Kapinga: Jetour itachochea ajira, ukuaji uchumi
DAR ES SALAAM:Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema ujio wa magari ya Jetour utafungua ukurasa mpya wa fursa za kiuchumi, hasa kuzalisha nafasi za ajira kwa vijana wa…
Maajabu aliyofanya Tupac ndani ya miaka saba
Kutoka kuwa mwanafunzi wa ushairi na sanaa mjini Baltimore, Tupac alianza kuonekana katika...
Authorities step up campaign against counterfeit seeds
DODOMA: THE government has intensified efforts to combat the sale of counterfeit seeds in the country through the use of digital verification systems, regular inspections and farmer education programmes, measures…
Kombe la Dunia la 2026: Mwamuzi kutoka Somalia afukuzwa alipotua Marekani
Omar Abdulkadir Artan alipangwa kuchezesha mechi za Kombe la Dunia, litakaloanza siku ya Alhamisi wiki hii. Alifukuzwa alipowasili nchini Marekani, afisa mmoja wa Somalia ameliambia shirika la habari la AFP…
Je, huu ndio mwisho wa Rigathi Gachagua katika siasa za Kenya
Majaji watatu wa mahakama kuu nchini Kenya Anthony Mrima, Eric Ogola na Freda Mugambi walichukuwa zaidi ya saa kumi Jumatatu ya Juni 8 kutoa uamuazi wao kuhusu hatima ya kisiasa…
Z’bar projects 8.05tri/- revenue in 2026/27 budget
ZANZIBAR: MINISTER for Finance and Planning, Dr Juma Akili, has unveiled an ambitious budget framework projecting government revenue of 8.05tri/- for the 2026/27 financial year, representing a 23 per cent…
Diamond Platnumz anampango wa kuoa mke wa pili?
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameingia katikati ya mjadala wa mitandaoni baada...
Marefa wa Dabi ya Kariakoo wapewa Kombe la Dunia
Marefa wawili waliochezesha mechi ya mwisho ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025 baina ya Yanga...
Mikakati ya d.light katika kuinua kipato cha Watanzania, kuunga mkono ajenda ya nishati safi
Miongo kadhaa nyuma, mwanga hafifu wa vibatari ndiyo ulikuwa chanzo pekee cha mwanga kwa...
Magazeti ya Kenya: Yanayofuata kwa Gachagua baada ya korti kutupa nje kesi ya kutimuliwa serikalini
Mahakama Kuu ilitoa uamuzi kuhusu kuondolewa kwa Rigathi Gachagua, na kuathiri mustakabali wake wa kisiasa na kuunda uchaguzi wa 2027 ambapo alitaka kuwania urais.
Kajala atoa kauli kuhusu tetesi za kuachana na Harmonize
Tetesi za kuwepo kwa mgogoro wa kimapenzi kati ya mwigizaji maarufu wa Bongo Movies, Kajala...
Arraigned TTU president, seven officials face 14 charges
DODOMA: PRESIDENT of the Tanzania Teachers’ Union (TTU) Suleiman Ikomba was yesterday arraigned before the Resident Magistrate’s Court in Dodoma, charged with 14 offences, including economic sabotage, leading a criminal…
Sudan: Mjumbe maalum wa UM mjini Khartoum kwa ajili ya uzinduzi wa mazungumzo ya kitaifa
Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Mpito na mkuu wa jeshi la Sudan, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amekutana siku ya Jumapili, Juni 7, 2026, na Pekka Haavisto, Mjumbe Maalum wa Umoja…
Kisa Marekani refa Msomali aondolewa Kombe la Dunia
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), limesema kuwa Mwamuzi wa Somalia, Omar Abdulkadir Artan...
Tanzania yazindua mkakati na mpango wa uwekezaji wa kuendeleza sekta ya mbegu
Dodoma. Serikali ya Tanzania imezindua rasmi Mkakati wa Kuendeleza Sekta ya Mbegu Tanzania...
Ummy atoa kauli kuteuliwa kwake na Rais Samia
Ummy ametoa shukurani hizo ikiwa ni siku sita baada ya kuteuliwa kuwa Mshauri wa Rais wa...
Singapore President to open UDSM public lecture
DAR ES SALAAM: SINGAPORE President Tharman Shanmugaratnam will today open a high-profile public lecture at the University of Dar es Salaam (UDSM), marking a key highlight of the 11th Research…
Mkazi wa Nyeri afananisha uamuzi kesi ya kutimuliwa kwa Gachagua na vitendo vya Pontio Pilato
Wakazi wa Nyeri wamesikitishwa na Mahakama Kuu kufuatia kuidhinisha kuondolewa madarakani kwa Rigathi Gachagua, wakilinganisha uamuzi huo na kesi ya kibiblia.
TZ to draw growth lessons
DAR ES SALAAM: SINGAPORE President Tharman Shanmugaratnam arrived in the country yesterday for a State Visit starting today where he will today be officially received at State House in Dar…
Bukene yapata ofisi mpya ya mbunge
Baadhi ya wananchi wameeleza kufurahishwa na uzinduzi wa ofisi hiyo wakisema utarahisisha...
Jetour kufungua fursa mpya za ajira nchini, Waziri Kapinga aeleza
Ameongeza kuwa uwekezaji huo pia unaendana na utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050...
Kajwang’ ataka vituo vya kupima Ebola viwekwe Ziwa Victoria kuzuia virusi kuingia nchini
Seneta Moses Kajwang' ameita serikali kuanzisha vituo vya uchunguzi wa Ebola katika Ziwa Victoria kuzuia maambukizi kupitia njia zisizo rasmi za majini.
Donald Trump anasema yuko katika ‘hatua za mwisho’ za kufikia makubaliano na Iran
Rais wa Marekani Donald Trump amesema mapema Jumanne kwamba diplomasia ya Marekani iko katika “hatua za mwisho” za kufikia makubaliano na Iran ili kumaliza mzozo katika Ghuba. Imechapishwa: 09/06/2026 –…
Iran na Israel zimesitisha mapigano
Mapigano kati ya Iran na Israel yamesitishwa siku ya Jumatatu, Juni 8, baada ya mashambulizi ya pande zote kwa mara ya kwanza tangu makubaliano ya kusitisha mapigano yalipofikiwa miezi miwili…
Mauritius: Waziri Mkuu apata ushindi wa kisheria katika kesi ya sanduku la amana salama
Nchini Mauritius, Waziri Mkuu Navin Ramgoolam amepata ushindi mkubwa wa kisheria. Mahakama ya Kuu ya Mauritius imetupilia mbali mashtaka dhidi yake katika kesi ya sanduku la amana salama siku ya…
“It’s okay”: Kindiki ajibu kwa utulivu baada ya Mahakama Kuu kuthibitisha kubanduliwa kwa Gachagua
Mahakama Kuu iliidhinisha kuondolewa kwa Rigathi Gachagua ila ikapata haki zake zilikiukwa na kumtunuku KSh 50M, mawakili wakiapa kuelekea katika Mahakama ya Rufaa.
Maprofesa 12 wa Chuo Kikuu cha Amirkabir watajwa miongoni mwa 1% ya watafiti watajika sana duniani
Maprofesa 12 wa Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Amirkabir cha Iran wametambuliwa miongoni mwa asilimia moja bora zaidi ya watafiti waliotajwa sana duniani, kwa mujibu wa ripoti ya hivi karibuni…
Pezeshkian: Iran haitalegeza kamba, itasimama kidete kulinda taifa dhidi ya vitisho
Rais Masoud Pezeshkian ametilia mkazo msimamo thabiti wa Iran dhidi ya tishio lolote, akisema Jamhuri ya Kiislamu haitarudi nyuma wala kusita kulinda usalama na amani ya taifa lake.
Rais wa Colombia asema ‘ufashisti katika Ikulu ya White House unapofusha mantiki na akili
Rais wa Colombia, Gustavo Petro, ameikosoa Marekani kuhusu "ufashisti ulioenea katika Ikulu ya White House" huku mvutano ukiongezeka kati ya Bogota na Washington.
Papa akutana na waathiriwa wa unyanyasaji wa kingono uliofanywa na mapadri Uhispania
Kingozi wa Kanisa Katoliki duniai, Papa Leo XIII, amekutana na waathiriwa sita wa unyanyasaji wa kingono uliofanywa na makasisi Wakatoliki nchini Uhispania, Vatican imetangaza. Makundi ya waathiriwa ambao hawakualikwa yalikosoa…
Lavrov: Guterres anashirikiana na Magharibi, Washington haina nia ya kurudi kwenye makubaliano ya Anchorage
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov amekosoa utendaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, akisisitiza haja ya kutekelezwa kanuni za Mkataba wa Umoja wa…
Eric Omondi aachiliwa kwa dhamana ya Ksh.100,000 kesi ya kutatiza trafiki
Mchekeshaji Eric Omondi amekana mashtaka ya kuzuia magari jijini Nairobi. Kukamatwa kwake kulizua wasiwasi kuhusu matibabu na haki za kikatiba mahakamani.
Nigeria: Mateka 400 waliokuwa wametekwa na Boko Haram wakabidhiwa kwa serikali
Nchini Nigeria, maafisa wa usalama wamekabidhi kwa serikali wanawake na watoto 400 waliokolewa mikononi mwa wanajihadi wa Boko Haram. Imechapishwa: 09/06/2026 – 06:05Imehaririwa: 09/06/2026 – 06:06 Dakika 1 Wakati wa…
Mwendesha mashtaka mkuu wa ICC asimamishwa kazi kutokana na tuhuma za ngono
Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, Karim Khan, amesimamishwa kazi kufuatia kesi za kinidhamu zilizoanzishwa baada ya madai ya unyanyasaji wa kingono kuwasilishwa dhidi yake. Imechapishwa: 09/06/2026…
Rwanda: Kesi ya rufaa ya Eugène Rwamucyo inafunguliwa upya jijini Paris
Kesi ya rufaa ya Eugène Rwamucyo daktari wa zamani wa Rwanda mwenye umri wa miaka 67, inafunguliwa jijini Paris hii leo Juni 9. Imechapishwa: 09/06/2026 – 05:58 Dakika 1 Wakati…
Trump: Nilimwambia Netanyahu kwamba unaweza kuachwa peke yako kukabiliana na Iran
Siku moja baada ya Iran na Israel kufanya mashambulizi ya kijeshi dhidi ya kila mmoja, Donald Trump alizungumza na vyombo vya habari kwa kina kuhusu juhudi zake za kujaribu kusitisha…
Kombe la Dunia 2026: Ratiba, msimamo na matokeo
Kombe la Dunia 2026: Nchi tatu, viwanja 16
Fuatilia taarifa za moja kwa moja
Pata matokeo, ratiba za mechi, magoli na wafungaji mubashara wa Kombe la Dunia 2026 sehemu moja.
Kombe la Dunia 2016: Ratiba, msimamo na matokeo
Kombe la Dunia 2016: Nchi tatu, viwanja 16
Kindiki afurahia Mahakama Kuu kumbwaga chini Gachagua kesi ya kutimuliwa serikalini: “Ni sawa”
Mahakama Kuu iliunga mkono kuondolewa kwa Rigathi Gachagua serikalini lakini ikasema haki zake zilikiukwa wakati wa mchakato wa kumtimua na kumpa fidia ya KSh 50M.
Mythos ni nini na kwa nini inaonekana kuwa tishio kubwa kuliko Mlango bahari wa Hormuz?
"Tunajua Mlango Bahari wa Hormuz ulipo na ukubwa wa tishio lake, lakini bado hatuelewi kikamilifu hatari tunayokabiliwa nayo kutoka Mythos'', anasema Waziri wa fedha wa Canada.
Ni nini hasa kinachoiunganisha China na Urusi?
Wachambuzi wa Magharibi kwa muda mrefu wameuelezea ushirikiano kati ya China na Urusi kwa namna mbili tofauti: kama "mhimili wa tawala za kiimla" unaounganishwa na lengo la pamoja la kuipinga…
Refa bora wa Afrika azuiwa kuingia Marekani licha ya kuteuliwa na FIFA kwa Kombe la Dunia
Katika tukio jingine la kashfa siku chache kabla ya Kombe la Dunia 2026, mwamuzi mashuhuri kutoka Somalia, anayesifiwa sana kuwa miongoni mwa marefa bora zaidi barani Afrika, amezuiwa kuingia nchini…
Katibu Mkuu wa WHO anazuru Uganda
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus, amezuru Uganda na kukutana na maafisa wakuu wa afya nchini humo huku taifa hilo likiendelea kukabiliana na mlipuko wa…