Stars kutua kesho baada ya kuweka historia
TIMU ya Taifa ‘Taifa Stars’ leo Jumatano inatarajiwa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere (JNIA), Dar es Salaam ikirejea nyumbani baada ya kuweka historia katika…
Kenya: Nabii aliyejitangaza adai kuponya VVU, Waziri wa Afya apaza sauti
Nchini Kenya, Waziri wa Afya amejibu kwa hasira baada ya kuchapishwa kwa ujumbe ambapo nabii aliyyejitangaza anadai kwamba kanisa lake limewaponya watu 30 wanaoishi na VVU. “Masuala ya afya lazima…
Mkasa wa moto wazusha taharuki huku Berlin ikikosa umeme
Hasira na hofu vimeendelea kutanda katika baadhi ya maeneo ya mji mkuu wa Ujerumani, Berlin, baada ya shambulio la kuchoma miundombinu ya umeme, linalodaiwa kufanywa na kundi la mrengo mkali…
Zanzibar yazindua flyover ya kwanza Mwanakwerekwe
Ujenzi wa flyover hiyo namba moja ulianza Desemba mosi, 2023 na kukamilika Desemba 31, 2025 na...
Tattoo za Chaichaka na Radhia zina maana kubwa humu kwenye #PichaYanguSeries
Tattoo za Chaichaka na Radhia zina maana kubwa humu kwenye #PichaYanguSeries
ORCI Trustees tasked to speed up service delivery, health insurance process
DAR ES SALAAM: THE Minister for Health, Mohamed Mchengerwa, has directed the Board of Trustees of the Ocean Road Cancer Institute (ORCI) to ensure that health information systems within the…
Uganda yatoa kongole utekelezaji bomba la mafuta ghafi
Mradi huo unatekelezwa kwa ushirikiano kati ya Tanzania na Uganda.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Zainab Telack,amekuta na na wawekezaji wa kiwanda cha kusindika na kuchakata malighafi ya vifuu vya nazi k…
Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Zainab Telack,amekuta na na wawekezaji wa kiwanda cha kusindika na kuchakata malighafi ya vifuu vya nazi kinachomilikiwa na kampuni ya African Coconut Material Production, ambacho ujenzi…
Arusha wamshukuru Samia vipimo magonjwa ya moyo
ARUSHA; Wananchi wa Mkoa wa Arusha na mikoa ya jirani wamemshukuru Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan kwa uwezeshaji wake wa programu ya vipimo na matibabu bure kwa magonjwa…
Dr Mwinyi to compensate people whose land given to the Flyover project
ZANZIBAR: The President of Zanzibar and Chairman of the Revolutionary Council, Dr Hussein Ali Mwinyi, has assured citizens that the government will pay compensation to all residents who have given…
Grey’s Anatomy mzigo unaruka kupitia AzamONE
Grey’s Anatomy mzigo unaruka kupitia AzamONE. Madaktari wa upasuaji na wasimamizi wao wapo kwenye safari ya kimatibabu, iliyojaa mambo mbalimbali ikiwemo hadithi za kuhuzunisha na kufanya kulazimika kufanya uamuzi utakaobadilisha…
Madereva Watanzania waliokwama DRC waiangukia Serikali, yenyewe yajibu
Madereva hao ambao kwa mujibu wa waliozungumza na Mwananchi wamezuiwa kuendelea na safari...
#HABARI: Serikali imejidhatiti kutekeleza maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe
#HABARI: Serikali imejidhatiti kutekeleza maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ya kurejesha hadhi ya Mkoa wa Tanga kama kitovu cha viwanda, maarufu…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa…
Wanaotaka kujitenga Yemen kushiriki mazungumzo ya Riyadh
Kiongozi wa wapinzani wanaotaka kujitenga Yemen anaelekea Riyadh kwa ajili ya mazungumzo, kwa mujibu wa afisa mmoja wa Yemen aliyezungumza kwa sharti la kutotajwa jina.
#HABARI: Mwili wa kijana Sigela Hamisi Maulidi, Afisa Usafirishaji wa Pikipiki, mkazi wa Kata ya Tumbi, Manispaa ya Tabora, aliy…
#HABARI: Mwili wa kijana Sigela Hamisi Maulidi, Afisa Usafirishaji wa Pikipiki, mkazi wa Kata ya Tumbi, Manispaa ya Tabora, aliyepotea tangu Januari 04, 2026, umekutwa umetelekezwa kwenye Msitu wa Matitumbi,…
Tanzania envisions a superior Police force with decent housing, remuneration
ZANZIBAR: THE Tanzanian government has reaffirmed its commitment to improving the welfare, working conditions, and professional capacity of Police officers, stressing that decent housing, better remuneration and modern skills are…
RC orders the arrest a trader accused of fertilizer adulteration
TUNDUMA: SONGWE Regional Commissioner, Jabiri Makame, has ordered the Police in the region and the Tanzania Fertilizer Regulatory Authority (TFRA) to swiftly complete investigations and arraign in court an agricultural…
#MEZAHURU: “Kuna wanafunzi wametoka mazingira magumu sana baba na mama hawana hela umasikini mtupu lakini wanajituma wao wenyewe…
#MEZAHURU: “Kuna wanafunzi wametoka mazingira magumu sana baba na mama hawana hela umasikini mtupu lakini wanajituma wao wenyewe wanajituma kwa hali ngumu mpaka huyo chou kikuu…..”- Hyasinta Kessy – Mwalimu…
Wananchi Arusha watoa dukuduku kwa tume Jaji Chande
Wananchi wa Mkoa wa Arusha wameitaka Tume ya kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya...
Muda tunao na nia ya kukuburudisha tunayo leo @headmaster_tz ataungana na makachero wa #sentrocloudstv kunyoosha mbavu zako
Muda tunao na nia ya kukuburudisha tunayo leo @headmaster_tz ataungana na makachero wa #sentrocloudstv kunyoosha mbavu zako.
Kampuni Hodhi ya Mkulazi Sugar Company imekabidhi madawati 50 na printa mbili za kisasa kwa Shule ya Msingi Dumila Juu, ikiwa ni…
Kampuni Hodhi ya Mkulazi Sugar Company imekabidhi madawati 50 na printa mbili za kisasa kwa Shule ya Msingi Dumila Juu, ikiwa ni sehemu ya mkakati wake wa kurudisha kwa jamii…
SMZ kuimarisha mfumo kidigitali kudhibiti ajali
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inaendelea kujipanga kuimarisha matumizi ya mifumo ya kidigitali ili kudhibiti vifo vinavyotokana na ajali pamoja…
Bei za mafuta na Masoko ya Hisa duniani yapata ahueni
Bei za mafuta zimepanda kidogo huku masoko ya hisa yakifikia viwango vipya vya juu siku ya Jumanne, wakati wawekezaji duniani wakiendelea kufuatilia matukio yanayohusiana na Venezuela.
Inasemekana kuwa kuna wakulima wanapiga hela kwenye zao la parachichi mkoani Njombe lakini wameficha password ya mafanikio kweny…
Inasemekana kuwa kuna wakulima wanapiga hela kwenye zao la parachichi mkoani Njombe lakini wameficha password ya mafanikio kwenye zao hilo na miongoni mwa watu wenye ushahidi huo ni Mbunge wa…
Tunamsogeza kwako champion wa mipango yoote kwenye kilimo cha zao la parachichi kutoka ukanda wa nyanda za kuu kusini mwa Tanzan…
Tunamsogeza kwako champion wa mipango yoote kwenye kilimo cha zao la parachichi kutoka ukanda wa nyanda za kuu kusini mwa Tanzania, Steven Mlimbila maarufu NEMES, hapa kitivoni leo atakuwa na…
Inawezekana kabisa wengi wenu bado hamjashtukia kama mahitaji ya zao la parachichi ni makubwa kuliko kiwango cha uzalishaji ndan…
Inawezekana kabisa wengi wenu bado hamjashtukia kama mahitaji ya zao la parachichi ni makubwa kuliko kiwango cha uzalishaji ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, basi kama ni ndio basi…
Rais Mwinyi afungua flyover iliyopewa jina lake
ZANZIBAR; Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewahakikishia wananchi kuwa Serikali itawalipa fidia wote waliopisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo yao,…
Ubungo renews efforts to end water woes in its 14 wards
DAR ES SALAAM: The Ubungo District Commissioner, Albert Msando, has received three water storage tanks from the Dar es Salaam Water Supply and Sanitation Authority (DAWASA) and revived a borehole…
UDART ordered to resume Mbezi-Mloganzila service
DAR ES SALAAM: THE Minister of State in the Prime Minister’s Office (TAMISEMI), Prof Riziki Shemdoe, has directed the Dar es Salaam Rapid Transit Agency (UDART) to ensure that, starting…
Jumatano hii kuanzia saa 5:30 asubuhi macho na masikio ni kupitia #SinemaZetu
Jumatano hii kuanzia saa 5:30 asubuhi macho na masikio ni kupitia #SinemaZetu. #azamtvburudanikwawote
Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Nyanda za Juu Kusini imefanikiwa kukamata mifuko zaidi ya 2,000 ya mbolea isiyokidhi viwango, ikiw…
Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Nyanda za Juu Kusini imefanikiwa kukamata mifuko zaidi ya 2,000 ya mbolea isiyokidhi viwango, ikiwemo mbolea inayotakiwa kutumika nchini Zambia. Mbolea hizo zimekutwa kwenye godauni…
Veta yatakiwa kupanua wigo uandaaji wakufunzi, walimu tarajali
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir ameielekeza Mamlaka ya Elimu na...
Hofu yaongezeka miongoni mwa jamii ya Wasomali baada ya Trump kutuma maafisa 2,000 Minnesota
Mamlaka za serikali kuu zinaongeza uwepo wao katika jimbo la Minnesota huku utekelezaji wa sheria za uhamiaji ukiendelea, kufuatia madai yaliyoenea mtandaoni kuhusu udanganyifu katika vituo vya kulea watoto vinavyosimamiwa…
Rais Samia kuzindua jengo la utawala Taasisi ya Sayansi za Bahari
Katika utekelezaji wa ajenda ya kuimarisha miundombinu ya elimu ya juu, Rais Samia Suluhu...
Picha ya pamoja
Picha ya pamoja – HabariLeo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi na Jeshi…
RC Mtambi atoa siku 21 Tarura kupata ofisi za kudumu Mara
Kabla ya kutoa agizo hilo, Meneja wa Tarura Mkoa wa Mara, William Gyunah amesema miongoni mwa...
Naibu Waziri aridhishwa na mradi wa Kituo cha Umahiri Kikuletwa
Naibu Waziri huyo ameongeza kuwa ushirikiano uliopo kati ya chuo hicho na viwanda pamoja na...
Tanzania to establish a One-Stop Centre at all borders
MWANZA: THE Deputy Minister of State, President’s Office – Planning and Investment, Dr. Pius Stephen Chaya, has said the Tanzanian government has directed them to establish a One Stop Centre…
Rais Samia aagana na Mkuu wa Majeshi
Rais Samia aagana na Mkuu wa Majeshi – HabariLeo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi…
Mchengerwa commends ORCI as he graces its board of trustees
DAR ES SALAAM: The Health Minister, Mohamed Mchengerwa, has urged the board of trustees of the Ocean Road Cancer Institute (ORCI) to ensure that it becomes Africa’s cancer authority due…
Dida, Suluhu wavunjiwa mikataba Geita Gold
UONGOZI wa Geita Gold umevunja mkataba na wachezaji wawili kipa Deogratius Munishi ‘Dida’ na beki Fredy Juma Sululu baada ya kucheza mechi ya dhidi ya Ken Gold iliyomalizika kwa sare…
BRELA orders firms to submit audited accounts, annual returns
DAR ES SALAAM: THE Business Registrations and Licensing Agency (BRELA) has called upon company owners, directors, and secretaries to submit Annual Returns and Audited Accounts to the Registrar of Companies…
Samia akutana na viongozi Wizara ya Ulinzi, JKT
Samia akutana na viongozi Wizara ya Ulinzi, JKT – HabariLeo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Viongozi wa…
Mido ya Kagera yaibukia Mbeya City
MBEYA City inaendelea na maboresho katika dirisha dogo lililofunguliwa kuanzia Januari 1, 2026, ambapo kwa sasa kikosi hicho cha jijini Mbeya kiko kwenye hatua za mwisho za kumsajili kiungo Said…