Wapenzi wanaswa na dawa mpya za kulevya, madhara yake…
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imewakamata watuhumiwa wawili...
BOT, NBAA kuimarisha mifumo ya kidijitali
DAR ES SALAAM: Benki Kuu ya Tanzania (BOT) na Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) zimesaini makubaliano mapya ya ushirikiano (MoU) yenye lengo la kuimarisha matumizi ya mifumo…
DPP amfutia kesi ya uhaini Niffer na Chavala
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amefutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi...
Ibenge apiga hesabu kali Azam FC
AZAM FC kwa sasa vichwa viko chini wakiuguza maumivu ya kupoteza mechi mbili za kwanza za makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini mashabiki wa klabu huenda wakatuliza presha kutokana…
‘Matokeo tafiti yalete majawabu ya kisayansi kwa wananchi’
Watafiti nchini wametakiwa kuhakikisha matokeo ya tafiti zinazofanywa zinaleta majawabu ya kisayansi kwa wananchi hususan katika kupunguza uharibifu wa ardhi au udongo kwa kurejesha ardhi iliyoharibika. Naibu Katibu Mkuu (Mazingira)…
TASFAM injects 117m US dollars to boost the blue economy
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Scaling-Up Sustainable Marine Fisheries and Aquaculture Management (TASFAM) Project is set to transform the lives of thousands of coastline communities while strengthening the country’s blue…
Madiwani wapewa zigo la kuboresha, kujenga mahakama
Hakimu Mfawidhi wa Wilaya ya Serengeti, mkoani Mara, Jacob Ndira amewaomba madiwani kusaidia...
Serikali yatahadharisha vijana kutumika kwenye magenge ya uhalifu ughaibuni
Serikali imewataka vijana kuwa makini pindi wanapopata fursa za kazi nje ya nchini huku...
Mtandao wa kufuatilia matokeo ya tafiti Afrika wazinduliwa Arusha
Wataalamu wa utafiti barani Afrika wamezindua mtandao mpya wa bara zima unaolenga kuimarisha...
EWURA releases new fuel prices for the Tanzania Mainland
DODOMA: THE ENERGY and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) has announced new cap prices for petroleum products, which will take effect across Mainland Tanzania from today, December 3, 2025, at…
Tanzanian alliance seeks a funding mechanism for antimicrobial resistance
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government and Members of Parliament who are at the forefront of pushing for the strengthening of interventions to eradicate antimicrobial resistance (AMR), have agreed to…
Uchumi wa Uturuki unaongezeka ukiweka rekodi ya ukuaji wa 3.7%, ukuaji wa utalii wa $ 50B: Erdogan
Rais wa Uturuki amengazia ukuaji wa uchumi, kuongezeka kwa mapato ya utalii, kuongezeka kwa ushirikiano wa Afrika, na mafanikio mapya ya ulinzi.
SGA wins Consumer Choice Award 2025
DAR ES SALAAM: SGA Security has once again been named the Most Trusted and Equipped Security Services Provider in Africa and scooped an award in that regard. The award was…
Mazungumzo ya saa tano kati ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin na Rais wa Marekani, Donald Trump yameonekana kushindwa kuleta mafa…
Mazungumzo ya saa tano kati ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin na Rais wa Marekani, Donald Trump yameonekana kushindwa kuleta mafanikio katika kufanikisha muafaka wa amani nchini Ukraine. #AzamTVUdates Mhariri…
Erdogan na Macron wazungumzia vita vya Ukraine, migogoro ya kikanda na uhusiano wa mataifa mawili
Viongozi hao wa Uturuki na Ufaransa walijadili kuimarisha ushirikiano pamoja na yanayojiri Gaza, eneo la Caucasus na Syria, huku Erdogan akitoa wito kwa diplomasia mpya kufufua juhudi za amani zilizokwama…
#HABARI: Jeshi la Polisi Tanzania limetoa taarifa kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii hususan ‘maan…
#HABARI: Jeshi la Polisi Tanzania limetoa taarifa kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii hususan ‘maandamano’ yanayotajwa kufanyika Desemba 9, 2025. Jeshi hilo limesema, linaendelea kutekeleza majukumu yake ya…
Je Zipi ni Bonasi Maarufu Zaidi za Michezo ya Kubashiri Nchini?
Bonasi za kubashiri ni fedha za ziada zinazotolewa kama zawadi na kampuni za kubashiri kumpa nguvu mchezaji/mwekezaji. Zinakuja katika njia mbalimbali, kwa sababu kila kampuni hujaribu kutofautisha ofa zake na…
Baraza Kuu UN lafanya kikao cha dharura kupiga kura Urusi kuwarejesha watoto wa Ukraine
Kikao cha dharura cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kinacholenga kuangazia uchokozi wa Urusi dhidi ya Ukraine kinafanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, ambapo…
Uganda: Türk alaani ukandamizaji unaoendelea dhidi ya upinzani na vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, ameonesha wasiwasi mkubwa kuhusu kuongezeka kwa ukandamizaji dhidi ya upinzani na waandishi wa habari nchini Uganda, wakati taifa…
UN yaonya kuhusu kuongezeka kwa vitisho vya vilipuzi Afghanistan, Sudan, Gaza na Nigeria
Umoja wa Mataifa, kupitia Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya msaada wa kutegua mabomu (UNMAS), umetahadharisha kwamba vitisho vya vilipuzi vinaongezeka na upatikanaji wa misaada ya kibinadamu unapungua katika maeneo…
Kunapokuwa na ujumuishwaji wa kweli kila mtu ananufaika katika jamii: Guterres
Umoja wa Mataifa leo Desemba 3 unaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu kwa ujumbe mzito kutoka kwa Katibu Mkuu António Guterres ujumbe unaotaka jamii ziwe si tu zinazoweza…
UNFPA yachukua hatua kuhakikisha huduma za afya ya uzazi kwa wasichana vigori Kenya inapatikana
Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu na Afya ya Uzazi UNFPA kupitia ufadhili kutoka kwa asasi ya Adolescent Sexual and #ReproductiveHealth Development Impact Bond, limewezesha wasichana nchini…
Wananchi wapaza sauti changamoto ya daraja
Wananchi wa vijiji vya Ng'wambwa na Vikunguni, Mkoa wa Kusini Pemba wameiomba Serikali...
NEMC marks the Day of Persons with Disabilities, insisting on inclusive environments
DAR ES SALAAM: THE National Environment Management Council (NEMC) has today, December 3, 2025, joined the international community in commemorating the International Day of Persons with Disabilities, emphasising the importance…
Droni za Urusi zaigeuza Kherson kuwa “safari ya binadamu”
Raia wa Kherson wanaishi kwa hofu ya mashambulizi ya kila mara ya droni za Urusi, ambazo Umoja wa Mataifa unasema zinawalenga kimakusudi na kusababisha vifo, majeraha na uharibifu mkubwa wa…
Mchungaji asisitiza haki, Butiku akihimiza malezi kwa vijana
Viongozi na wanasiasa nchini, wameaswa kutohubiri amani pekee bila kutaja neno haki, kwani moja...
TANAPA, ZATI join forces to promote Tanzania as a global tourism hub
ZANZIBAR: The Tanzania National Parks Authority (TANAPA) has expanded its efforts to promote tourism and investment by signing a cooperation agreement with the Zanzibar Association of Tourism Investors (ZATI). This…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Jabiri Omari Makame amesema kile kilichofanyika wakati na baada ya siku ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania Oktoba 29, 2025 kilikuwa ni fujo, vurugu…
Israel iko tayari kufungua kivuko cha Rafah
Baada ya kukifunga kwa muda mrefu kivuko cha Rafah,Israel inadhamiria kukifungua kuruhusu Wapalestina kwenda Misri
Puma Energy Tanzania bags 2 prestigious awards
DAR ES SALAAM: PUMA Energy Tanzania‘s commitment to excellence, innovation, and customer-centric service was powerfully validated at the annual Consumer Choice Awards held in Dar es Salaam, as it was…
NEMC, watanzania waadhimisha siku ya walemavu duniani
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) leo limeungana na jumuiya ya kimataifa kuadhimisha Siku ya Walemavu Duniani kwa kutoa wito wa kuimarishwa kwa mazingira jumuishi na…
Marekani yasitisha maombi ya viza kwa “mataifa 19 hatari”
Marekani imesitisha kushughulikia maombi yote ya uhamiaji, ikiwemo kadi za kijani na uraia, kwa raia wa mataifa 19 yanayoainishwa kama hatari kubwa. Hatua hii imechochewa na shambulio la hivi karibuni…
Bibi matatani kilimo cha bangi
KATAVI; Watu watatu wamekamatwa na askari wa maliasili wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi kwa tuhuma za kujihusisha na kilimo haramu cha bangi ndani ya eneo la hifadhi…
Mastaa mtegoni, Gamondi akiita 53 Taifa Stars
Kocha Mkuu wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', ametangaza kikosi cha awali cha wachezaji 53 kwa ajili ya kuanza maandalizi ya Fainali za Mataifa ya Afrika…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55….DESEMBA 03 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....DESEMBA 03 2025
Azimio la UN: Israel inaikalia “kinyume cha sheria” Miinuko ya Golan ya Syria, iondoke kikamilifu
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio linalotangaza kuwa, kuendelea Israel kuikalia kwa mabavu na kuiunganisha na upande wake Miinuko ya Golan ya Syria ni "kinyume cha sheria" na…
Libya: Tutawatendea wakimbizi wa Sudan kama Walibya, watapatiwa huduma za skuli na hospitali
Serikali ya Libya imetangaza kuwa itaongeza kasi ya kuwarejesha makwao wahamiaji wasio halali wa Kiafrika wa nchi za chini ya Jangwa la Sahara, lakini imesema, kwa upande wa wakimbizi wa…
Papa Leo: Chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya zinachochewa na wanaotaka kuwatenga wengine
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV amesema, chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) barani Ulaya mara nyingi huchochewa na wale wanaotaka kuwatenga watu wa imani na mbari tofauti na…
Papa Leo: Chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) Ulaya zinachochewa na wanaotaka kuwatenga wengine
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV amesema, chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) barani Ulaya mara nyingi huchochewa na wale wanaotaka kuwatenga watu wa imani na mbari tofauti na…
Israeli: Mabaki tuliyokabidhiwa na Hamas sio ya mateka wetu
Israeli imesema matokeo ya uchunguzi wa mabaki yaliyorudishwa kutoka Gaza sio ya mateka wake waliouwawa na Hamas, huku pande zote mbili zikiendelea kutekeleza makubaliano dhaifu ya kusitisha vita katika Ukanda…
Mbunge Ilhan Omar amjibu Trump kwa kumwita yeye na wahamiaji Wasomali “takataka”
Ilhan Omar, mbunge Muislamu anayewakilisha jimbo la Minnesota kwa tiketi ya chama cha Democrat amejibu mapigo kwa rais wa nchi hiyo Donald Trump baada ya kiongozi huyo kuanzisha tena mashambulizi…
#VIDEO: Hivi ndivyo Jeniffer Jovin ‘Niffer’ alivyoondoka leo katika viwanja vya Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, baada y…
#VIDEO: Hivi ndivyo Jeniffer Jovin ‘Niffer’ alivyoondoka leo katika viwanja vya Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya kufutiwa mashtaka ya uhaini yaliyokuwa yakimkabili. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI…
Simba part ways with Pantev
DAR ES SALAAM: SIMBA have parted company with Manager Dimitar Pantev after agreeing to terminate his contract, ending the Bulgarian’s brief spell at the club. The decision was announced via…
Yanga become first club to join new African Club Association
DAR ES SALAAM: YOUNG Africans SC have once again cemented their place in African football history by becoming the first club to officially register as a member of the newly…
‘Kuna watu wanaishi kwa wasiwasi Ilemela’
Wakati madiwani wa Manispaa ya Ilemela, Mkoa wa Mwanza wakimchagua Sara N’ghwani kuwa Meya na...
Msako waanza upya ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea
Zaidi ya muongo mmoja uliyopita, ndege ya Malaysia MH370 ilitoweka na kupotea kabisaa, na kuacha kitendawili kikubwa cha anga. Licha ya utafutaji mkubwa wa kimataifa, hatma ya ndege hiyo na…
DPP releases Niffer after dropping her treason charges
DAR ES SALAAM: The Director of Public Prosecutions (DPP) has dropped charges and released cosmetics businesswoman Jenifer Jovin, popularly known as Niffer, and Mika Lucas Chavala, who had been facing…
Mama Amina na harakati za kuokoa wenye matatizo ya afya ya akili Kenya
Kutoka umahiri wa masuala ya utalii hadi kuokoa maisha: Amina Abdallah, Mkurugenzi aliyeacha tasnia aliyopenda na kuamua kupambana na janga la afya ya akili.
PUMA Energy shines with double win at Consumer Choice Awards
DAR ES SALAAM: PUMA Energy Tanzania has cemented its place as a continental industry leader after winning two major honours at the prestigious Consumer Choice Awards held in Dar es…