Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda, amesema akipewa ridhaa ya kuingia bungeni ataweka nguvu kubwa kumsadia Rais Samia Suluhu Hassan kutekeleza Ilani ya CCM ya mwaka 2025–2030.

Amesema atahakikisha uwajibikaji ndani ya serikali unaimarika na vijana wa Tanzania wananufaika na miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali ya awamu ya sita.

Mhariri @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *