa wanafunzi wawili waliopatikana wamefariki, na kuibua wimbi la huzuni mjini Kakamega kwa wakazi wakijiuliza maswali.
Chadema yaiambia UN mabadiliko ya kikatiba muhimu Tanzania
Katika taarifa hiyo, Mnyika alimpatia mwawakilishi huyo uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho...
China kuendeleza ukuaji wa viwanda Tanzania
Chen amesema China na Tanzania zimeingia katika makubaliano yanayolenga kuunga mkono maendeleo...
Rais Samia amuasili mtoto aliyetelekezwa Nzega
DODOMA: Rais Dk Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike leo Machi 11, 2026 Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Mtoto huyo alipewa jina la Grace Samia Suluhu, alitelekezwa mjini Nzega,…
Iran imeandaa maandamano makubwa ya Siku ya Kimataifa ya Quds
Maandamano makubwa ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds yanatarajiwa kufanyika katika miji na maeneo yote ya Iran Ijumaa hii.
Guardiola atoa tahadhari Man City ikiingia Bernabeu
Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola, amewataka wachezaji wake kucheza kwa kujiamini...
Maxime achekelea straika wake, wakiipeleka Singida BS Manyara
WAKATI Mbeya City ikitimkia Tanzanite Kwaraa mkoani Manyara kwa ajili ya mechi yake dhidi ya Singida Black Stars, kocha mkuu wa timu hiyo, Mecky Maxime ameonesha kuridhishwa na ubora wa…
Kyle Walker atundika daluga England baada ya miaka 14
Beki Kyle Walker ametangaza kustaafu rasmi kuitumikia timu ya taifa ya England baada ya...
Familia ya Kisii Yapanda Mti Kwenye Kaburi la Mwanao Aliyefariki Nchini Urusi, Yaeleza Sababu
Familia ya Kisii ilifanya mazishi ya mfano kwa Clinton Nyapara, aliyeripotiwa kufariki Donetsk baada ya kujiunga na jeshi la Urusi, walipozika mti katika kaburi lake
BRICS and Africa: A New Era of Multilateral Partnerships for 2026
SOUTH AFRICA: AFRICA’s G20 is done and dusted. Like a teenage dream, it got a rude awakening as Realpolitik hit hard amidst Trump 2.0. Overall, Africa’s G20 program outcomes were…
Mazungumzo ya kikanda kwa ajili ya kufunga kambi za majeshi ya Marekani Asia Magharibi, kisa Mashambulizi ya Iran
Duru za kuaminika zimeiambia Rusia Today kwamba nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi zimeanza mazungumzo ya kujadili suala la kufunga kwa muda kambi za majeshi ya Marekani katika eneo…
Medvedev: Mashambulizi dhidi ya Iran ni uchokozi unaokiuka misingi ya uungwana
Naibu Mkuu wa Baraza la Usalama la Russia ametuma ujumbe akimpongeza Kiongozi Mkuu mpya wa Iran, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei na kusema kuwa mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya…
Ndindi Nyoro ajenga shule mpya ya sekondari kwa heshima ya marehemu Mwai Kibaki
Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro alijenga shule mpya ya upili kwa heshima ya marehemu rais Mwai Kibaki kutokana na urithi wake wa kudumu katika sekta ya elimu.
Oil prices swing wildly amid mixed messages over Iran war
USA: OIL prices are seeing dramatic swings as traders struggle to make sense of mixed messages about the impact of the United States and Israel’s war on Iran. Brent crude,…
Film Board urges stakeholders to renew licences before deadline
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Film Board has urged stakeholders in the country’s film industry to renew and update their operating licences before the March 31st deadline. In a statement…
Communities urged to turn waste into wealth
DAR ES SALAAM: COMMUNITIES have been encouraged to view waste as an economic resource, with growing initiatives promoting recycling and reuse as a way to generate income, improve environmental management…
‘Kikombe Cha Ndoto’ campaign tackles classroom hunger
DAR ES SALAAM: FOUR out of every ten children in Tanzania’s public schools attend classes without access to school meals, a challenge that education stakeholders say continues to undermine learning…
Pezeshkian amhutubu Trump: Wavamizi huja na kwenda, lakini Iran itabaki
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amekosoa vikali vitisho vya kukaririwa vya Rais wa Marekani, Donald Trump kwamba ataisambaratisha Iran, akisiitiza kuwa, wavamizi na waharibifu mithili Trump walikuja na wakaondoka, lakini…
Rais Pezeshkian asisitiza ulazima wa kulaaniwa kwa uhalifu wa Marekani na utawala wa Kizayuni
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, katika mazungumzo ya simu na Rais wa Russia, amesisitiza ulazima wa kulaaniwa vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na Marekani na utawala wa…
Iravani alaani mauaji ya wanadiplomasia 4 wa Iran nchini Lebanon
Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameyataja mauaji ya kigaidi ya wanadiplomasia wanne wa Jamhuri ya Kiislamu katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut kama 'jinai ya kihaini'.