William Ruto Aanza Kuvamia Ngome ya Kalonzo na Kumpokonya Wafuasi Ukambani
Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka anafanya harakati za kuunganisha kura za Ukambani kabla ya uchaguzi wa 2027 huku washirika wa William Ruto wakipata ushawishi.
Nini maana ya Marekani kushindwa kistratejia
Kwa nini Marekani inakaribia kushindwa kistratejia Jibu la swali hili linapatika katika utambulisho wa vita vya sasa vilivyoanzishwa na Marekani na Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Wabunge Chato, madiwani wanne wafikishwa kortini tuhuma za rushwa
Amesema lengo ni kupiga kura za upendeleo kwa mgombea waliyemtaka katika nafasi ya mwenyekiti...
Lebanon yaahirisha uchaguzi wa wabunge kwa miaka miwili kutokana na migogoro
Bunge la Lebanon limetangaza kuahirisha uchaguzi wa wabunge uliopangwa kufanyika mwezi Mei kwa miaka miwili kutokana na vita vinavyoendelea kati ya Israel na Hezbollah inayounga mkono Iran, kulingana na taarifa…
Ayatullah Mojtaba Khamenei ni nani?
Miongoni mwa maswali muhimu yanayoulizwa sana wakati huu kuhusu Iran ni kwamba, Ayatullah Mojtaba Husseini Khamenei ni nani? Na kwa nini Baraza la Wataalamu limemchagua kuongoza Iran? Ili kuelewa chaguo…
Tanzania steps up efforts to establish National Water Grid
SHANDONG: TANZANIA is stepping up plans to establish a National Water Grid aimed at linking major water sources across the country to guarantee a reliable water supply for economic growth.…
Uingereza: Hatutaingia katika vita dhidi ya Iran/ Ireland yalaani uvamizi wa Marekani na Wazayuni dhidi ya Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amesema kuwa London haitajiunga katika vita vya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran.
Uingereza: Hatuingia katika vita dhidi ya Iran/Ireland yalaani uvamizi wa Marekani na Wazayuni dhidi ya Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amesema kuwa London haitajiunga katika vita vya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran.
PM graces the construction of 1.6bn/-.Nkasi vocational school
SUMBAWANGA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has today, March 9, 2026, laid the foundation stone for the construction of the Rukwa Regional Vocational Secondary School located in Majengo Ward, Namanyere, Nkasi…
Wataalamu wajadili vifo wajawazito, watoto
KIGOMA: WATAALAMU wa afya ya uzazi wamekutana mkoani Kigoma kufanya tathmini kufuatia changamoto mbalimbali zinazochangia kuendelea kwa vifo vya wajawazito na watoto. Kikao hicho kinafanyika ikiwa utekelezaji wa awamu ya…
Robertson afunguka kuhusu ofa ya Tottenham
Beki wa kushoto wa Liverpool, Andy Robertson, amesema aliamua kukataa ofa ya kujiunga na...
Mwanahabari Kwambox Afiwa na Kakake Mdogo, Ray Baada ya Kupambana na Autism
Kwambox anaomboleza kifo cha ghafla cha mdogo wake Ray, akishiriki kumbukumbu mitandaoni huku mashabiki na watu mashuhuri wakitoa salamu za rambirambi
Takriban watu 700,000 wakimbia makazi yao Lebanon huku mgogoro Mashariki ya Kati ukizidi
Takriban watu 700,000 wamelazimika kuyahama makazi yao nchini Lebanon huku vita vinavyoendelea Mashariki ya Kati vikisababisha madhara makubwa kwa raia, hayo yameelezwa na mashirika ya Umoja wa Mataifa hii leo.
Alya Abu Shawish, mwanamke aliyeko mstari wa mbele kuondoa hatari ya mabomu Gaza
Hii leo pia hapa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani, imefanyika hafla ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake ambayo duniani kote iliadhimishwa jana Jumapili.…
Niliumia sana nilipoona wenzangu wanaenda shule, nami siendi – Sanita
Nilipopata taarifa kuwa ninarejea shuleni, nilihisi furaha mno, ndivyo asemavyo Sanita Wilson Lucas, mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 13 ambaye alilazimika kuacha masomo ya elimu ya msingi kwa…
CSW70 yang’oa nanga ikisistiza haki, haki ya kisheria na hatua kwa wanawake na wasichana
Kikao cha 70 cha Kamisheni ya Hali ya Wanawake Duniani CSW70 kimefungu pazia hii leo jijini New York Marekani, mwaka huu kikibeba maudhui “Haki, haki ya kisheria na Hatua kwa…
UN yatoa tamko kufuatia amri ya jeshi la Sudan Kusini kuyataka mashirika ya kutoa misaada kuondoka Akobo
Timu ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Masuala ya Kibinadamu nchini Sudan Kusini imeeleza wasiwasi wake mkubwa kufuatia amri iliyotolewa na Jeshi la ulinzi la wananchi wa Sudan Kusini (SSPDF) tarehe…
Marekani ilitumia torpedo ya aina gani kuzamisha meli ya Iran?
Shambulio la torpedo lililoipiga meli ya kivita ya Iran katika Bahari ya Hindi ilirushwa kutoka kwa manowari USS Charlotte.
Waliopisha ujenzi soko kuu Bariadi kupewa kipaumbele
SIMIYU: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeiagiza serikali ya Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu kuhakikisha wafanyabishara waliopisha ujenzi wa Soko Kuu la Bariadi wapewe vipaumbele kabla kuruhusu watu wapya.…
Mechi ya maajabu iliyoacha mshangao refa akitoa nyekundu 23
Fujo za aina yake zimeibuka mwishoni mwa mchezo wa fainali ya michuano ya jimbo la Minas Gerais...
Makundi ya Muqawama yapongeza kuchaguliwa Kiongozi mpya wa Mapinduzi ya Kiislamu
Harakati za Muqawama zimetoa taarifa zikilipongeza taifa la Iran kwa mnasaba wa kuchaguliwa Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei kama Kiongozi mpya wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini.
Baada ya Basi la City Shuttle Laharibika Breki na Kugonga Magari Kadhaa na Kuua Mmoja
Mgongano wa kusikitisha katika barabara ya Valley Road uliohusisha basi la City Shuttle ulisababisha kifo cha mmoja kufariki na wengine kadhaa kujeruhiwa.
Tambiko La Ajabu Huku Watoto Wawili Wakipitishwa Juu ya Jeneza la Mamao Muda Mfupi Kabla ya Kuzikwa
Video ya ndugu wakipitishwa juu ya jeneza la mama yao wakati wa ibada ya mazishi ilizua mjadala mtandaoni, ikiangazia maoni tofauti kuhusu utamaduni.
SBL, State keen to bolster PPP for agriculture development
Dar es Salaam: Serengeti Breweries Limited (SBL) yesterday met with the Minister for Agriculture, Hon. Daniel Chongolo, in a strategic engagement focused on strengthening local agricultural value chains, empowering farmers,…
Kilichotokea katika nchi ambazo Marekani iliingilia kijeshi Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini
Katika miongo ya hivi karibuni, Marekani imeingilia kijeshi katika nchi kadhaa Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, wakati mwingine kama mhusika mkuu na nyakati zingine ambapo imekuwa na jukumu maalum…
Tanzania allocates 28bn/- for small-scale traders at Kariakoo Market
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has allocated 28bn/- to create an enabling environment for business at Kariakoo Market and to improve its infrastructure, aiming to maintain its status as…
Kanda za CCTV Zawaanika Wauaji wa Mbunge Ong’ondo Were
Picha za CCTV zilifichua matukio ya aliyekuwa mbunge Charles Ong'ondo Were kabla ya mauaji yake ya kutisha, huku uchunguzi ukizidi kuwahusu washukiwa wanaotarajiwa.
Araghchi: Trump amekiri kutenda jinai kwa kutishia kuwaua Wairani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema vitisho vipya vilivyotolewa na Rais Donald Trump vya kuwashambulia na kuwaua wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ni kukiri wazi wazi kwa kiongozi…
Jeshi la IRGC latangaza utiifu kwa Kiongozi mpya wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kufuatia kuchaguliwa kwa Ayatullah Seyed Mojtaba Khamenei kuwa Kiongozi mpya wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesema liko tayari kikamilifu kutekeleza amri zake.
ITB Berlin affirms Tanzania as Africa’s most dynamic travel destination
BERLIN: TANZANIA has stepped onto the global tourism stage at ITB Berlin 2026, presenting itself as one of Africa’s most dynamic travel destinations while strengthening tourism partnerships with Germany and…
Bil 5.3/- zawezesha wanawake Moro
MOROGORO: WANAWAKE 8,248 wa Mkoa wa Morogoro wamepata mipoko yenye thamani ya Sh bilioni 5.3 kupitia vikundi vyao kwa ajili ya kuwainua kiuchumi katika kipindi cha mwaka 2025 . Mwenyekiti…
Teknolojia ya tiba mwanga inayopambana na magonjwa sugu
Kwa mujibu wa wataalamu wa afya, phototherapy ni aina ya matibabu yanayotumia mawimbi maalumu...
Govt to spend 8.1bn/- repairing flood-hit Serengeti infrastructure
MARA: TANZANIA will spend about 8.1bn/- to repair roads and bridges damaged by heavy rains in the country’s flagship wildlife destination, Serengeti National Park, the tourism minister said on Sunday.…
Aliyekuwa Mhubiri wa JCM Charles Wachira Afungua Kanisa Lake USA Baada ya Kukosana na Muthee Kiengei
Pasta Charles Wachira alizindua Kanisa la God's Love International huko Tacoma, wiki kadhaa baada ya kuondoka katika kanisa la JCM la Muthee Kiengei.
OTR outlines rationale for private sector engagement in state-owned enterprises
THE Office of the Treasury Registrar (OTR) has explained that the government’s decision to collaborate with the private sector in managing certain state-owned enterprises is aimed at enhancing efficiency, attracting…
Sababu Guardiola kuiongoza Man City fainali ya Carabao na kifungo
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, atakuwa sehemu ya benchi la ufundi kuiongoza timu yake...
Timu ya Wanawake ya Iran yazua gumzo
Taarifa zimeibuka kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa baadhi ya wachezaji wa timu ya taifa...
Tanzania hands over 10m/- relief to ailing Zahir Zorro
DAR ES SALAAM: Deputy Minister for Information, Culture, Arts and Sports, Hamis Mwinjuma, has visited veteran dance music musician Zahir Ally Zorro at his home in Kigamboni, Dar es Salaam,…
Vita vya Mashariki ya Kati: Israel yatangaza mashambulizi mapya Beirut na Iran
Israel imetangaza mapema Jumatatu asubuhi, Machi 9, kwamba imefanya mashambulio mapya nchini Iran dhidi ya “miundombinu ya utawala” na huko Beirut, Lebanon, dhidi ya malengo ya Hezbollah. Iran inaendelea kulipiza…
Tanzanian students in India urged to use their knowledge to develop their nation
NEW DELHI: TANZANIA’S Deputy Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Dr Ngwaru Maghembe, has met with Tanzanian students studying at various universities in India in a meeting aimed…
Tanzania asks Commonwealth members to deepen ties in time of political pressure
LONDON: THE Minister of State in the President’s Office (Special Duties), Palamagamba Kabudi, has said the Commonwealth of Nations should continue to serve as an important platform for addressing development…
Kihongosi aonya viongozi wanaodhulumu wananchi
Aliongeza kuwa CCM ina mifumo imara ya kusimamia nidhamu na kuwawajibisha viongozi wake ili...
Kihongosi aonya viongozi wa CCM wanaodhulumu wananchi
Aliongeza kuwa CCM ina mifumo imara ya kusimamia nidhamu na kuwawajibisha viongozi wake ili...
RC Shinyanga anogesha siku ya wanawake duniani
SHINYANGA: KIKUNDI cha Mwanamke Chuma wilayani Kahama kimemkabidhi keki mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kwa niaba ya wanawake wote katika kusherekea Siku ya Wanawake Duniani. Mkuu wa Mkoa Mhita amekabidhiwa…
Joe Miles: Mpiga Picha wa Kisumu Auawa Akiwa Mwanamke Naivasha
Taarifa mpya zinafichua mpiga picha wa Kisumu Joe Miles alikuwa na mwanamke alipouawa Naivasha. Kakake anasimulia jinsi maafisa wa DCI walivyotoa habari hiyo.
Joe Miles: Mpiga Picha wa Kisumu Auawa Akiwa Mwanamke Naivasha
Taarifa mpya zinafichua mpiga picha wa Kisumu Joe Miles alikuwa na mwanamke alipouawa Naivasha. Kakake anasimulia jinsi maafisa wa DCI walivyotoa habari hiyo.
Sh bil 1 kuwezesha wanawake kiuchumi Ushetu
SHINYANGA: Vikundi viwili vya wanawake halmashauri za wilaya ya Ushetu na Shinyanga vimekabidhiwa hundi yenye zaidi ya Sh bilioni 1.6 kutoka mapato ya ndani kwa ajili ya kujiwezesha kiuchumi. Hundi…
Wanawake washauriwa kuzingatia vigezo mikopo
DAR ES SALAAM: WATAALAMU na washauri wa masuala ya fedha kutoka Brac Tanzania Limited wamewataka wanawake kuacha kutanguliza shida binafsi wanapohitaji mikopo, badala yake kuzingatia vigezo na masharti ya kisheria.…
Waziri: Miradi inayotekelezwa iwe chachu kuongeza gawio kwa Serikali
Amesema shirika hilo ni miongoni mwa mashirika makongwe ambayo yametoka mbali na kuasisiwa...
DRC: Uchimbaji madini na ukosefu wa kanuni za usalama chanzo cha maporomoko ya udongo
Operesheni ya kutafuta miili ya watu waliofariki inaendelea mashariki mwa DRC kufuatia kuporomoka kwa udongo kwenye mgodi wa koltani huko Rubaya, Kivu Kaskazini, Jumanne, Machi 3, eneo linalodhibitiwa na kundi…