Maandamano dhidi ya kituo cha kupambana na Ebola cha Marekani huko Kenya yageuka kuwa vurugu
Polisi wa Kenya wametumia gesi ya kutoa machozi dhidi ya raia waliokuwa wakiandamana huko Nanyuki leo Jumanne kupinga kuanzishwa kituo cha karantini cha Marekani ndani ya kambi ya kijeshi ili…
Mashabiki DR Congo wapigwa marufuku
Mechi ya mwisho ya maandalizi ya Kombe la Dunia ya DR Congo dhidi ya Chile itachezwa bila...
Singapore sees Tanzania as a major economic gateway in Africa
DAR ES SALAAM: SINGAPORE has identified Tanzania as one of Africa’s most promising economies due to its strategic location, ports, and role as a trade gateway for East Africa. Singaporean…
Singapore FDI in Tanzania hits US$535M from 36 projects
DAR ES SALAAM: Singapore’s investment in Tanzania has surged to US$535.13 million, spread across 36 projects, creating 3,228 jobs for Tanzanians across key sectors of the economy. The figure comes…
Vifo vya Ebola Congo vyazidi 100, tahadhari ikitolewa
Zaidi ya watu 100 wamefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Ebola katika kipindi cha chini ya...
RC Malima aagiza Halmashauri Morogoro kuwasaidia vijana kusajili bidhaa
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima, ameziagiza halmashauri zote za mkoa huo kuweka utaratibu...
Nyota ambao hawajafunga bao Kombe la Dunia
Zikiwa zimebaki siku mbili kabla ya Fainali za Kombe la Dunia 2026 kuanza huko Marekani, Canada...
Anayedaiwa kumuua mpenziwe Dar kuendelea kusota rumande hadi Juni 23
Upande wa mashtaka katika kesi ya mauaji inayomkabili mfanyabiashara, Rehema Hassan (42)...
Abuni mashine kuokoa watoto njiti
ARUSHA: Mbunifu Mosety Baita kutoka jijini Arusha amebuni mashine maalumu ya kisasa inayolenga kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya muda wao (njiti), pamoja na kusaidia huduma za afya kwa…
Scientists urge urgent action to save Monik River in Ngorongoro
ARUSHA: Scientists are warning that failure to act early to protect Monik River in Ngorongoro District could lead to costly environmental restoration in the future, as new research shows early…
“Tafiti za NIMR ziwe suluhisho changamoto za afya”
ARUSHA: Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameiagiza Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa (NIMR) kuendelea kuzalisha tafiti na ubunifu zinazosaidia kutatua changamoto mbalimbali za afya nchini Mchengerwa ameyasema hayo…
Ni ujumbe gani umetolewa na vita vipya na vya muda mfupi kati ya Iran na Israel?
Hatimaye duru mpya ya vita kati ya utawala wa Kizayuni na Iran ilianza Jumapili, kufuatia utawala huo kuishambulia Lebanon mara kwa mara; na ingawa ilikuwa fupi, lakini ilikuwa na ujumbe…
Kenya: Maandamano ya kupinga ujenzi wa kituo cha Ebola yafanyika tena
Nchini Kenya, polisi wamekabiliana na waandamanaji wanaopinga kujengwa kwa kituo cha karantini cha wagonjwa wa Ebola raia wa Marekani katika Mji wa Laikipia. Imechapishwa: 09/06/2026 – 14:58Imehaririwa: 09/06/2026 – 15:12…
Range Rover, Lexus, Land Cruiser: Sonko atikisa mitandao na msafara wa magari yake ya kifahari
Msafara wa kifahari wa aliyekuwa Gavana wa Nairobi Mike Sonko, wenye thamani ya KSh milioni 90 hadi KSh milioni 100, umezua hisia mseto akisaidia familia iliyofiwa.
Mkakati waiva kukuza vipaji UMITASHUMTA, UMISETA
IRINGA: SERIKALI imetangaza mkakati mpya wa kitaifa wa kutambua, kusajili na kufuatilia vipaji vinavyoibuliwa kupitia mashindano ya UMITASHUMTA na UMISETA, hatua inayolenga kuhakikisha hakuna kipaji kinachopotea na kwamba vijana wenye…
Dar Leopards and Roadgrip host Rugby Festival return
DAR ES SALAAM: TANZANIAN rugby community expects hot action this weekend as the Dar Leopards & Roadgrip’s Annual Touch Rugby Tournament returns on Friday, June 12, 2026, at Ufundi Stadium…
Uhakiki wa mali wachelewesha makubaliano kesi ya Sh5.7 bilioni
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha hadi Juni 22, 2026 kesi ya uhujumu uchumi...
Spika Qalibaf: Iran itatumia vita na diplomasia kutetea haki za watu wake
Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf anasema mkakati wa nchi wa kukomesha uchokozi wa Marekani na Israel ni kutumia vita na diplomasia kwa wakati mmoja ili kutetea haki…
Maarifa yahitajika kuendeleza sekta ya madini
DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amewataka wanafunzi kutumia maarifa, ujuzi na uzoefu ambapo ukitumika ipasavyo unaweza kuifanya Tanzania ipige hatua kubwa zaidi ya maendeleo kupitia rasilimali zake…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuokotwa kwa miili ya watu sita k…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuokotwa kwa miili ya watu sita katika Mto Ruvu, likisema tukio hilo si la kweli na ni…
Tanzania conducts training on Anti-Corruption Strategy and Phase Four implementation Plan
ARUSHA: THE Department of Human Resources Administration and Management, Ministry of Finance, has conducted training for the Ministry’s Integrity Committee on the National Anti-Corruption Strategy and Implementation Plan Phase Four…
From degraded lands to green prosperity: How Tanzania’s landscape restoration is powering climate resilience, jobs and a new rural economy
MBEYA: IN VILLAGES scattered across the Great Ruaha and Lake Rukwa basins, the signs of change are becoming increasingly visible. Once-degraded forests are gradually recovering. Rivers and watersheds that had…
Kanda ya Afrika ya Kati: Migogoro inaongezeka, uhuru wa kiraia unazidi kupungua
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekutana leo Jumanne Juni 09 jijini New York, Marekani kujadili hali ya usalama katika Kanda ya Afrika ya Kati, ikiwemo juhudi za kupambana…
Mtu mmoja kati ya watatu anahitaji msaada wa dharura nchini CAR
Takribani mtu mmoja kati ya watatu anahitaji msaada wa dharura huku migogoro, kupanda kwa gharama na hatari za mafuriko vikizuia upatikanaji wa chakula nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR,…
WHO: Imani ya jamii na upimaji ni nguzo ya kukabiliana na Ebola DRC
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani (WHO) leo limesema kuwa mapambano dhidi ya mlipuko wa Ebola mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, yanategemea kwa kiasi kikubwa…
ILO: Takriban watoto milioni 138 wako katika ajira za watoto na zingine ni hatarishi
Takribani watoto milioni 138 duniani bado wanajikuta katika ahjira za watoto, huku watoto milioni 54 kati yao wakifanya kazi hatarishi zinazohatarisha afya, usalama na maendeleo yao.
COSP19 yang’oa nangaNew York ikimulika miaka 20 ya hatua za haki kwa watu wenye ulemavu
Mkutano wa 19 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Haki za Watu Wenye Ulemavu CRPD, umeanza leo Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York na utaendelea hadi 11…
Tanzania, Singapore zahuisha ushirikiano kiuchumi, EAC kushirikishwa
Rais Samia amesema pia wamejadili kuhusu uwezeshaji wa vijana na alimweleza kuhusu Dira ya...
Habari njema ni kwamba wagonjwa 19 wamepona Ebola DRCongo – WHO
Upimaji wa mapema na ufuatiliaji vinasaidia DRC waliothibitika na ugonjwa wamefikia 550 Vifo 101 DRC
Katibu Mtendaji wa UNFCCC aonya kuhusu athari za joto kali kwa soka na maisha ya kila siku kuelekea Kombe la Dunia la FIFA 2026
Kesho kutwa Alhamisi ya Juni 11, macho na masikio yanaelekezwa Mexico, Canada na hapa Marekani kwa ajili ya fainali za kombe la dunia kwa mpira wa miguu, au soka al…
Dili iliyokufa – 15
ILIPOISHIA “Sasa Majaliwa ungependa uendelee na masomo au ufanye kazi?” Wakwetu akamuuliza. “Ngoja nifikirie halafu nitakwambia.” “Kama utapenda uendelee na masomo utaniambia, vyuo viko vingi siku hizo, ni wewe tu…
Kombe la Dunia 2026: Mwaka huu ni mashindano kwa ajili ya matajiri pekee?
Kilio cha mashabiki wa soka kimeshika kasi ulimwenguni kutokana na kupanda kwa bei za tiketi za Kombe la Dunia 2026. Mfumo mpya ulioanzishwa na FIFA umezua mtafaruku mkubwa.
Kombe la Dunia 2026: Ni mashindano kwa ajili ya matajiri pekee?
Kilio cha mashabiki wa soka kimeshika kasi ulimwenguni kutokana na kupanda kwa bei za tiketi za Kombe la Dunia 2026. Mfumo mpya ulioanzishwa na FIFA umezua mtafaruku mkubwa.
Guterres: Wafanyakazi 80 wa Umoja wa Mataifa waliuawa mwaka jana huko Gaza
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, ametangaza kwamba wafanyakazi 136 wa shirika hilo la kimataifa waliuawa wakitekeleza majukumu yao katika mwaka uliopita, wakiwemo wafanyakazi 80 waliokuwa wakifanya kazi…
Mvulana wa darasa la 4 aliyetumwa nyumbani kuleta ada ya KSh 100 akanyagwa na lori
Ajali ya barabarani Eldoret imechukua maisha ya mwanafunzi wa miaka 10, na kusababisha maandamano ya wakazi wakidai haki na uwajibikaji kutoka kwa uongozi wa shule.
Tanzania commends model livestock investment in Arusha
MONDULI: THE Tanzanian government has reaffirmed its commitment to transforming Tanzania’s livestock sector through increased disease control measures, livestock identification, pastureland development and improved livestock breeds, as efforts intensify to…
Utafiti na ubunifu UDSM waongoza mapinduzi ya ujasiriamali kwa wahitimu
Katikati ya mjadala wa changamoto ya ajira kwa vijana nchini, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
Tanzania’s AFCON 2027 preps gather pace as its top officials see steady progress
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S preparations for the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON) have entered a critical phase, with senior government officials reviewing progress on key projects and coordination efforts…
Tanzania and Singapore agree to deepen strategic cooperation
DAR ES SALAAM:TANZANIA and Singapore have agreed to strengthen cooperation in five strategic areas, while draft agreements for five Memoranda of Understanding (MoUs) were signed. The areas of cooperation include…
Wakazi wa manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wameipongeza serikali kwa ujenzi wa barabara ya njia nne yenye urefu wa kilometa 1.6 …
Wakazi wa manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wameipongeza serikali kwa ujenzi wa barabara ya njia nne yenye urefu wa kilometa 1.6 uliofikia asilimia 90 huku uwekaji wa lami ukiwa umeanza…
Gazeti la Kizayuni: Iran ilikuwa na kauli ya mwisho katika vita vya sasa
Gazeti la Kiebrania huko Israel limekiri kwamba nguvu ya Iran imethibitishwa katika majibu yake ya hivi karibuni ya makombora dhidi ya utawala wa Israel.
Jumuiya za shule za msingi na sekondari zimeshauriwa kuanza kutengeneza miradi ya bustani nyumba ‘Green houses’ ili kupata uhaki…
Jumuiya za shule za msingi na sekondari zimeshauriwa kuanza kutengeneza miradi ya bustani nyumba ‘Green houses’ ili kupata uhakika wa mboga mboga na lishe kwa ajili ya chakula cha wanafunzi…
Tanzania’s Lorita shines in African Aquatics Open Water championship
P0RT LOUIS: Tanzanian swimmer Lorita Borega has been acknowledged after reaching in the semi-finals of the African Aquatics Open Swimming Championship held over the weekend in Mauritius. She was among…
Waendesha pikipiki na wananchi wa manispaa ya Lindi wameiomba serikali kupitia Wizara ya Sheria na Katiba kuweka wazi namba za m…
Waendesha pikipiki na wananchi wa manispaa ya Lindi wameiomba serikali kupitia Wizara ya Sheria na Katiba kuweka wazi namba za msaada wa kisheria ili kuwapa nafasi ya kupata huduma wanapokabiliwa…
Italia yaanzisha uchunguzi dhidi ya Ben-Gvir kuhusu unyanyasaji wa wanaharakati wa Global Sumud Flotilla
Waendesha mashtaka wa Italia wameanzisha uchunguzi dhidi ya Waziri wa Usalama wa Israel mwenye msimamo mkali wa mrengo wa kulia, Itamar Ben-Gvir kuhusu mateso, unyanyasaji na utekaji nyara wa wanaharakati…
Kyecu yaahidi neema kwa wakulima wa ufuta
Wakati msimu wa zao la Ufuta ukianza kwa bei ya Sh2,560, wakulima wilayani Kyela mkoani Mbeya...
Rayvanny ndani ya Kombe la Dunia
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Rayvanny, ameendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania...
Tanzania-Egypt Investment Forum moves to bolster investment opportunities in tourism, trade
CAIRO: THE Tanzanian government has participated in the opening of the Tourism, Trade and Investment Forum between Tanzania and Egypt taking place in Cairo, bringing together government leaders, tourism institutions,…
Somali soccer referee denied US entry, will miss World Cup debut
The United States has denied entry to soccer referee Omar Abdulkadir Artan, who had been expected to be the first Somali to officiate at a match in the World Cup.…
Free education, universal health insurance reflect socialist ideals, says Wasira
MOSHI: RULING party CCM National Vice-Chairman, Stephen Wasira has said socialism remains the foundation of Tanzania’s development policies and programmes, dismissing claims that the ideology has become obsolete. Speaking to…