#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limekanusha taarifa zinazosambazwa kwenye mtandaoni ya Kijamii kwamba kuna magari yanahamishwa kutoka Tunduma ili kukwepa hasara, kwani taarifa hizo zinalenga kuleta hofu kwa Umma.
Jeshi hilo la Polisi limetoa onyo kwa wote wanaotengeneza na kusambaza taarifa za upotoshaji kwani vitendo hivyo ni kinyume cha sheria na havina manufaa kwao wala kwa jamii.
Kadhalika wananchi wametakiwa kupuuza taarifa zinazosambazwa bila uthibitisho kutoka kwa mamlaka au vyanzo sahihi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.