Wazee wachoshwa na umwagaji damu DRC na Sudan wataka hatua za haraka kukomesha vita
Viongozi wa dunia wamesisitizwa kuwalinda raia na kutanguliza haki za binadamu mbele wakati migogoro ikizidi kuongezeka duniani.
Viongozi wa dunia wamesisitizwa kuwalinda raia na kutanguliza haki za binadamu mbele wakati migogoro ikizidi kuongezeka duniani.
Mfumo wa kimataifa wa kushughulikia mabaki ya kesi za mauaji ya kimbari (IRMCT) umeamua kuwa mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari, Félicien Kabuga, hana uwezo wa kiafya kusafiri kwenda Rwanda, uamuzi…
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Sudani Kusini UNMISS wakishirikiana na wizara ya haki na masuala ya katiba nchini humo wanaendeleza zoezi la mahakama tembezi nchini humo…
Dunia inajiandaa kuadhimisha Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia kuanzia tarehe 25 mwezi huu wa Novemba hadi tarehe 10 Disemba, kampeni inayolenga kuongeza uelewa na kutoa wito wa kuzuia…
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has extended her best wishes to 595,816 Form Four students who have begun doing their National Examinations today in 5,868 schools across the…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 17, 2025
Mechi ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu baina ya Yanga na Simba 'Kariakoo Derby' iliyokuwa ichezwe Desemba 13 mwaka huu, sasa itachezwa Machi Mosi, mwakani.
Woga na uelewa mdogo zimetajwa kuwa miongoni mwa wafanyakazi wa nyumbani kumetajwa kuwa moja ya...
Asubuhi ya kuamkia Ijumaa Novemba 15, 2025 tasnia ya muziki wa dansi ilipatwa na pigo la...
Vilio simanzi na majonzi vimetawala nyumbani kwa aliyekuwa mchekeshaji na mshereheshaji wa...
Mahakama ya uhalifu wa kivita Bangladesh imetoa hukumu ya kifo kwa aliyekuwa waziri mkuu Sheikh Hasina, baada ya kumkuta na hatia ya kuamuru kuandamwa kwa waandamanaji vijana waliokuwa wanadai mabadiliko.
Vijana wenye umri wa miaka 15 hadi 25 katika Manispaa ya Iringa wameiomba serikali kuongeza kasi ya kuwajengea uwezo wa kuongeza ujuzi na kushiriki kikamilifu katika shughuli za uzalishaji mali…
Zaidi ya tani 99,000 za korosho zimeuzwa kupitia minada minne iliyofanyika katika mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma tangu kuanza kwa minada, ambapo hii leo, wakulima wa korosho wa chama…
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa kuzuwia hatua yoyote itakayopelekea kuundwa kwa dola la Palestina.
Waziri wa fedha wa Ujerumani Lars Klingbeil, amesema kunapaswa kuwa na mikakati sawa linapokuja suala la ushindani wa biashara na China.
Mechi ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu baina ya Yanga na Simba...
Watu 32 wamefariki dunia baada ya mgodi wa Kobalti kuporomoka katika eneo la uchimbaji madini la Kalando, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), huku mamlaka zikiendelea na shughuli ya uokoaji…
Wanafunzi na wasimamizi wa mtihani wa kidato cha nne, ambao umeanza mapema hii leo, wameaswa kufuata taratibu ili kuepuka udanganyifu, huku wazazi na walezi wakiombwa kuwa waangalizi kwa watoto. #AzamTVUpdates…
Shirika la huduma za dharura Ukraine limesema mashambulizi ya Urusi kusini mwa mji wa Odesa, yamesababisha moto mkubwa katika miundombinu ya nishati na bandari.
Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Annalena Baerbock, amesema kuna haja ya mabadiliko katika majadiliano magumu katika mkutano wa Mazingira wa Umoja wa Mataifa wa COP30.
Moscow imedaileo Jumatatu, Novemba 17, kuteka vijiji vitatu vipya kwenye mstari wa mbele wa mashariki nchini Ukraine, ambapo jeshi la Urusi linaendelea kusonga mbele hatu kwa hatua dhidi ya vikosi…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 17, 2025
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza katika taarifa yake kwamba makundi na harakati za Palestina zimewasilisha waraka kuhusu rasimu ya azimio la Marekani katika Baraza la Usalama…
Meya Mteule wa jiji la New York Zohran Kwame Mamdani ameambia televisheni ya ABC News kwamba atatoa hati ya kukamatwa waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu…
Mtafiti wa mahusiano ya kimataifa Yasser Al-Khatib amesema, hali ya mambo nchini Syria ni ngumu na tata mno kutokana na udhaifu wa watawala wake wa sasa, ambao unawasukuma watawala hao…
Wakati tabia ya mastaa wanaochipukia ya kuwaanika wapenzi wao kwenye mitandao ya kijamii...
Baraza la Mahakama la Jinai za Kimataifa (International Crimes Tribunal), ICT la Bangladesh leo limetoa hukumu ya adhabu ya kifo kwa Waziri Mkuu wa zamani aliyeitoroka nchi Sheikh Hasina, baada…
Baraza la Mahakama la Jinai za Kimataifa (International Crimes Tribunal), ICT la Bangladesh leo limetoa hukumu ya adhabu ya kifo kwa Waziri Mkuu wa zamani aliyeitoroka nchi Sheikh Hasina, baada…
Kampuni moja ya utawala wa kizayuni wa Israel imefungua kiwanda chake cha kwanza nje ya nchi huko Morocco cha uundaji wa ndege zisizo na rubani za mashambulizi aina ya Spike.
Wananchi wa Ecuador wamekataa pendekezo la kuruhusu kurejeshwa tena nchini humo vituo vya kijeshi vya nchi za kigeni. Hayo ni kwa mujibu wa matokeo ya awali ya kura ya maoni,…
Wananchi wa Ecuador wamekataa pendekezo la kuruhusu kurejeshwa tena nchini humo vituo vya kijeshi vya nchi za kigeni. Hayo ni kwa mujibu wa matokeo ya awali ya kura ya maoni,…
ARUSHA; Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dk Hashil Abdallah, amesema serikali imejipanga vema kuhakikisha changamoto ya ajira kwa vijana, wanawake na makundi maalumu zinaondoka. Amesema hayo leo jijini…
Mahakama ya uhalifu wa kivita nchini Bangladesh imemhukumu kifo waziri mkuu wa zamani Sheikh Hasina baada ya kumkuta na hatia kwa kosa la uhalifu dhidi ya ubinadamu. Hali ya usalama…
Mahakama ya uhalifu wa kivita nchini Bangladesh imemhukumu kifo waziri mkuu wa zamani Sheikh Hasina baada ya kumkuta na hatia kwa kosa la uhalifu dhidi ya ubinadamu. Hali ya usalama…
Matamasha ya kitamaduni hayatoi burudani pekee, bali ni darasa lenye thamani kubwa kwa jamii. Kupitia matamasha haya jamii hujifunza asili yao, na vijana hupata nafasi ya kuelewa mizizi ya tamaduni…
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky leo Jumatatu, Novemba 17, amepokelewa mjini Paris na mwenyejiwake, rais wa Ufaransa Emmanuel Macron. Ziara hii, ya tisa ya Rais Zelensky nchini Ufaransa tangu kuanza…
MWANZA; KESI inayowakabili watuhumiwa 11 kati ya 172 wanaodaiwa kuhusika na matukio ya uhalifu yaliyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imeahirishwa hadi Novemba 26 mwaka huu baada…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 17, 2025
Akiwa na miaka takribani minane tangu ametoka kisanii, muziki wa Mario unaendelea kuwafikia...
WAKATI kipa namba moja wa Simba, Moussa Camara akitarajiwa kufanyiwa upasuaji kesho Jumanne Novemba 18, 2025 huko Morocco, beki wa kati Abdulrazack Mohamed Hamza naye ametajwa kuwa mbioni kwenda nchini…
CAIRO: TAIFA Stars may have fallen 4–3 to Kuwait in a thrilling friendly match in Egypt on Saturday, but head coach, Miguel Gamondi says the performance offered more encouragement than…
Ulaya inasema haiko tayari kwa shambulio kubwa la ndege zisizo na rubani za Urusi na lazima iunganishe uwezo wa Ukraine chini ya hatari ya kufanya “kosa la kihistoria,” Kamishna wa…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limetangaza vita dhidi ya mashabiki wa soka ambao...
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Golf Union (TGU) Chairman, Gilman Kasiga, has extended heartfelt congratulations to General George Jafu on his appointment as Commander of the Malawi Defence Force (MDF)…
DAWA: SERENGETI Boys Head Coach Aggrey Morris expressed his satisfaction with the team’s dominant 6–0 victory over Sudan in the CECAFA Zone AFCON U-17 Qualifiers in Ethiopia, but quickly reminded…
DODOMA: THE Ministry of Health has expressed growing concern over the rising number of diabetes cases in the country, revealing that women continue to account for the majority of those…
EGYPT: JKT Queens Head Coach Kessy Juma has admitted that although the 1–4 defeat to TP Mazembe in the CAF Women’s Champions League was a bitter blow, it was a…
Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, Anicet-Georges Dologuélé na Henri-Marie Dondra walielezea faraja yao: baada ya miezi kadhaa ya uvumi kuhusu kutostahiki kwao, mawaziri wakuu hao wawili wa zamani wamejikuta…
DAR ES SALAAM: TANZANIA has unveiled an ambitious agenda to accelerate the growth of its horticulture industry following the successful conclusion of the maiden Horticulture Business and Investment Summit (HoBIS)…
ZANZIBAR: NEWLY elected members of the Zanzibar House of Representatives have been urged to study, understand and strictly adhere to the laws and standing orders that govern the House as…