Amnesty yalishtumu kundi la RSF kwa uhalifu wa kivita Sudan
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International, limevilaumu vikosi vya RSF Sudan vinavyopigana na jeshi la serikali kwa uhalifu wa kivita katika kambi kubwa zaidi ya wakimbizi…
Trump ataka Wasomali walioko Marekani warudi kwao
Rais wa Marekani, Donald Trump ametoa wito kwa Wasomali wanaoishi Marekani warudi wakarekebishe nchi yao.
Serikali ivikumbatie vyombo vya habari kama mhimili wa nne
Utawala wa nchi, unaundwa na mihimili mitatu rasmi ya Serikali, Bunge na Mahakama na mhimili wa...
Tanzania kuandaa tuzo za ujenzi Afrika
Tanzania inatarajiwa kuanza kuandaa Tuzo za Afrika zinazolenga kuzitambua kampuni zinazofanya...
Trump apiga ‘stop’ maombi ya uhamiaji kwa raia wa nchi 19
Serikali ya Rais Donald Trump imesimamisha kwa muda usiojulikana maombi yote ya uhamiaji kutoka...
Tume ya Uchunguzi ina ‘kibarua kizito’ lakini muhimu
KATIBA ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 74 inaelekeza kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani kila baada ya miaka mitano. Ni kwa msingi huo, Oktoba…
Sasa unaweza kupata taarifa mbali mbali kuhusu kampuni ya Mainland Group kuhusu mafuta ya alizeti ya Sunland na Merrin Farm, kw…
Sasa unaweza kupata taarifa mbali mbali kuhusu kampuni ya Mainland Group kuhusu mafuta ya alizeti ya Sunland na Merrin Farm, kwenye chaneli kuu za Azam TV - hii hapa ni…
#HABARI: Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ameondoa mashtaka dhidi ya mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26), maarufu kama Nif…
#HABARI: Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ameondoa mashtaka dhidi ya mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26), maarufu kama Niffer, pamoja na Mika Lucas Chavala, waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya uhaini. Uamuzi…
Je, kujitawala kiuchumi Niger kutakuwa pigo la mwisho kwa ukoloni wa Ufaransa barani Afrika
Niger imeanza kuuza urani yake katika soko la kimataifa baada ya kukata mkono wa Ufaransa katika sekta ya madini hayo nchini humo.
TZ targets higher mineral revenues with Tanzanite market reforms
ARUSHA: MINISTER for Minerals, Anthony Mavunde, has unveiled an ambitious strategy to restore Tanzanite’s global standing and strengthen domestic trading systems, centring efforts on the Tanzanite Exchange Centre in Mirerani.…
Z’bar pushes ties to strengthen food security
ZANZIBAR: THE Zanzibar’s Minister for Agriculture, Irrigation, Natural Resources and Livestock, Suleiman Masoud Makame, has said that stronger collaboration between farmers and agricultural stakeholders will help secure the islands’ long…
Wananchi wafurika kampeni za Bobi Wine, awaahidi kumbwaga Museveni
Mgombea urais wa Chama cha National Unity Platform (NUP), Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine...
Time for Tanzanian youths to stand for national stability
DAR ES SALAAM: TANZANIA is unarguably passing through a critical moment that demands a renewed national commitment to peace, unity and responsible citizenship. Recent tensions and isolated incidents of unrest…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55….DESEMBA 03 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....DESEMBA 03 2025
Je, umetimiza malengo uliyokuwa umejiwekea mwaka huu?
Je, umetimiza malengo uliyokuwa umejiwekea mwaka huu? Tathmini yako kifedha inaonekana vipi? Wataalamu wa masuala ya fedha wanasisitiza umuhimu wa kufanya tathmini binafsi ya fedha na uchumi, hususan tunapoelekea mwishoni…
Huduma za mabasi yaendayo haraka katika Barabara ya Morogoro… kutoka Kimara kuelekea Gerezani – Kivukoni na Morocco – zimerejea …
Huduma za mabasi yaendayo haraka katika Barabara ya Morogoro… kutoka Kimara kuelekea Gerezani - Kivukoni na Morocco - zimerejea rasmi leo kufuatia agizo la Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba aliyetaka huduma…
#VIDEO: Mfanyabiashara Jeniffer Jovin, maarufu kama Niffer, na Mika Chavala wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,…
#VIDEO: Mfanyabiashara Jeniffer Jovin, maarufu kama Niffer, na Mika Chavala wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo Desemba 3, 2025, kwa ajili ya kusikiliza shauri…
Serikali ya Tanzania yamsaka Mange Kimambi
Mange Kimambi amethibitisha kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii kuwa serikali ya Tanzania imefungua kesi dhidi yake na hivyo kupanga kumrudisha Tanzania.
TangaYetu ilivyowezesha vijana kujikwamua kiuchumi kupitia vikundi vya kuweka na kukopa
Vijana wengi katika jiji la Tanga wamejikuta wakishindwa kufikia matarajio yao katika maisha...
Local History: Tanzania’s best-kept secrets
DAR ES SALAAM: TANZANIA, a country blessed with stunning landscapes, wildlife, and cultural richness, has one more hidden treasure – its historical sites. But here’s the catch: while Tanzanians are…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55….DESEMBA 03 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....DESEMBA 03 2025
Is it possible for a man to love two women at the same time?
DAR ES SALAAM: STAY INFORMED! Welcome to our Question and Answer Moment. This is an opportunity for our readers to ask questions, and we will respond in the best way…
Stop neglect, your children need you this holiday
DAR ES SALAAM: AS schools wind down for the December and New Year break, the excitement of a long vacation can easily create blind spots for parents and guardians. Holidays…
Minister Mkuya urges archives to preserve national memory
ZANZIBAR: THE Zanzibar government has said proper record-keeping is vital to the country’s economic, social, cultural and political development. Minister of State in the President’s Office, Dr Saada Mkuya Salum,…
Zanzibar targets malaria-free status by 2030
ZANZIBAR: ZANZIBAR aims to eliminate malaria by 2030, with the government and development partners intensifying joint efforts to reduce infections and protect mothers and children. Director of Preventive Services, Dr…
Govt: Strengthen measures against human trafficking
ZANZIBAR: INSTITUTIONS tasked with preventing and combating human trafficking in Zanzibar have been urged to adopt innovative and stronger strategies to address the root causes of the crime, which continues…
Korea Kusini yapiga marufuku kurusha puto kuelekea Kaskazini
Bunge la Korea Kusini limepitisha sheria inayopiga marufuku kurusha puto katika maeneo yasiyoruhusiwa puto kurushwa. Sheria inayolenga kuzuia kutumwa kwa propaganda za kupinga Pyongyang nchini Korea Kaskazini kwa njia ya…
RwandAir launches weekly Zanzibar flights as aviation sector grows
ZANZIBAR: THE Isles government, through the Zanzibar Airports Authority (ZAA), has reaffirmed its commitment to strengthening the aviation sector to ensure professional and efficient air transport services. The assurance was…
Regulatory overhaul gives small-scale miners new protection
GEITA: SMALL-scale miners across Tanzania will operate under stronger legal protection, following a sweeping regulatory overhaul that tightens control over mining licences, foreign participation and revenue-sharing arrangements. Addressing residents in…
Kimiti ahimiza haki, amani
KIONGOZI mstaafu wa serikali, Paul Kimiti amesema kuwe na haki, kwa kuwa si rahisi kutenganisha haki na amani. Kimiti alieleza hayo wakati wa mazungumzo yake katika kipindi cha dakika 45…
Leaders assure peace, call for continued productivity
ZANZIBAR: THE Union and Zanzibar governments have moved to reassure the public of continued peace and security, encouraging all citizens to carry on with their productive activities in support of…
UCHAMBUZI WA MALOTO: Muhimu kuyajua matokeo baada ya ghasia za kuangusha Serikali
Oktoba 20, 2011, saa 2:30 asubuhi kwa saa za Ulaya Mashariki (Eastern European Standard Time)...
Ukraine: ‘Hakuna maelewano’ yaliyofikiwa kati ya Urusi na Marekani kuhusu maeneo yanayokaliwa
Mkutano kati ya Rais wa Urusi Vladimir Putin na mjumbe wa Marekani Steve Witkoff kujadili mpango wa Washington wa kukomesha vita nchini Ukraine ulimalizika baada ya takriban saa tano, Kremlin…
Samia anavyojipanga kusimamia utawala wa sheria, uwajibikaji
Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kusimamia utawala wa sheria pamoja na kuhakikisha watumishi...
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55….DESEMBA 03 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....DESEMBA 03 2025
‘We will stand strong’
Samia vows nation will be protected DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan yesterday vowed that the government will firmly defend Tanzania’s sovereignty, calling on elders to guide the youth…
#MEZAHURU:Usugu Vimelea vya magonjwa na dawa
#MEZAHURU:Usugu Vimelea vya magonjwa na dawa. Tunaangalia juu matumizi holela ya dawa unavyosababisha usugu wa vimelea vya magonjwa. Je, nini kifanyike ili kuondokana na tatizo hilo?
EU: Mkuu wa zamani wa sera za kigeni wa EU Federica Mogherini akamatwa
Kashfa mpya imechafua taswira ya Umoja wa Ulaya. Federica Mogherini, ambaye alihudumu kama Mwakilishi Mkuu wa EU wa Sera za Mambo ya Nje na Usalama kuanzia mwaka 2014 hadi mwaka…
Petroli, mafuta ya taa bei chini, Dizeli ikiongezeka
Watumiaji wa mafuta ya petroli na mafuta ya taa wataendelea kushuhudia ahueni ya kupungua kwa...
Soko la ujenzi na nyumba Israel limeporomoka baada ya Vita vya Siku 12 na Iran
Hivi karibuni mamlaka na vyombo vya habari vya Kizayuni vimekiri kupata kipigo kikali kutokana na vita vya Ghaza na mashambulizi ya kulipiza kisasi ya makombora ya Iran na kwamba kukiri…
Makombora ya Iran yapigilia msumari wa mwisho jeneza la soko la nyumba la Israel
Hivi karibuni mamlaka na vyombo vya habari vya Kizayuni vimekiri kupata kipigo kikali kutokana na vita vya Ghaza na mashambulizi ya kulipiza kisasi ya makombora ya Iran na kwamba kukiri…
Netanyahu amramba miguu Trump amuokoe na kitanzi cha kesi mahakamani
Duru za kuaminika za Marekani na Israel zimefichua kuwa, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu amemuomba kwa kumsisitiza rais wa Marekani, Donald Trump afanye kila awezalo kuhakikisha kuwa…
Umoja wa Mataifa: El Fasher Sudan kumefanyika jinai za kivita
Mratibu wa Msuala ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan amesema mapema leo Jumatano kwamba maeneo mengi ya makazi ya raia nchini humo yamezingirwa na haiwezekani kuyafikishia misaada.
Russia: Hakuna mazungumzo ya kusitisha mapigano mkesha wa Mwaka Mpya
Msemaji wa Ikulu ya Russia, Kremlin, amesema kuwa, hakuna mazungumzo yoyote yaliyofanyika kuhusu kusimamishwa vita wakati wa mkesha wa X-Mass na mwaka mpya huko Ukraine.
Mapigano yashadidi DRC, kila upande unamtuhumu mwenzake
Mapigano yamezidi kupamba moto mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo huku jeshi na waasi wa M23 kila upande ukimshutumu mwenzake kwa kukanyaga makubaliano ya kusitisha mapigano.
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro katika kutekeleza majukumu yake ya kuzuia na kutanzua na uhalifu, limefanya mahojiano …
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro katika kutekeleza majukumu yake ya kuzuia na kutanzua na uhalifu, limefanya mahojiano na Rasel Mpuya Madaha (49), Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kilimo…
Haaland aandika rekodi mpya England
Erling Haaland ameendelea kuwasha moto baada ya kuandika historia mpya kwenye Ligi Kuu England...
Katika picha: Wapalestina huko Gaza wafanya harusi kubwa ya pamoja licha ya kuwa na hali tete
Wanandoa 54 walifunga ndoa katika harusi kubwa iliyofanyika kati ya magofu huko Khan Younis, ambayo ilisababishwa na Israel.
Mali: JNIM yatoa video ya waandishi wawili wa habari wa ORTM waliotekwa mmoja na nusu uliopita
Nchini Mali, waandishi hao wawili kutoka kituo cha televisheni cha serikali cha ORTM, waliotekwa nyara Oktoba 14 na JNIM, wanaonekana katika video iliyotolewa jioni ya Jumatatu, Desemba 1, na kundi…
Elimu si uvumbuzi, bali uvumbuzi ni elimu
Leo namkumbuka mwamba wa kuitwa Abunuwasi. Kwa taarifa tulizonazo jamaa alikimbia umande...