Idadi ya abiria wanaosafiri kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) imeendelea kuongezeka, ishara ya ustawi wa sekta ya utalii nchini.
Uwanja huo ni miongoni mwa lango kuu la kuingilia kwa watalii kutoka maeneo mbalimbali duniani, na umechangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la wageni wanaotembelea vivutio vya Tanzania.
Imeandaliwa na Enos Masanja
Mhariri | @claud _jm
#AzamTVUpdates