Kususia Trump mkutano wa G20; sera za mashinikizo au mshikamano na Israel?
Rais wa Marekani alitangaza kuwa, hakuna maafisa wa Marekani watakaohudhuria mkutano wa kila mwaka wa Kundi la G20 huko Johannesburg, Afrika Kusini.
Uzalishaji wa pareto waongezeka
Licha ya uzalishaji wa pareto kuongezeka, Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imesema bado mahitaji...
TFF yasubiriwa kuzirudisha Simba, Yanga Sokoine
BAADA ya kukosa uhondo wa Ligi Kuu Bara, huenda mashabiki wa soka jijini Mbeya wakaanza kushuhudia timu zao Mbeya City, Tanzania Prisons pindi ligi hiyo itakapoendelea baada ya uwanja wa…
Kwanini madai ya’Mauaji ya Wakristo’: ya Trump nchini Nigeria yana kasoro na ni hatari
Madai ya Trump ya "mauaji ya Wakristo" nchini Nigeria yanageuza mgogoro mgumu, unaosukumwa na rasilimali, na kuhatarisha ushirikiano muhimu wa kupambana na ugaidi, na kuonyesha diplomasia ya biashara ya utawala…
COP30 reveals 2.5 tri/- boost for Africa’s smallholder farmers
BELEM, Brazil: THE Gates Foundation announced a new commitment to advancing climate adaptation, helping smallholder farmers build resilience to a warming world and protect hard-won gains against poverty. Announced at…
Qalibaf: Marekani lazima ikubali matokeo ya uchokozi wake wa wazi dhidi ya Iran
Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, anasema Marekani lazima ikabiliane na matokeo ya kisheria na kisiasa ya kitendo chake cha uchokozi mbaya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, mapema…
Afisa wa Yemen: Mtandao wa ujasusi wa Marekani, Israel na Saudi Arabia unataka kukomesha himaya ya Yemen kwa Palestina
Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amevipongeza vikosi vya usalama vya nchi hiyo kwa kuvunja mtandao wa ujasusi uliounganishwa na mashirika ya ujasusi ya Marekani, Israel na Saudi…
Mama asimulia ndoto za bintiye ‘Tina’ zilivyozimwa kwa risasi
Machozi, ukimya na simanzi vimetanda katika familia ya Christina John Richard, maarufu Tina...
Wabunge wa CCM kumchagua mgombea kiti cha uspika
Wabunge wateule wa Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Jumapili Novemba 9, 2025 wamekutana kwa ajili...
Syria’s al-Sharaa arrives in US for official visit
USA: SYRIAN President Ahmed al-Sharaa has arrived in the United States for an official visit, according to state media, during which Washington hopes to enlist Damascus in its coalition against…
Philippines: Thousands evacuate as new super typhoon nears
PHILIPPINES: MORE than 900,000 people in eastern, central and northern provinces of the Philippines have been evacuated from their homes as Super Typhoon Fung-wong approaches the archipelago. Fung-wong, which intensified…
Waarabu wamhofia Samatta AFCON 2025
Benchi la ufundi la timu ya taifa ya Tunisia, limemtaja Mbwana Samatta kama mchezaji wa...
Urusi: Tuko tayari kuzungumza na Marekani kuhusu Ukraine
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov amesema yuko tayari kukutana kwa majadiliano na mwenzake, Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani Marco Rubio kuhusu kutafuta suluhisho la…
Al-Sharaa awasili Marekani katika ziara ya kihistoria
Rais wa mpito wa Syria Ahmed al-Sharaa amewasili Marekani anakotarajiwa kukutana kwa mazungumzo na Rais Donald Trump Jumatatu. Amefika nchini humo Jumamosi siku moja baada ya Marekani kumuondoa kwenye orodha…
Rais wa Colombia amshambulia Trump: Wewe na marafiki zako ni waongo
Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amemshambulia Rais wa Marekani, Donald Trump, akionya kwamba kinachoendelea huko Gaza kinaweza pia kutokea Kusini mwa Dunia.
Maelfu wahamishwa kupisha kimbunga kingine kikubwa Ufilipino
Karibu watu milioni moja wamehamishwa kutoka kwenye makazi yao kutokana na mafuriko yanayoendelea kuongezeka nchini Ufilipino kabla ya kimbunga kingine kinachotarajiwa kulipiga taifa hilo.
Maelfu ya raia wakimbia ukatili wa RSF El-Fashir, Sudan
Maelfu ya raia wamelazimika kuyakimbilia makambi ya wakimbizi yaliyofurika ili kukwepa ukatili wa wanamgambo wa RSF tangu walipoutwaa mji wa El Fasher ulioko Darfur huko nchini Sudan.
Imetimia miaka 36 tangu kuangushwa ukuta wa Berlin
Ujerumani inaadhimisha miaka 36 tangu kuanguka kwa Ukuta wa Berlin. Tukio hilo lilihitimisha enzi ya utengano na kufungua njia ya kuungana tena kwa iliyokuwa Ujerumani Magharibi na Mashariki.
Mtandao wa Madaktari Sudan: RSF imeteketeza mamia ya miili ya watu huko El Fasher
Mtandao wa Madaktari wa Sudan umesema kwamba Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) vilikusanya mamia ya miili kutoka mitaani na vitongoji vya makazi ya raia vya El Fasher (mji mkuu…
Uzoefu, ukongwe bungeni kumbeba Lukuvi kuongoza uchaguzi kiti cha Spika
Wakati joto la uchaguzi wa Spika wa Bunge la 13 likizidi kupanda ndani ya vyama vya siasa...
JKT Queens na kiunzi cha kwanza Afrika
JKT Queens inarusha karata yake ya kwanza leo kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ikiikabili...
Wananchi katika Al Fasher, Sudan, wanakabiliwa na ukatili ‘wa kiwango kisichoweza kuaminika’
Li Fung, Mwakilishi wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan, anasema Al Fasher imekuwa mji wa huzuni kwani Kikosi cha RSF kinaendelea na mashambulizi yake ya kinyama.
Beki Mtanzania awania tuzo Marekani
BEKI wa Kitanzania, Jackson Kasanzu anayeitumikia Tormenta FC ya Ligi Daraja la Kwanza Marekani ameingia kwenye kitabu cha historia baada ya kuchaguliwa kuwania tuzo ya mchezaji bora kijana.
Mbongo apewa unahodha Morocco
MSHAMBULIAJI wa Kitanzania, Jaruph Juma anayekipiga Ain Diab inayoshiriki Ligi Kuu ya Soka la Ufukweni nchini Morocco amepewa kitambaa cha unahodha kuiongoza timu hiyo.
JKT Queens begin CAF Champions League campaign today
EGYPT: JKT Queens will kick off their first campaign in the CAF Women’s Champions League today, as they play their opening match against Gaborone United of Botswana, taking place in…
Kachwele ataja visiki Ligi Kuu Canada
WINGA wa Whitecaps FC 2 inayoshiriki Ligi ya Canada maarufu MLS Next Pro, Cyprian Kachwele amesema amekutana na mabeki wengi kwenye ligi hiyo, lakini wa timu mbili wamempa ugumu zaidi.
Said Jr anaitaka rekodi Malaysia
MSHAMBULIAJI Said Khamis 'Said Jr' anayeitumikia IFC Malaysia amesema anatamani kuandika rekodi akiwa na kikosi hicho kwa kufunga zaidi ya mabao 20.
Mamia watoweka baada ya boti kuzama katika mpaka wa Malaysia na Thailand
Mamlaka ya Usafiri wa Baharini ya Malaysia imetangaza kwamba takriban watu 290 bado hawajulikani walipo leo Jumapili baada ya boti iliyokuwa imebeba watu wapatao 300 kuzama karibu na mpaka wa…
Simulizi ya mizimu ya mganga na mauaji ya muuguzi mstaafu KCMC-3
Simulizi ya jana ya mauaji ya muuguzi mstaafu wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC, tulisoma namna...
Minziro afichua kinachoisibu Bigman
KOCHA Mkuu wa Bigman, Fredy Felix 'Minziro', amesema sababu ya kuanza vibaya msimu huu kwa kikosi hicho ni kutokana na maandalizi mabovu ya mwanzoni mwa msimu (pre-season), ingawa viwango vya…
Yanga chase consistency as KMC battle to revive form
DAR ES SALAAM: YOUNG Africans will face Kinondoni Municipal Council FC in a Mainland Premier League fixture at the KMC Complex in Dar es Salaam today, with both teams seeking…
Chama la Wana lakumbwa na ukata
TIMU ya Stand United 'Chama la Wana', imeanza kukabiliwa na ukata mapema tu baada ya baadhi ya wafadhili wa kikosi hicho kudaiwa kujiweka kando kutokana na kutokuwa na maelewano mazuri…
Kocha Hausung apotezea ‘mafaza’
KOCHA wa Hausung, Hussein Rupia, amesema kukosekana kwa wachezaji wazoefu sio sababu ya mwenendo mbovu wa kikosi hicho hadi sasa, licha ya kukiri jitihada zaidi zinahitajika kuinusuru timu hiyo iliyopanda…
Mido ala kiapo Songea United, aahidi kufanya makubwa
KIUNGO wa Songea United, Gilbert Boniface, amesema kwa sasa ni wakati wa kuonyesha makali yake ndani ya timu hiyo msimu huu, baada ya kipindi kigumu akiichezea Cosmopolitan iliyoshuka daraja ikitokea…
Hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa Wanawake
Hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa Wanawake. Mechi za kundi B kuanza kupigwa leo, wawakilishi wa Tanzania JKT Queens wanakipiga na Gaborone United, mechi hii itachezwa…
Niffer, wenzake 21 walivyorudishwa rumande
JKT Queens kazi inaanza leo CAF MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake Bara, JKT Queens leo watakuwa katika Uwanja wa Suez Canal uliopo Ismailia, Misri kuianza safari ya ubingwa…
Mo Banka: Bangi zilikaribia kuua kipaji changu
JKT Queens kazi inaanza leo CAF MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake Bara, JKT Queens leo watakuwa katika Uwanja wa Suez Canal uliopo Ismailia, Misri kuianza safari ya ubingwa…
Garnacho aanza kuishangaza Chelsea
Alejandro Garnacho ameendelea kuthibitisha kuwa Chelsea hawakupoteza pesa walipomsajili kwa...
Kitawaka!
ENGLAND: Manchester City watakuwa uwanja wa nyumbani wa Etihad kuwakaribisha Liverpool, mchezo wa Ligi Kuu England utakaopigwa saa 1:30 usiku wa leo. City wanaingia katika mchezo huo wakiwa nafasi ya…
Chama tawala nchini Djibouti kimemteua Rais Guelleh kwa muhula wa sita
Rais Ismail Omar Guelleh amekuwa madarakani tangu 1999, na hakuna vikwazo vya kisheria vinavyomzuia kugombea tena.
Zaidi ya safari za ndege 2,000 zimefutwa nchini Marekani kwa sababu ya kufungwa kwa serikali
Waziri wa Usafiri Sean Duffy anaonya kuwa makato yanaweza kufika hadi asilimia 20 ikiwa kufungwa kwa serikali kutaendelea.
Arsenal ilivyokwaa kisiki Ligi Kuu England
Licha ya Arsenal kuonekana karibu na ushindi wa 11 mfululizo katika Ligi Kuu ya England...
Palestina inapongeza amri za kukamatwa dhidi ya maafisa 37 wa Israel kutoka Uturuki kama ‘ushindi
Amri za kukamatwa zinalenga maafisa 37 wa Israeli, akiwemo Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, kwa mashtaka ya uhalifu wa mauaji ya kimbari, uhalifu dhidi ya binadamu katika Gaza.
Welcome to Republic of Wachambuzi: Where every Tanzanian is National Football Team coach
DAR ES SALAAM: If Tanzania ever needed a new republic, it wouldn’t need borders, flags or passports. It already exists, a nation within a nation; The Republic of Wachambuzi. A…
Ujumbe wa Erdogan ‘Azerbaijan haiko peke yake’ ulipelekea ushindi wa Karabakh: Aliyev
Rais wa Azerbaijan anasifu juhudi za ujenzi wa taifa, asante Uturuki na Pakistan kwa msaada.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 9, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Russia yaimarisha maandalizi ya vita ya nyuklia kufuatia maagizo ya Rais Putin
Wizara ya mambo ya nje ya Russia imeanza kuchukua hatua za kutathmini uwezo wa taifa katika nyanja za nyuklia, kufuatia maagizo ya Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo. Hayo ni…
Israel yaua watu watatu Kusini mwa Lebanon baada ya kutishia mashambulizi mapya ya kijeshi
Jeshi la Israel limewaua watu watatu katika maeneo ya kusini mwa Lebanon kupitia mashambulizi ya anga yaliyotekelezwa kwa nyakati tofauti, siku chache tu baada ya kutoa onyo la kuanzisha mashambulizi…
Maandamano Paris kulaani mauaji ya halaiki Sudan, UAE yashutumiwa kwa kuunga mkono RSF
Mamia ya waandamanaji walikusanyika Jumamosi karibu na Mnara maarufu wa Eiffel mjini Paris kulaani mauaji ya halaiki yanayoendelea nchini Sudan, huku wakiishutumu serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)…