Kutokana na mabadiliko na ukuaji wa teknolojia duniani, Shirika la Posta sasa limejikita katika kufanya shughuli zake nyingi kidijitali.

Hayo yameelezwa na Kaimu Meneja wa Huduma kwa Wateja Shirika hilo, Jane Sallu katika kipindi cha #MorningTrumpet wakati akielezea zaidi shirika hilo lilivyoboresha huduma zake.

✍Juliana James
Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *