Starmer amtaka Trump aombe radhi kwa kauli ya ‘kutusi’ aliyotoa kuhusu uvamizi wa Afghanistan
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer ametaka Rais wa Marekani Donald Trump aombe radhi kwa madai yake kwamba wanajeshi wa Ulaya hawakuwa mstari wa mbele katika vita vya kivamizi vya…
Tetesi za soka Jumamosi: Hakuna mpango wa Alexander-Arnold kuondoka Real Madrid
Beki wa kulia wa England, Trent Alexander-Arnold, hajaambiwa aondoke Real Madrid.
DA yakanusha madai ya Trump ya kuwepo mauaji ya Wazungu A/Kusini
Kiongozi wa chama cha Democratic Alliance cha Afrika Kusini (DA), John Steenhuisen amekadhibisha madai ya kuwepo "mauaji ya kimbari ya Wazungu" nchini Afrika Kusini.
Orban: Hungary haitaruhusu Ukraine kujiunga na EU miaka 100 ijayo
Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orban amesema kwamba Ukraine inajaribu kushawishi na kuathiri matokeo ya uchaguzi ujao wa bunge nchini Hungary, akisitiza kuwa nchi yake haitaruhusu Ukraine kujiunga na Umoja…
Kwa nini rais wa Brazil amemkejeli Trump?
Rais Lula da Silva wa Brazil amemkejeli Rais Donald Trump wa Marekani kutokana na tweet nyingi za kutatanisha anazoandika katika mitandao ya kijamii.
Jumamosi, 24 Januari, 2026
Leo ni Jumamosi 4 Shaaban 1447 Hijria awa na 24 Januari 2026 Miladia.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 24, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
Zein ameamua kumwaga sifa zote kwa Sara #AzamTWO
Zein ameamua kumwaga sifa zote kwa Sara #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amesema serikali itazingatia masuala ya kitaalamu, ushauri wa kisayansi na tafiti katika kuendeleza sekta za mifugo na uvuvi. Mhe.…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeanza mkakati wa kubaini walipakodi wanaoficha taarifa zao nje ya nchi kwa lengo la kukwepa …
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeanza mkakati wa kubaini walipakodi wanaoficha taarifa zao nje ya nchi kwa lengo la kukwepa kodi. Hayo yamebainishwa katika kikao cha pamoja baina ya Kamishna…
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba, ameagiza watendaji wa Kituo cha Kuratibu Utafutaji na Uokozi cha Kikanda – Mwanza kuhakikisha…
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba, ameagiza watendaji wa Kituo cha Kuratibu Utafutaji na Uokozi cha Kikanda – Mwanza kuhakikisha kinaendeshwa kwa saa 24 na kwa ufanisi mkubwa. Amesema hayo leo…
Hili nalo litapita #AzamTWO
Hili nalo litapita #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
Yanga yatibuliwa hesabu ikifungwa na Ahly
Ushindi huo umeifanya Al Ahly kuendelea kuongoza msimamo wa kundi B ikifikisha pointi saba.
Yanga yapoteza Misri, sababu ni hizi
YANGA imeruhusu nyavu zake kuguswa mara mbili ikikubali kuchapwa 2-0 na Al Ahly katika mchezo wa makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, leo Ijumaa, lakini makosa mawili tu ya wachezaji…
Lupembe jela miaka 28, kwa kukiri kosa la kusafirisha kilo 268 za heroine
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, maarufu “Mahakama ya Ufisadi...
Hatua za dharura zachukuliwa maagizo ya ukamilishaji bweni la sekondari Iringa
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imeanza hatua za dharura kushughulikia ucheleweshaji katika...
Mv New Mwanza yazinduliwa, safari raha mustarehe
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amezindua rasmi meli ya Mv New Mwanza, ambayo ni kubwa zaidi...
Chadema yatangaza kuanza shughuli za kisiasa, wanasheria wagongana
Mvutano huo umekuja baada ya Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, Wakili Dk Rugemeleza Nshala...
Dilunga ajiunga na Mbeya City, aitosa TRA United
KIUNGO Mshambuliaji wa zamani wa Simba na Yanga, Hassan Dilunga amesaini mkataba wa kuichezea Mbeya City inayonolewa na kocha Mecky Maxime.
Serikali yashindwa kuwasilisha majibu shauri la Mwambe kunyang’anywa pasipoti
Serikali imeshindwa kuwasilisha mahakamani majibu yake dhidi ya madai waziri wa zamani, Geofrey...
Imamu wa Swala ya Ijumaa Tehran: IRGC ndiyo nguzo kuu ya kuwalinda wananchi na Mapinduzi ya Kiislamu
Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran, Hujjatul Islam Walmuslimin Haj Ali Akbari, amezungumzia matukio ya hivi karibuni na mashambulizi ya maadui kwenye maeneo mbalimbali yakiwemo ya ya…
BOT kumuenzi Mtei, Gavana aeleza alivyojitoa sadaka
Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BOT) Emmanuel Tutuba amesema taasisi hiyo itaendelea kuienzi...
Raia wa Msumbiji, Mtanzania kizimbani kwa kilo 20 za skanka
Watuhumiwa walikamatwa na dawa hizo ndani ya basi lenye namba za usajili wa Msumbiji, wakati wa...
IRGC: Mashirika 10 ya ujasusi yaliilenga Iran baada ya Vita vya Siku 12
Shirika la Ujasusi la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetoa taarifa likisema, machafuko ambayo yamekuwa yakifanyika nchini tangu mwishoni mwa Desemba yalikuwa sehemu ya "fitina iliyopangwa" na…
Trump alivyogeuza jukwaa la uchumi duniani uwanja tambo, ubabe wa kisiasa
Mkutano wa Uchumi wa Dunia uliofanyika Davos nchini Uswisi kwa siku tano kuanzia Januari 19...
VIDEO: Bibi asimulia alivyotelekezwa mochwari vurugu za Oktoba 29
Amesema ilipofika usiku alipoanza kukohoa, alishangaa kusikia wanaambizana “huyu bibi vipi...
Umoja wa Mataifa: Walowezi wa Kizayuni wamewaua Wapalestina 240 Ukingo wa Magharibi
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imetangaza katika ripoti yake kwamba mwaka jana (2025) walowezi na jeshi la Israel waliua Wapalestina 240 katika Ukingo…
Akwilapo ‘kukaza nati’ Wizara ya Ardhi, awashukia maofisa mipango miji
Akwilapo amesema ndani ya Wizara ya Ardhi, licha ya mazuri mengi yaliyopo, bado kuna madudu na...
Marekani kujiondoa rasmi WHO ina maanisha nini?
Kujiondoa kwa Marekani katika Shirika la Afya Duniani (WHO) kunaweza kudhoofisha mifumo na...
NMB yazindua bidhaa ya kisasa kwa wateja
Benki ya NMB imedhihirisha kiwango cha juu cha ubunifu, baada ya kuwa ya kwanza nchini kuzindua...
#HABARI: Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ambaye pia ni mwanafamilia wa marehem…
#HABARI: Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ambaye pia ni mwanafamilia wa marehemu Mzee Edwin Mtei, amejibu hoja mbalimbali zilizoibuliwa mitandaoni zikidai kuwa CHADEMA haijapewa…
Leo usiku katika #TheStoryofJuana ni kuanzia saa 1:00 usiku
Leo usiku katika #TheStoryofJuana ni kuanzia saa 1:00 usiku #AzamONE #WeSpeakSeries (Feed generated with FetchRSS)
#LIVE:UZINDUZI WA MELI YA MV MWANZA
#LIVE:UZINDUZI WA MELI YA MV MWANZA (Feed generated with FetchRSS)
“…kwanza umesema kuna kufuata mkumbo hasi na kufuata mkumbo chanya, kwa kweli kufuata mkumbo ni hasi kufuata mkumbo chanya tunas…
“…kwanza umesema kuna kufuata mkumbo hasi na kufuata mkumbo chanya, kwa kweli kufuata mkumbo ni hasi kufuata mkumbo chanya tunasema ni kujifunza " Saldin Kimangale- Mtaalamu wa Saikolojia. Powered by…
Afrika Kusini kujiondoa katika kundi la G20 wakati wa urais wa Marekani
Waziri wa fedha wa Afrika Kusini, Enoch Godongwana, amethibitisha kwamba nchi hiyo itaachana na ushirikiano wake na kundi la mataifa tajiri na yale yanayoinukia kiuchumi duniani G20 wakati wa urais…
Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Songwe zimesababisha kupungua kwa kasi ya ujenzi wa barabara ya Ruanda–Idiwili, inayojengwa k…
Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Songwe zimesababisha kupungua kwa kasi ya ujenzi wa barabara ya Ruanda–Idiwili, inayojengwa kwa kiwango cha lami kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 40. #AzamTVUpdates Mhariri…
“…yani kwamba mtu anakwemda kinyume na matashi yake anapoteza uhuru wake kwa hiyo atajikuta anafanya kitu ili awe sehemu ya gru…
“…yani kwamba mtu anakwemda kinyume na matashi yake anapoteza uhuru wake kwa hiyo atajikuta anafanya kitu ili awe sehemu ya grupu fulani au awe sehemu ya kitu fulani kwa hiyo…
Afisa Uhusiano wa Miss World Tanzania, Hassan Suleiman amesema mashindano ya ulimbwende yana mchango mkubwa katika kulitambulish…
Afisa Uhusiano wa Miss World Tanzania, Hassan Suleiman amesema mashindano ya ulimbwende yana mchango mkubwa katika kulitambulisha taifa kimataifa, huku yakitoa ajira kwa watu wa fani mbalimbali za urembo na…
TIB yatoa elimu ya mitaji kwa wajasiriamali
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Tanzania (TIB), Deogratius Kuyukwa amesema benki...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa pamoja wamekamilisha uj…
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa pamoja wamekamilisha ujenzi wa Mradi mkubwa na wa kimkakati wa Kusambaza Gesi Asilia katika…
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umewahimiza wananchi waliopitiwa na mradi wa gesi asilia katika Mkoa wa Lindi kutumia fursa ya …
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umewahimiza wananchi waliopitiwa na mradi wa gesi asilia katika Mkoa wa Lindi kutumia fursa ya kuunganishwa na mradi wa usambazaji wa gesi asilia ya kupikia…
Kainerugaba : Ghasia za baada ya uchaguzi nchini Uganda zamesababisha vifo vya watu 30
Mkuu wa Jeshi la Uganda na mwana wa Rais aliyechaguliwa tena, Yoweri Museveni, amesema leo Ijumaa kwamba wafuasi 30 wa upinzani wameuawa na 2,000 wamekamatwa kufuatia uchaguzi wa karibuni nchini…
#HABARI: Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Mheshimiwa John Heche, amefika msibani kwa mare…
#HABARI: Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Mheshimiwa John Heche, amefika msibani kwa marehemu Mzee Edwin Mtei katika eneo la Tengeru, wilayani Arumeru, mkoani Arusha. Mheshimiwa…
Makosa ya barabarani Zanzibar yaongezeka kwa asilimia 43, ya jinai yakipungua
Katika ajali hizo, wanaume waliopoteza maisha mwaka 2025 ni 210 na wanawake ni 23...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ametangaza kuanza rasmi kwa awamu ya kwanza ya utekelezaji wa bima ya afya kwa wote Jumatatu …
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ametangaza kuanza rasmi kwa awamu ya kwanza ya utekelezaji wa bima ya afya kwa wote Jumatatu ijayo, ambapo itahusisha makundi maalumu yasiyo na uwezo, wakiwemo…
Bobi Wine adai kutishiwa kifo, agomea agizo la Mkuu wa Majeshi
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine ameibuka na kusema hatatii agizo, akijibu wito wa...
Athari za Trump kuiondoa Marekani katika shirika la Afya Duniani WHO
Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini amri ya kuanza mchakato wa kuiondoa Marekani kuwa mwanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO).
🔴MEZA HURU: KWA NINI WATU WENGI WANAISHI KWENYE MAISHA YA KUFUATA MKUMBO…?
🔴MEZA HURU: KWA NINI WATU WENGI WANAISHI KWENYE MAISHA YA KUFUATA MKUMBO...? ....JANUARI 23, 2026 (Feed generated with FetchRSS)