#HABARI: Matangazo ya Runinga yenye kelele yamepigwa marufuku huko California baada ya kupitishwa kwa sheria mpya inayowataka watu wanaoingiza sauti na kuzitengeneza kupunguza sauti.

Haya yamejiri baada ya watazamaji nchini Marekani kulalamika kwa muda mrefu kwamba baadhi ya matangazo hayo kuwa ya sauti zaidi kuliko programu wanazokuwa wanazitazama kwa muda huo.

Sasa sheria mpya katika jimbo lenye wakazi wengi zaidi Marekani inasema matangazo hayawezi kuwa na sauti zaidi kuliko maudhui yanayokatiza ili kutangaza matangazo hayo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *