#HABARI: Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezungumza na wanafamilia wa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere, alipofanya ziara katika Kijiji cha Mwitongo, Butiama, mkoani Mara leo Oktoba 10, 2025.
Ziara hiyo ni sehemu ya ratiba yake ya kampeni mkoani Mara, ambapo Dkt. Samia alipata nafasi ya kutembelea nyumbani kwa Mwalimu Nyerere na kutoa salamu za heshima kwa familia ya muasisi wa taifa.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania