Qalibaf: Israel ilibembeleza kusitisha mapigano wakati wa vita vya siku 12
Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa: Katika siku chache za mwisho za vita vya siku 12, utawala wa Kizayuni uliomba kwa kubembeleza kusitisha mapigano…
Baqaei: Vikosi vya Iran viko macho kukabiliana na vitisho vyovyote vya adui
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje amesema kuhusu mazingira yaliyozushwa ya kuonesha kuna uwezekano wa kurudiwa uchokozi wa kijeshi dhidi ya Iran na kusisitiza kuwa: Kilicho muhimu na kinachotuhusu…
Venezuela yaunda kamati maalumu ya kumkomboa Rais Maduro
Waziri mmoja wa Venezuela ametoa taarifa ya kuundwa tume maalumu katika bunge la nchi hiyo ya kumkomboa Rais Nicolas Maduro kutoka kwenye makucha ya kibeberu ya Trump na wenzake.
Israel yafanya mashambulizi makubwa ya anga dhidi ya Lebanon
Israel imefanya mfululizo wa mashambulizi ya anga katika maeneo yote ya kusini na mashariki mwa Lebanon, ikiendelea kukanyaga makubaliano ya kusitisha mapigano ambayo lengo lake ni kukomesha uchokozi wa Israeli…
Kuondoka vikosi vya kigeni, suluhisho pekee la mgogoro wa Yemen
Kiongozi mmoja mwandamizi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, kuendelea kuwepo wanajeshi vamizi ndani ya ardhi ya Yemen ni tatizo kuu la…
🔴MEZA HURU: UMUHIMU WA MAZINGIRA KWENYE MALEZI YA WATOTO…JANUARI 06 2025
🔴MEZA HURU: UMUHIMU WA MAZINGIRA KWENYE MALEZI YA WATOTO...JANUARI 06 2025
Wito wa @mwl.magodajr kwenda kwa mamlaka hasa kwa shule zenye mahitaji maalum
Wito wa @mwl.magodajr kwenda kwa mamlaka hasa kwa shule zenye mahitaji maalum. #LiveonClouds360 #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
Wito wa @mwl.magodajr kwenda kwa mamlaka hasa kwa shule zenye mahitaji maalum
Wito wa @mwl.magodajr kwenda kwa mamlaka hasa kwa shule zenye mahitaji maalum. #LiveonClouds360 #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
Uwajibikaji wa ukiukwaji wa haki za binadamu haupatikani kupitia matumizi ya kijeshi kwa upande mmoja
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu Volker Türk ametoa wito wa kuheshimiwa kwa haki za msingi za wananchi wa Venezuela, zikiwemo haki ya kujitawala na mamlaka…
Fahamu taratibu za matumizi ya nguvu za kijeshi dhidi ya nchi
Miaka 80 iliyopita baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, mataifa 50 yalikutana huko San Francisco hapa nchini Marekani na kupitisha Chata iliyoanzisha Umoja wa Mataifa. Miongoni mwa malengo…
OHCHR: Raia wa Venezuela lazima wasikilizwe, anasisitiza mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya masuala ya haki za binadamu OHCHR kupitia msemaji wake Revina Shamdasani akizungumza na waandishi wa habari jijini Geneva Uswisi amewaeleza kuwa operesheni ya kijeshi…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55…JANUARI 06, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55...JANUARI 06, 2026
Kundo atoa siku 60 mtandao wa mabomba Serengeti kukamilika
NAIBU Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew ametembelea mradi wa maji wa miji 28 wilayani Serengeti na kuagiza ndani ya siku 60 kilometa 30 za mtandao wa mabomba ziwe zimekamilika.…
#HABARI: Jeshi la Polisi huko mkoani Tanga limefanikiwa kumkamata mfugaji anayedaiwa kuendesha mtandao wa kuwashambulia wakulima…
#HABARI: Jeshi la Polisi huko mkoani Tanga limefanikiwa kumkamata mfugaji anayedaiwa kuendesha mtandao wa kuwashambulia wakulima wanao walalamikia wafugaji wanaoingiza mifugo kwenye mashamba ya wakulima na kuwachapa viboko huku baadhi…
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema Serikali imeanza mazungumzo yenye dhamira ya kuboresha ma…
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema Serikali imeanza mazungumzo yenye dhamira ya kuboresha maslahi ikiwemo makazi na posho kwa askari wote nchini ili kuweza kuboresha…
Salah atamba, Nigeria yatuma ujumbe AFCON
Mohamed Salah alifunga bao la dakika za mwisho na kuipeleka Misri robo fainali ya AFCON, huku Nigeria ikionesha ubabe kwa ushindi mkubwa wa 4-0 dhidi ya Msumbiji na kujitangaza kama…
Mahakama ya Tunisia yawaachilia huru wafanyakazi wa NGO waliokamatwa kwa kuwasaidia wahamiaji
Wafanyakazi wa NGO walishtakiwa pamoja na wafanyakazi 17 wa manispaa.
Hao ni wazazi vile wanapenda kutoka kwa @mwl.magodajr
Hao ni wazazi vile wanapenda kutoka kwa @mwl.magodajr. #LiveonClouds360 #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
Kocha wa Simba Steve Barker amedai kutoridhidhwa na kiwango walichoonyesha dhidi ya Fufuni licha ya kuwa waliibuka na ushindi wa…
Kocha wa Simba Steve Barker amedai kutoridhidhwa na kiwango walichoonyesha dhidi ya Fufuni licha ya kuwa waliibuka na ushindi wa mabao 2-1. Barker amesema hawakupata muda mwingi wa kufanya mazoezi…
#HABARI: Timu ya Taifa ya Kandanda ya Tanzania (Taifa Stars) ambayo ilikuwa irejee nchini kesho Januari 07, 2025 sasa itarejea J…
#HABARI: Timu ya Taifa ya Kandanda ya Tanzania (Taifa Stars) ambayo ilikuwa irejee nchini kesho Januari 07, 2025 sasa itarejea Januari 08, 2026. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni,…
Mashujaa wetu sasa kurejea Alhamisi asubuhi
DAR ES SALAAM; TIMU ya Taifa ya mpira wa miguu ya (Taifa Stars), ambayo ilikuwa irejee nchini Jumatano Januari 7, 2026, sasa itarejea Alhamisi Januari 8, 2026. Katibu Mkuu wa…
Kaya 21 zazingirwa na maji ya mvua Uyole, Dk Tulia awafariji
Mvua hiyo imetajwa kuleta madhara ya uharibifu wa mali, vikiwemo vyakula, huku kaya mbili kati...
Kikundi cha WhatsApp chatoa msaada kwa walemavu, wafungwa Ludewa
Njombe. Wanafunzi wenye ulemavu katika shule ya Mundindi, iliyopo katika Wilaya ya Ludewa...
Venezuela: Machado ampongeza Trump kumkamata Maduro
Kiongozi wa upinzani nchini Venezuela Maria Corina Machado amempongeza Rais wa Marekani Donald Trump kwa kumkamata kiongozi wa nchi hiyo Nicolas Maduro.
Parliament’s Standing Committees to officially convene on Jan 13
DODOMA: THE Standing Committees of Parliament are expected to officially convene from Tuesday, January 13, to Friday, January 23, 2026, at the Parliamentary Offices in Dodoma. The sessions form part…
Dr Samia visits children and elderly centres with New Year gifts
DAR ES SALAAM:THE Minister for Community Development, Gender, Women and Special Groups, Dr Dorothy Gwajima, has represented the Tanzanian President, Dr Samia Suluhu Hassan, in presenting New Year 2026 gifts…
Central African Republic president wins third term by landslide
CENTRAL AFRICAN REPUBLIC: Central African Republic (CAR) President Faustin-Archange Touadéra has won a third term after securing an outright majority in last month’s presidential election, provisional results show. The 68-year-old…
Magdalena afungua mwaka na Subaru Forester XT droo ya miaka 10 ya Halotel
Idadi hiyo ya wateja ni kuanzia mwaka 2015 ilipoanzishwa kampuni hiyo hapa nchini hadi Septemba...
Guterres aelezea hofu kuhusu ukosefu wa utulivu Venezuela
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameelezea wasiwasi wake kuhusu ukosefu wa utulivu nchini Venezuela baada ya Marekani kumkamata Rais Nicolas Maduro. Marekani inasema haina mpango wa kuikalia…
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Nzega ameagiza waalimu wakuu wa shule zote za msingi na sekondari wilayani humo kuanza kutum…
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Nzega ameagiza waalimu wakuu wa shule zote za msingi na sekondari wilayani humo kuanza kutumia mfumo wa kidijitali wa taarifa za shule ulioboreshwa, maarufu…
Minister visits Children’s Remand Home as Tanzania commits to protect children’s rights
MBEYA: THE Deputy Minister for Community Development, Gender, Women and Special Groups, Eng Maryprisca Mahundi, has stressed the importance of strengthening parenting at the family and community levels in order…
Operesheni maalum ya kuwasaka na kuwabaini waajiri wasiosajiliwa na OSHA, sambamba na kufanya ukaguzi katika maeneo ya uwekezaji…
Operesheni maalum ya kuwasaka na kuwabaini waajiri wasiosajiliwa na OSHA, sambamba na kufanya ukaguzi katika maeneo ya uwekezaji ili kubaini changamoto za kiusalama na kiafya kwa wafanyakazi wakiwa kazini. Hatua…
ZANZIBAR set to host regional summit on illegal fishing, blue economy
ZANZIBAR: Zanzibar will host a three-day regional summit later this month to strengthen joint action against Illegal, Unreported and Unregulated Fishing (IUUF) and advance cooperation on the blue economy across…
Wasiwasi waongezeka duniani kuhusu Venezuela
Baraza la Usalama la UN laingiwa na wasiwasi kuhusu mustakabali wa Venezuela baada ya kutekwa kwa kiongozi wa nchi hiyo Nicolas Maduro
Tanzania orders Exim Bank to timely complete 28 towns project worth 1.6tri/-
DODOMA: THE Tanzanian government has asked Exim Bank of India to intensify efforts to ensure the completion of the strategic 28 towns project worth 1.6tri/-, with particular emphasis on honoring…
Madiwani mkoani Lindi wamehimizwa kuwa na shughuli halali za kuwaingizia kipato, ikiwemo kufanya biashara na kulima mazao ya bia…
Madiwani mkoani Lindi wamehimizwa kuwa na shughuli halali za kuwaingizia kipato, ikiwemo kufanya biashara na kulima mazao ya biashara kama korosho na ufuta, badala ya kutegemea halmashauri kama chanzo pekee…
Wafugaji wa ng’ombe, mbuzi na kondoo mkoani Geita wameiomba Serikali, kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi, kufanya uchunguzi wa ki…
Wafugaji wa ng’ombe, mbuzi na kondoo mkoani Geita wameiomba Serikali, kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi, kufanya uchunguzi wa kina wa kisayansi ili kubaini chanzo cha magonjwa yanayoshambulia mifugo yao…
Hatari za kisiasa na kiusalama za hatua ya utawala wa Israel ya kutambua rasmi Somaliland
Kufuatia hatua ya utawala wa Israel ya kulitambua rasmi eneo la Somaliland huko Somalia kama nchi huru, kumetolewa maonyo kuhusu matokeo hatari ya kisiasa na kiusalama ya kitendo hicho.
Swali la Mwalimu @mwl.magodajr, kwenda kwa wazazi
Swali la Mwalimu @mwl.magodajr, kwenda kwa wazazi. #LiveonClouds360 #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
Govt hails brave Taifa Stars
DAR ES SALAAM: PRIME Minister, Dr Mwigulu Nchemba, has hailed the national football team’s historic Africa Cup of Nations (AFCON) campaign as a watershed moment for the country, declaring that…
STEM inavyoibua wanasayansi, wabunifu wa kesho
Sekta muhimu kama kilimo cha kisasa, afya, nishati, ujenzi, madini na mawasiliano zinahitaji...
TANAPA uses ZITF exhibitions to promote domestic tourism
ZANZIBAR: THE Director General of the Tanzania Tourist Board (TTB), Ephraim Mafuru, has urged Tanzanians to continue taking pride in, visiting and protecting the various natural resources attained in the…
Mzazi fanya haya kila siku kuimarisha elimu ya Mtoto
Siri ya mafanikio ya mtoto shuleni haipo kwenye ukuta wa madarasa pekee, bali kwenye mazingira...
TRA yapewa tano ukusanyaji mapato
ARUSHA: Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa ufanisi mkubwa katika ukusanyaji wa mapato ya Serikali, hatua iliyochangia kuimarika kwa uchumi na utekelezaji…
Yanga target new striker as Mzize recovers
ZANZIBAR: YOUNG Africans Head Coach Pedro Gonçalves said the club plans to sign a striker during the January transfer window to strengthen its attacking options as the season enters a…
Watoto wetu wako salama mabwenini?
Ongezeko la matukio ya ulawiti katika mabweni si suala la kufumbiwa macho tena.
Wajibu wako mzazi 2026 ni zaidi ya kulipa ada, sare
Kumpa mtoto elimu bora leo ni kuwekeza katika maendeleo ya kesho.
Baraza la Makanisa nchini Kenya lajitenga na mhubiri anayedai miujiza ‘Nabii Owour’
Mhubiri David Owuor amezua mjadala mkali kufuatia madai yake ya kuwa na uwezo wa kutibu maradhi kama ukimwi na saratani na kutabiri majanga makubwa
Mzizima Derby ndani ya NMB Mapinduzi Cup:
Mzizima Derby ndani ya NMB Mapinduzi Cup: Alhamis hii itapigwa nusu fainali ya kwanza ya NMB Mapinduzi Cup, ni AzamFC dhidi ya Simba SC. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 2:15…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI – 06/01/2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI - 06/01/2026