Maduro afunguliwa mashtaka ya kuwezesha biashara ya dawa za kulevya
Kiongozi wa Venezuela Nicolas Maduro aliyetekwa kwa nguvu na vikosi vya jeshi la Marekani wiki iliyopita, amefikishwa Mahakamani jijini New York pamoja na mkewe Cilia Flores, ambako wamefunguliwa mashtaka ya…
Iran yakanusha uvumi wa vyombo vya habari vya Magharibi kuhusu mazungumzo na Marekani
Naibu wa Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekanusha uvunii unaoneshwa na vyombo vya habari vya Magharibi kwamba Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran alifanya mkutano…
Amnesty International: Serikali ya Uganda inatumia mbinu za mateso kuwatishia wapinzani
Shirika la kimataifa la haki za binadamu, Amnesty International, limetangaza kuwa, vikosi vya usalama nchini Uganda vinatumia njia za mateso na ukamataji usio wa kisheria kuwatisha wapinzani kuelekea uchaguzi mkuu…
Mijibizo ya kimataifa kwa mgogoro wa Venezuela; msisitizo juu ya diplomasia, kuachiliwa Maduro, na kuhuishwa demokrasia
Kufuatia shambulio la kijeshi la Marekani dhidi ya Venezuela na kukamatwa kwa rais wa nchi hiyo, viongozi mbalimbali wa dunia na serikali walionyesha wasiwasi kuhusu matokeo ya hatua hii na…
Hamas imerejesha nafasi yake kama mtawala wa Ukanda wa Ghaza
Shirika la habari la Tasnim limevinukuu vyombo vya habari vya Israel vikitangaza kuwa, Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imerejesha udhibiti wake kama mtawala mwenye nguvu kwenye Ukanda…
Saudia yaendelea kushambulia maeneo ya mamluki wa Imarati nchini Yemen
Ndege za kivita za Saudi Arabia zimeendelea kufanya mashambulizi dhidi ya maeneo ya mamluki wa Imarati yakiwemo makao makuu ya mamluki hao huko mashariki mwa Yemen.
Jumanne, tarehe 06 Januari, 2026
Leo ni Jumanne tarehe 16 Rajab 1447 Hijria sawa na Januari 06 mwaka 2026.
Rais mteule wa Guinea: Kipaumbele changu ni kuleta umoja, utulivu na maendeleo
Rais mteule wa Jamhuri ya Guinea, Mamady Doumbouya, ameahidi kufanyia kazi sana suala la kuleta umoja na mshikamano, utawala wa sheria na ustawi wa wananchi wote, katika nchi hiyo ya…
Maduro ajitetea mahakamani baada ya kukamatwa
Kiongozi wa Venezuela Nicolás Maduro amejitangaza kuwa "rais halali wa Venezuela" wakati akipinga kukamatwa kwake nchini Marekani na amekanusha mashtaka mazito yanayomkabili ya usafirishaji wa dawa za kulevya.
Simba yaifuata Azam nusu fainali Mapinduzi Cup
NI rasmi sasa Mzizima Derby inapigwa kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi kati ya Azam dhidi ya Simba.
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 05, 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 05, 2025
Duso na Maige wapo kwenye mipango, waanze utekelezaji
Duso na Maige wapo kwenye mipango, waanze utekelezaji
Mwili wa aliyekuwa mfanyakazi wa Azam Media Nizar Muhsin umezikwa leo katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni, Dar es Salaam
Mwili wa aliyekuwa mfanyakazi wa Azam Media Nizar Muhsin umezikwa leo katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni, Dar es Salaam. Nizar aliyekuwa mrushaji wa matangazo katika idara ya vipindi vya Televisheni…
“Pamoja na kutolewa lakini tumefanikiwa”- @mkazuzutza, Mchambuzi wa michezo kutoka Sports Extra ya @cloudsfmtz
"Pamoja na kutolewa lakini tumefanikiwa"- @mkazuzutza, Mchambuzi wa michezo kutoka Sports Extra ya @cloudsfmtz. #SentroYaCloudstv #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
Ikiwa imesalia wiki moja kabla ya muhula wa kwanza wa masomo kwa mwaka 2026/2027 kwa shule za msingi na sekondari kuanza hapa nc…
Ikiwa imesalia wiki moja kabla ya muhula wa kwanza wa masomo kwa mwaka 2026/2027 kwa shule za msingi na sekondari kuanza hapa nchini, wazazi, walezi na viongozi wa serikali za…
Kwa mujibu wa @mkazuzutza, Mchambuzi wa michezo kutoka Sports Extra ya @cloudsfmtz
Kwa mujibu wa @mkazuzutza, Mchambuzi wa michezo kutoka Sports Extra ya @cloudsfmtz #SentroYaCloudsTv #LainiYawana #clouds26nyoosha
“Na maandalizi yameshaanza kwa upande wa Serikali
"Na maandalizi yameshaanza kwa upande wa Serikali. Na wao ndio wanatoa ridhaa kama nchi na tumeona miundombinu inaboreshwa. Viwanja vinajengwa kwahiyo kama serikali tayari na kwa bahati mzuri tuliyopata ni…
Viongozi wa kimila wa kijiji cha Kivukomteta wilayani Sumbawanga wamewapongeza wanakijiji hicho kwa utii wa ulinzi wa vyanzo vya…
Viongozi wa kimila wa kijiji cha Kivukomteta wilayani Sumbawanga wamewapongeza wanakijiji hicho kwa utii wa ulinzi wa vyanzo vya maji hali inayoendelea kuulinda Mto Nyinaruzi. Sami Kisika amefuatilia ulinzi huo…
Washukiwa wa ugaidi washambulia mgodi wa dhahabu, wawateka wafanyakazi nchini Mali
Washukiwa wa ugaidi wameshambulia mgodi wa dhahau wa Morila nchini Mali mwishoni mwa wiki, kuchoma vifaa na kuwateka wafanyakazi saba kabla ya kuwaachilia baadaye, afisa mmoja kutoka kwa wizara ya…
Wananchi wa kitongoji cha Mahove wilayani Njombe wameomba kujengewa kingo za bwawa katika kijiji cha Luponde ambazo kwa sasa zip…
Wananchi wa kitongoji cha Mahove wilayani Njombe wameomba kujengewa kingo za bwawa katika kijiji cha Luponde ambazo kwa sasa zipo hatarini kuporomoka hali inayohofiwa huenda ikasababisha mafuriko yatakayoharibu miundombinu na…
Kachio huwa anajifanya hajui kitu, ila Radhia naye mjanja mjanja sidhani kama amemuelewa 😅
Kachio huwa anajifanya hajui kitu, ila Radhia naye mjanja mjanja sidhani kama amemuelewa 😅
#HABARI: Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe
#HABARI: Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga, amepiga marufuku ucheleweshaji wa ujenzi wa jengo la kanda la TBS jijini Mwanza na kuagiza marekebisho ya haraka ya makosa ya…
Erdogan atoa wito wa Uturuki kurejeshwa mpango wa Marekani wa F-35, asema utaimarisha usalama NATO
'Kupokea kwa ndege za F-35 ambazo Uturuki tayari imeshazilipia na kurejeshwa kwenye mpango huo, ni muhimu na wajibu' kwa uhusiano bora wa ulinzi na Marekani na NATO, Erdogan ameiambia Bloomberg.
🔴DAKIKA 45 NA AFISA MTENDAJI MKUU DAWASA…JANUARI 05, 2026
🔴DAKIKA 45 NA AFISA MTENDAJI MKUU DAWASA...JANUARI 05, 2026
#HABARI: Waziri wa Nishati wa Tanzania, Mhe
#HABARI: Waziri wa Nishati wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amebainisha kuwa mradi wa bomba la mafuta ghafi (EACOP) umefungua fursa kubwa za kiuchumi, ikiwemo ajira takribani 12,000. Katika ajira hizo,…
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ameliagiza Jeshi la Polisi nchini kuyapa kipaumbele makosa ya u…
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ameliagiza Jeshi la Polisi nchini kuyapa kipaumbele makosa ya uhalifu wa mitandaoni pamoja na makosa ya barabarani yanayosababishwa na madereva…
Tofauti ya mishahara kwa madaktari yamuibua Waziri Mchengerwa, atoa maelekezo
Waziri huyo ametoa maelekezo hayo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dk Seif Shekalaghe na Katibu...
🔴TAARIFA YA HABARI YA JANUARI 05, 2026 – WATU WATATU WAFARIKI KWA AJALI YA MOTO – MARA
🔴TAARIFA YA HABARI YA JANUARI 05, 2026 - WATU WATATU WAFARIKI KWA AJALI YA MOTO - MARA
Vita vya Sahel na changamoto za makundi ya kigaidi
Mamilioni ya watu wanashambuliwa na magaidi wakiweka aina fulani ya utaratibu, mataifa ya Sahel yanajitahidi kudhihirisha kuwa katika nchi zao, ndiyo wadhamini halisi wa raia, wala siyo mtutu wa bunduki.
#HABARI:Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), anayeshughulikia Afya, Dkt
#HABARI:Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), anayeshughulikia Afya, Dkt. Jafar Seif, amewaagiza Waganga Wakuu wa Mikoa, Halmashauri na Wafawidhi wote kutangaza huduma…
#HABARI: Zaidi ya wanafunzi 800 wanaotarajiwa kuanza masomo Januari 13 mwaka huu, katika Shule ya Msingi Tandau, iliyopo Kata ya…
#HABARI: Zaidi ya wanafunzi 800 wanaotarajiwa kuanza masomo Januari 13 mwaka huu, katika Shule ya Msingi Tandau, iliyopo Kata ya Kongowe, wilayani Kibaha, mkoani Pwani, wanakabiliwa na changamoto kubwa ya…
JK opens Immigration offices with a call to protect, maintain peace
ZANZIBAR: THE former Tanzanian President, Jakaya Kikwete, has commended President Samia Suluhu Hassan for safeguarding and promoting the value of peace in the country. He also urged Tanzanians to continue…
Dalili gani ukiziona kwa mpenzi wako unajua kabisa ameshakuchoka
Dalili gani ukiziona kwa mpenzi wako unajua kabisa ameshakuchoka Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 . Hosted by @missloloh_ @djfantastic255…
Delcy Rodriguez: Mwanamke aliyetwaa madaraka katikati ya dhoruba ya kimataifa
Mahakama Kuu ya Venezuela ikiungwa mkono na jeshi, ilitoa uamuzi wa haraka: Delcy Rodriguez...
Madereva wa Malori Nyakati za Usiku wengi hupitiwa na Usingizi wakiwa wanasongesha chombo, je yapi wanapitia na yapi yanawafika …
Madereva wa Malori Nyakati za Usiku wengi hupitiwa na Usingizi wakiwa wanasongesha chombo, je yapi wanapitia na yapi yanawafika … Ni leo kuanzia Moja na nusu Usiku, kwenye Sentro ya…
Tanzania yatabiriwa medali ya dhahabu mbio za Nyika
SAFARI ya wanariadha wa kikosi cha timu ya taifa ya riadha ya Tanzania kushiriki mbio za dunia za Nyika imeiva baada ya kuagwa leo Januari 5, 2026 huku ikitabiriwa kurudi…
DC Maswa akerwa uvamizi vyanzo vya maji, atoa onyo
Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Dk Vincent Anney, amewaonya watu wanaovamia maeneo ya vyanzo vya maji...
Azam yaichapa URA Mapinduzi Cup, yaisubiri Simba, Fufuni
USHINDI wa mabao 2-1 ilioupata Azam dhidi ya URA wafungaji wakiwa Jephte Kitambala na Albogast Kyobya, yameifanya timu hiyo kumaliza kinara wa kundi A.
Development projects welcome the 62nd anniversary of the Zanzibar Revolution
ZANZIBAR: THE Tanzanian Prime Minister, Dr Mwigulu Nchemba, has officially inaugurated Chukwani Secondary School in Zanzibar as part of the celebrations marking the 62nd anniversary of the Glorious Zanzibar Revolution.…
Miili minne ya ajali ya basi, lori Morogoro yatambulika kwa DNA
Miili miwili imebaki katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro ikisubiri ndugu kwenda...
Kenya: Mwanamume mmoja ashtakiwa kwa picha za rais William Ruto zilizotengenezwa kwa AI
Nchini Kenya, Harrison Mumia, kiongozi wa shirika la kiraia, ameshtakiwa kwa kusambaza “taarifa za uongo.” Mashtaka hayo yanatokana na picha zilizotengenezwa kwa akili bandia (AI) zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii…
Wanaodaiwa kuiba The Voice waendelea kusota rumande
Tumaini na Gaspar wanakabiliwa na shtaka moja la unyang'anyi wa kutumia silaha, tukio...
15 wapata ushemasi Moshi, Askofu Minde awapa ujumbe wao na wazazi
Mafrateri 15 wa Jimbo Katoliki Moshi wapata sakramenti ya ushemasi, kanisa lataka waumini...